Tufanyaje ili tuitoe nchi kwenye hii laana ya damu?

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,881
Reaction score
13,096
Kila mtu anajua nchi yetu imeingizwa kwenye laana ya damu

Siku hizi mtu kutekwa na kuuawa imekuwa jambo la kawaida sio watu wa kawaida hata watu mashuhuri na wanasiasa.

Viongozi wa dini wapo kimya ukiacha wakatoliki, wengi wanauunga mkono serikali iliyotufikisha hapa.

Tukiacha hii laana yanaweza kutokea makubwa zaidi ya tarehe 29 kwa sababu damu huwa hudai.

Je nini kifanyike?
 
Unaposema nchi maana yake ni ardhi na vyote vilivyomo Tanzania vimelaaniwa. Maana yake Hadi chakula kimelaaniwa. Haki itendeke na pia toba ya nchi ni muhimu. Haki ikitendeka walio husika washihhulikiwe, na pia kwenda mbele hali itawale. Madhalimu yaondolewe madarakani
 
Ili kuiondoa nchi kwenye laana ya damu, hatua ya kwanza na muhimu zaidi ni kufanya toba ya kitaifa na maombi ya pamoja, ambapo viongozi wa kiroho na jamii hukiri makosa, kuomba msamaha kwa Mungu, na kuitakasa ardhi kiroho.

Sambamba na hilo, ni lazima kusimamia haki na maridhiano ya kweli kwa kuwawajibisha waliofanya ukatili, kuwafariji au kuwafidia wahanga, na kuondoa uchungu mioyoni mwao.

Mwisho, nchi inapaswa kubadili mfumo wa maadili kwa kuelimisha jamii kuthamini uhai wa binadamu na kukataa kabisa siasa au kauli za chuki zinazoweza kuchochea umwagaji wa damu mbeleni.
 
saa100 aachie madaraka na bunge haramu livunjwe uchaguzi uitishwe upya Lisu wamwachie
 
mwenyekiti wa kijani na genge lake watoke kwanza alf mambo mengine yatafuata
 
Naunga mkono hoja
 
Kwa hali ilivyo, sidhani kama huyu mama atakuja pata amani na uongozi wake. Ataendelea kupopolewa kila uchao, kelele zinazidi kuwa nyingi kila leo. Anaweza kuja kudedi huya mama kwa presha.
 
Sawa
 
Sawasawa
 
Kwa hali ilivyo, sidhani kama huyu mama atakuja pata amani na uongozi wake. Ataendelea kupopolewa kila uchao, kelele zinazidi kuwa nyingi kila leo. Anaweza kuja kudedi huya mama kwa presha.
Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…