mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Aaaaaaaah makubwa
Ndo ivo mangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaaaaaah makubwa
Hahaha kidole ni lazima kuingia kwenye makalio ukitaka kupima prostate, ndugu yetu tena ameshashughulikiwa fastjet marinda hana tena haha tumshaurini na lemutuz naye akapime prostate na sababu yeye marinda ameshatolewa zamani us basi atafurahi kweli doctor kumpima prostate.
zumbemkuu acha kunichekesha! Unatushauri nasi tukafanye aina hiyo ya kipimo? Ah! Labda wabadili namna ya upimaji ndio unaweza kujipeleka mwenyewe. Kweli ugonjwa ni nomer sana! Ukiwaza kuwa na jamaa kapimwa kwa namna hiyo hata siamini! Ngoja niishie hapo tuu.
Aiseee kwaio rais ameingizwa kidole
Wana Jamii Forum wenzangu, ninawasihii tufanye check up za afya mara kwa mara, yaani Physical Check-Up. Hapa USA tunafanya kila mwaka. Kama kuna tatitzo la afya wanaweza kuwahi kutibu kabla hali haijawa mbaya hadi kutishia maisha yako.
Nimeshituka sana kuona Rais wetu mpendwa JK, ameletwa hadi USA kufanyiwa surgery ya Prostate. Nafahamu wengi waliofanyiwa prostate surgery Tanzania na wanaendelea vizuri tu. Lazima hali ya mheshimiwa ilikuwa si nzuri. Labda kachelewa.
Kupima Prostate inabidi daktari aingize kidole huko nyuma kwenye (anus). Najua wengi hatutafurahia hiyo. Na fikiria, unamtia kidole Rais. :A S 13:
Na kwa akina dada uke lazima upimwe kuhakikisha hakuna kasoro kama kansa pia. Nao wanaigiza vyuma huko kucheki Kizazi.
Kazi ipo wenzangu! Lakini ili tuishi maisha mazuri enye afya ni bora tukapime!
mleta mada inavyotushauri tufanye checkup mara kwa mara ina maana mkuu alikua hafanyi hiyo checkup mara kwa mara.
Na kama alikua anafanya imesaidia nini kuepusha upasuaji, maana naona mwenye checkup na asiefanya mwisho wa siku matibabu ni yaleyale yaanii wote upasuaji tu.