Tufunguke kuhusu hii kitu kwa unavyoijua au kuisikia

Tufunguke kuhusu hii kitu kwa unavyoijua au kuisikia

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Naamini hakuna ambaye hajawahi ona hii kitu
Naombeni kujua maana
Na kazi yake maana nimegundua huu sio urembo

FB_IMG_16706498220891524.jpg
 
Wazee wa ruti ndefu na miripuko ya radi za gafla njiani, daaa!
 
Juzi hapa nimeikata bangili km hiyo.
Nilienda mpanda huko wakanitest wakijua na mi nayaweza mauchawi..
Kumbe nimevaa ringi km urembo.
 
Ila sikuhizi zinavaliwa kama fasheni hasa huku mikoani kila msela anayo
 
Ninalo hilo.Halina kazi yoyote ya umuhimu kwangu zaidi ya kulitumia kama opener kufungulia vinywaji vyangu/bia na soda.
 
Naamini hakuna ambaye hajawahi ona hii kitu
Naombeni kujua maana
Na kazi yake maana nimegundua huu sio uremboView attachment 2441457
Because of sufficient amount of copper in brass it has antibacterial properties and because of constant contact with skin, skin absorbs copper and which enters the body. It is proven by science that copper has Antibacterial properties.
 
Kulingana na wataalamu wa matibabu, kuvaa pete ya shaba au kada(bangili) kunaweza kusaidia kunyonya shaba(shaba na zinki) ambayo huathiri afya kwa njia nzuri. Hata hivyo, vito vya shaba vinaweza kusababisha mzio wa ngozi ya mvaaji ambaye ni mzio, ambayo ni nadra. Ni ushawishi chanya katika kimetaboliki, ngozi na usafiri wa chuma kwa mwili, na uzalishaji melanini katika ngozi. Shaba inaweza kutibu au kupunguza maumivu ya arthritis pia.
 
Medical specialists saw when metal is worn close to the skin it’s anything but an increment in blood stream and affect the body. Metals, for example, Copper and Brass have electromagnetic properties thus does your body. Ionic powers can collaborate to adjust blood stream and increment energy levels.
 
Back
Top Bottom