Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

Kumbe ndugu yangu ulikuwa una muwinda Madame B siku nyingi! Hivi utweza kupambana na komandoo?
Madame B bishanga hakupongezi mpaka ufanye yafuatayo kisha umfuate:
1. Piga chini fasta wafuatao ( in that order): Chimbuvu tedo, Chilli, CHAI CHUNGU, Arusha one, Chibolo.... kiplagati26 huwezi kumpata ni incommunicado ana kazi maalum kenya.
2. Usingonoke nao tena si kwa vitendo tu bali pia kwa maneno na kwa mawazo
3. Weka picha yangu full time kwenye mkoba wako
4. Tumia perfume ambazo nimekununulia mimi na si nyingine
5. Hicho kimkoko uchwara alichokununulia Arushaone tupa kurrrreee,kuna rav4 brand new inakusubiri international motor mart,kaichukue
6. Tumba,marimba,magitaa,saxaphone na mazagazaga mengine ya @ chimbuvu tupa dampo
7. Mkopo uliiomba pride kau cancel,mi nna hela banaa
8. Ushoga na gfsonwin stop,siutaki,anakupeleka kwa vigagula
9. Koma kumsikiliza Mamndenyi
10. Jifunze kumenya ndizi
Ukishatimiza hayo kachukue tiketi yako klm ,kwea pipa utanikuta Amsterdam Radisson hotel
 
Last edited by a moderator:
Kuna keki?

Ipo TIQO
Specialty-First-Birthday-Cake.jpg
 
Last edited by a moderator:
kelele za kuku hazizuii mwewe kunyakua kifaranga na kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.

Mwanaume wa kweli husifiwa pale anapodeposit na ku draw pesa benki.
hayo ni maneno tu.e khanga yapo.
Hata kweny
 
Back
Top Bottom