Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Kuna rafiki yangu alikua anaongoza kwa mdomo anasema kwenye mbio watu wanaenda kudanga. Kuna siku nimekutana nae kwenye starehe huko akaanza nisifia nimepungua blah blah nikamwambia sababu nakimbia nikamkaribisha na yeye kwenye programs zetu za Goba kila Jumanne na Alhamisi.

After two weeks zikaja tena hizi discussion za marathon na umalaya kwenye group yetu ya chuo. Akasema yeye hawezi kukimbia kwanza mbio ni umalaya na hawezi kukimbia hata km 1 sio mambo yake.

Tukaonana tena mwezi wa kwanza mwanzoni akaona nilivyopungua tena.
Sasa hivi nakimbia nae kila siku. Tena siku nyingine nikitoka ofisini nimevurugwa sitaki kukimbia anaenda mwenyewe kukimbia.

Last week anasema boyfriend wake kamsifia alivyopungua na akanishukuru nimemsaidia kuweza kukimbia na kumfutia mentality ya kujudge wengine kwa kitu ambacho wachache wanakifanya.

Haya mambo ni akili yako maana hata iweje hayakwepeki kunapokua na jinsia mbili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app

kaa vizur usome shoga angi then utaelewaaa nilichoandika otherwise hongera kwa kumaliza mboo za km 42[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
yan wanakula na kuliwa tunda kimasihara ? daaahh kweli RICKBOY THE SATANIST ALIONA MBALI 🤣🤣🤣[emoji2]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pagumu sana. Lile fukuto plus kwenda chumvini na kurudi mkwakwani ndo panachosha zaidi. Kwanza medal nasikia hawajabadilisha. Mbio zinazoumiza za mwaka jana zote mwaka huu sizikimbii Tanga na Rock City zikiwemo
Nilikimbia mwaka uliopita,Tanga city marathon ni ngumu sana, Kilimanjaro Marathon inasubiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeh.. Mambo yote Joy eslava.

Ukimaliza marasoni unakutana na promotion ya Castle Unlock. [emoji16][emoji16] + nguruwe wa kuchoma.

Marathon zote za Goba zinaishia na bata wanaweza wakaishia Joy eslava au Tripple B.

Hata hii ya trh 02/02 ilikua na bata mwisho.
 
Fukuto ndio balaa,mbaya zaidi ukiwa unatokea chumvini kuelekea mkwakwani jua linakupiga usoni ......bora mbio zingeanza saa kumi na mbili.
Pagumu sana. Lile fukuto plus kwenda chumvini na kurudi mkwakwani ndo panachosha zaidi. Kwanza medal nasikia hawajabadilisha. Mbio zinazoumiza za mwaka jana zote mwaka huu sizikimbii Tanga na Rock City zikiwemo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mzee Kimario anateseka roho na kili Marathon. Mwambieni awahishe mboga nyumbani
IMG-20200303-WA0026.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom