Gaston Mbilinyi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2010
- 296
- 51
Eleza umenufaikaje na JF au umepoteza nini. Je, na wewe umeweza kuwaingiza wangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha CHAI CHUNGU, alishindwa kunihandle mwenyewe.
Sasa nimempata ndio unasambaza copy,........... na nitakusuta wewe Bishanga.
COPY Mamndenyi.
Eleza umenufaikaje na JF au umepoteza nini. Je, na wewe umeweza kuwaingiza wangapi?
Eleza umenufaikaje na JF au umepoteza nini. Je, na wewe umeweza kuwaingiza wangapi?
Gaston Mbilinyi
hilo jina lako la pili lina heshima sana hapa jamvini,
lakini unaonyesha umetokea kwenye usingizi wa pono,
pole zako.
Yaani mndele ulivyo na mambo makubwa ukiniambia una mwaka mmoja tu wa umri? Unanichosha.
Sasa ukibalehe sijui itakuwaje?
Sema sana Madame B kwa mpenzi wako Ben Saanane,
piga kelele kila mtu asikie kuwa umempata ajuaye kukupenda
achana kabisa na Bishanga tena mwambie mapenzi na pesa
ni mbali mbali kama ilivyo mbingu na nchi.
I am humbled Madam B. Hongera saana kwa kuweza kufunga Mwaka. Mwenyezi Mungu atujaalie uzima tuzidi kuonana na kugongana humu. Pamoja Saana.
Asante sana mzee bishanga.
Wewe ni mmoja wapo wa memberz ambao mmenisaidia sana mpaka nimefunga mwaka
Sina neno la kukushukuru zaidi ya Asante.
Uendendelee na moyo huo huo.
Usijali tutaonana tu humu.
Mpwa nipo daily.
Ninakesha kulee kwenye pasua kichwa kule.
Salaam zimefika.
Kipenzi changu cha ukweeeeli Madame B hongera.. Mungu akubariki sana;
nilichojifunza na kunivutia tangu nikusome hapa JF ni "uchangamfu wako" hadi huwa nikikufkiria in real life sikupatii picha.
Kama unavyojua nakupenda sana; sina cha ziada.
Idiotic thread.....
NAWASHUKURU SANA.
NAWAPENDA SANA MEMBERS WOOOOTE, Nanyi naomba Mnipende Jamani.
Asanteni.
KAZI NJEMA.
Madame B.
CC: Nivea, Lisa, King'asti, AshaDii, MwanajamiiOne, afrodenzi, Kongosho, BADILI TABIA, Paloma, mwaJ, MadameX, Mamndenyi, Preta, marejesho, snowhite, Angel Msoffe, sweetlady, FirstLady1, FirstLady, Remmy, Zion Daughter, Kipipi, Roulette, Smile, Asnam, Binti.com, lara 1, Mrembo by Nature, Raiza, cacico, gfsonwin, Asprin, Kiranga, Nyani Ngabu, Mwita Maranya, Don Mangi, Mungi, Erickb52, Mr Rocky, SnowBall,Dark City, Jeska, Lusile, Arushaone, Bujibuji queenkami KakaKiiza,@Kipaji Halisi , Nicas Mtei, Ben Saanane, Chimbuvu, tedo, Chilli, Mwanyasi, marejesho Passion Lady.......... na wengineo............. nawapenda sana.