Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

Hufi mapema love
Nimekuwaza sasa hivi,mekumisije
Mie buheri wa afya
Kweli nimeamini umenimiss love!
Mi pia nakumiss sana tu na nafurahi walau nimesikia sauti nyororo! kiwatengu ajiju tu mapenzi yetu yatamuua kwa wivu.
 
Last edited by a moderator:

Hahaha shemeji yangu Filipo jamani una visa wewe.
Yaani nyie nawakubali sana.
Ila lile Kumbatio, sitalisahau, lilikuwaje tamu.
Yale ya Amboni na Pangani si mchezo ati.
Nisalimie marejesho.
 
Last edited by a moderator:
Hii birthday ni kubwa saaana . That afadhali nicheki kwa pm nikuelekeze wapi tunaenda kuisherekea . HONGERA SANA BIBIE.
 
Hongera mdogo wangu Madame B. Nafurah na nashukuru kukufahamu kupitia JF.Sasa nimeongeza idadi ya ndugu. Najua kuwa unaelewa vile familia yenu na yangu vile zipo karibu. Mungu akubariki sana
 
Last edited by a moderator:
Hii birthday ni kubwa saaana . That afadhali nicheki kwa pm nikuelekeze wapi tunaenda kuisherekea . HONGERA SANA BIBIE.

Asante saaana bucho.
Ni kweli Birthday kubwa.
Haya naja Pm sasa hv.
 
Last edited by a moderator:
aisee! kumbe ni uoga wangu tu..hiki kifaa mwenyewe nili kimind sema ndiyo hvyo si mind ligi..
afu nakurespect jamaa yangu!
usije ukakiacha coz ukiteleza tu nimo!!
Hongera kwa kumiliki huyu mtoto Chocs...
Dah, mbona umeaga mashindano mapema asee
Mzima lakini kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…