Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

Yaani mndele ulivyo na mambo makubwa ukiniambia una mwaka mmoja tu wa umri? Unanichosha.
Sasa ukibalehe sijui itakuwaje?
 
Yaani mndele ulivyo na mambo makubwa ukiniambia una mwaka mmoja tu wa umri? Unanichosha.
Sasa ukibalehe sijui itakuwaje?

Yaani Mndele mwenzangu, Siku nikifikia miaka kama yako hapa Jamvini sijui nitakuwa kuwaje mamito.
Yaani ndio naelekea huko.
Nina mwaka mmoja shosti.
 
I am humbled Madam B. Hongera saana kwa kuweza kufunga Mwaka. Mwenyezi Mungu atujaalie uzima tuzidi kuonana na kugongana humu. Pamoja Saana.

Asante sana da AshaDii.
Wewe ni mmoja wapo wa memberz ambao mmenisaidia sana mpaka nimefunga mwaka
Sina neno la kukushukuru zaidi ya Asante.
Uendendelee na moyo huo huo.
Usijali tutaonana tu humu.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mzee bishanga.
Wewe ni mmoja wapo wa memberz ambao mmenisaidia sana mpaka nimefunga mwaka
Sina neno la kukushukuru zaidi ya Asante.
Uendendelee na moyo huo huo.
Usijali tutaonana tu humu.

Madame B ahsante kwa kushukuru,ila dah haya ya kunizeesha eti unaniita 'mzee' bishanga kwani unanikokea moto?
 
Last edited by a moderator:
Kipenzi changu cha ukweeeeli Madame B hongera.. Mungu akubariki sana;

nilichojifunza na kunivutia tangu nikusome hapa JF ni "uchangamfu wako" hadi huwa nikikufkiria in real life sikupatii picha.

Kama unavyojua nakupenda sana; sina cha ziada.
 
Remote, kwanza nashukuru na kuipokea Asante yako kwa mikono miwili.
Hapo kwa blue sina mengi, ila kwa red, utakumbuka kubanana na wenzio?
Kama uko tayari njoo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom