Tuheshimu Ikulu, Tuwaheshimu viongozi wote Wateule, ni Watanzania wenzetu, Tuwaheshima kama ambavyo Baba na Mama yako anastahili heshima

Kwamba kiongozi akiina na kuuza Mali zetu tutumie lugha tofauti na ile tunayotumia Kwa wahalifu wengine!!? Acha hizo
 
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.


Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Wewe unaweza kumheshimu mkoloni? Mkoloni ni mnyonyaji na mkandamizaji. Ikulu kwasasa imekaliwa na matapeli na majinga tu. Hivi inapofikia hatua ya kuteua marehemu,kweli unataka tuwaheshimu? Majizi na matapeli ya ikulu kufeni haraka Sana
 
Watu wamekuwa wakiwalisha maneno bila hata kuchunguza, unaweza thibitisha nini kimeporwa ? 4 7mbatizaji
 
Hatuwezi kuheshimu viongozi waliopatikana kwa wizi wa kura. Ni kama majambazi wengine tu
Huo ni mtazamo wako, naheshimu maoni yako, hujavunja sheria na wala hujatukana, japo sijui kama unaweza thibitisha hicho unachokisema kuhusu kura Gulwa
 
Je hao unaowatetea wanatuheshimu sisi raia????
Ndio maaana kuna viongozi wanasimamishwa, kuna wanaopelekwa mahakamani, kifupi Tanzania kuna Utawala unafuata, Sheria, haki ,utu na demokrasia, ndio maana hata ukitaka kuandamana unapewa mpaka police wakulinde
 
Hapa nilipoa najiandaa kutukana viongozi kwa ujinga wanaoufanya kwa sasa. Na niko hatua za mwisho kutengeneza vilipuzi kwa kutumia "potassium nitrate na maganda ya mayai" . Uchaguzi ujao patachimbika uchaguzi ukichezewa.
You will regret mkuu, unaweza jenga hoja yako ikasikika badala ya kutukana viongozi, never do that G4N
 
Je wanao ahirisha kufikiri Kwa nafsi utafanyaje yaani wanao jizima data chumvi wanakwambia sukari mafuta asali,
 
Well said!!
 

Watu hawaheshimu kwasababu wanajua fika wengi wateule sio wa Raisi na wala hawafahamu. Watu wengine ndiyo wanachomekea wawapendao sio Raisi.

Hii inaonyesha katiba mbaya tuliyonayo. Hivyo badala ya kufukia moshi wa ukweli tafuta muda kujifunza chanzo cha tatizo 🤔
 
Kwa hiyo tukisema Mama Abdul anakopa saana hilo nalo ni tusi kwani?
Inayokopa ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkuu huoni miradi ya Afya na miundo mbinu yake huko mtaani? Miradi ya Elimu, barabara, Etc
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…