PastorPetro
Senior Member
- Feb 25, 2008
- 189
- 36
Wana Jamii Forum wenzangu, ninawasihii tufanye check up za afya mara kwa mara, yaani Physical Check-Up. Hapa USA tunafanya kila mwaka. Kama kuna tatitzo la afya wanaweza kuwahi kutibu kabla hali haijawa mbaya hadi kutishia maisha yako.
Nimeshituka sana kuona Rais wetu mpendwa JK, ameletwa hadi USA kufanyiwa surgery ya Prostate. Nafahamu wengi waliofanyiwa prostate surgery Tanzania na wanaendelea vizuri tu. Lazima hali ya mheshimiwa ilikuwa si nzuri. Labda kachelewa.
Kupima Prostate inabidi daktari aingize kidole huko nyuma kwenye (anus). Najua wengi hatutafurahia hiyo. Na fikiria, unamtia kidole Rais. :A S 13:
Na kwa akina dada uke lazima upimwe kuhakikisha hakuna kasoro kama kansa pia. Nao wanaigiza vyuma huko kucheki Kizazi.
Kazi ipo wenzangu! Lakini ili tuishi maisha mazuri enye afya ni bora tukapime!