Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Aisee
Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Auntie mimi na mambo za kukimbia siwezi hata acha niwe shabiki wako tu
Kuna rafiki yangu alikua anaongoza kwa mdomo anasema kwenye mbio watu wanaenda kudanga. Kuna siku nimekutana nae kwenye starehe huko akaanza nisifia nimepungua blah blah nikamwambia sababu nakimbia nikamkaribisha na yeye kwenye programs zetu za Goba kila Jumanne na Alhamisi.
After two weeks zikaja tena hizi discussion za marathon na umalaya kwenye group yetu ya chuo. Akasema yeye hawezi kukimbia kwanza mbio ni umalaya na hawezi kukimbia hata km 1 sio mambo yake.
Tukaonana tena mwezi wa kwanza mwanzoni akaona nilivyopungua tena.
Sasa hivi nakimbia nae kila siku. Tena siku nyingine nikitoka ofisini nimevurugwa sitaki kukimbia anaenda mwenyewe kukimbia.
Last week anasema boyfriend wake kamsifia alivyopungua na akanishukuru nimemsaidia kuweza kukimbia na kumfutia mentality ya kujudge wengine kwa kitu ambacho wachache wanakifanya.
Haya mambo ni akili yako maana hata iweje hayakwepeki kunapokua na jinsia mbili tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
kaa vizur usome shoga angi then utaelewaaa nilichoandika otherwise hongera kwa kumaliza mboo za km 42[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanga city marathon sikimbii tena,jua kali sana
Joy pale pana mbuzi mtamuu balaa...
Tatizo pale wadada njaa sana,kila baada ya dk 20 kinakuja kimemo chenye namba za simu
kaa vizur usome shoga angi then utaelewaaa nilichoandika otherwise hongera kwa kumaliza mboo za km 42[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio akili ni ujinganakupna shoga angu unasepa na kijiji[emoji23]akitoka hapo booking kama zoteee ila kuna watu wanaa akili jaman daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikimbia mwaka uliopita,Tanga city marathon ni ngumu sana, Kilimanjaro Marathon inasubiri.Mwenyewe nawaza sana kukimbia ila nina 90% chances za kutokimbia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikimbia mwaka uliopita,Tanga city marathon ni ngumu sana, Kilimanjaro Marathon inasubiri.
Marathon zote za Goba zinaishia na bata wanaweza wakaishia Joy eslava au Tripple B.
Hata hii ya trh 02/02 ilikua na bata mwisho.
Pagumu sana. Lile fukuto plus kwenda chumvini na kurudi mkwakwani ndo panachosha zaidi. Kwanza medal nasikia hawajabadilisha. Mbio zinazoumiza za mwaka jana zote mwaka huu sizikimbii Tanga na Rock City zikiwemo
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo maana nimeclose chapter manake marathon na gym ndo chaka jipya la ufuska
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyewapa wadangaji wazo la kufatilia mpira apewe kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha haramu.na kwenye mpiraa na gym yaan muamko umekuwa ni wa grade A kwa wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app