RUFIJI VALLEY
Senior Member
- Apr 14, 2024
- 112
- 225
Kaka heshima haiombwi huja yenyewe automatically. Jiheshimu uheshimiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba kiongozi akiina na kuuza Mali zetu tutumie lugha tofauti na ile tunayotumia Kwa wahalifu wengine!!? Acha hizoNi kweli Duniani kote mawazo tofauti kutoka kwa watu ni Muhimu, wala haijawahi tokea Tanzania ipate uluru kuna mtu amekataza kutoa mawazo, ninacho kisema ni uzuzu kutukana Viongozi, kusingizia, kuwadhalilisha, kutweza heshima yao kwa kisingizio cha Uhuru wa kutoa maoni MastaKiraka
Wewe unaweza kumheshimu mkoloni? Mkoloni ni mnyonyaji na mkandamizaji. Ikulu kwasasa imekaliwa na matapeli na majinga tu. Hivi inapofikia hatua ya kuteua marehemu,kweli unataka tuwaheshimu? Majizi na matapeli ya ikulu kufeni haraka SanaNi bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Watu wamekuwa wakiwalisha maneno bila hata kuchunguza, unaweza thibitisha nini kimeporwa ? 4 7mbatizajiUkitaka kueshimiwa jiheshim kwanza, yani upore, mabaya yote uwafanyie binadam wenzako alafu unasema upewe heshima ,bora watu bado wanawastahi ,ipo siju watu watukuja kuchapwa viboko adhalani , watu wanafanya uhuni mpaka wanapitiliza ila at wanataka heshima
Weka ya kwako mkuu ChaliifranciscoNilishaanza ku type hii comment 😀
Ndio maaana kuna viongozi wanasimamishwa, kuna wanaopelekwa mahakamani, kifupi Tanzania kuna Utawala unafuata, Sheria, haki ,utu na demokrasia, ndio maana hata ukitaka kuandamana unapewa mpaka police wakulindeJe hao unaowatetea wanatuheshimu sisi raia????
You will regret mkuu, unaweza jenga hoja yako ikasikika badala ya kutukana viongozi, never do that G4NHapa nilipoa najiandaa kutukana viongozi kwa ujinga wanaoufanya kwa sasa. Na niko hatua za mwisho kutengeneza vilipuzi kwa kutumia "potassium nitrate na maganda ya mayai" . Uchaguzi ujao patachimbika uchaguzi ukichezewa.
Msikilize Rais wa DRC kuhusu huyo jamaaaIf the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their mind...[emoji3525]
Je wanao ahirisha kufikiri Kwa nafsi utafanyaje yaani wanao jizima data chumvi wanakwambia sukari mafuta asali,Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika ingekuwa tofauti, Watanzania wengi tudanganywa na Wanaharakati wanaoeneza uongo, uzushi, kupandikiza chuki, kupandikiza fitina na chuki kwa Watanzania.
Tuwakatae Wanaharakati ambao kusema uongo ni jadi yao, wanafaidika kea kusema uongo, Tuipende Tanzania yetu, tutaishi na kustawi hapa.
Tuwe Wazalendo, Serikali ipo, Mamlaka zipo, Tanzania iko salama, Wakenya, Wamalawi na wengine wengi wana tamani kuwa Watanzania.
Yupo mtu kazi yake akiamka yeye kutukana viongozi na familia zao, kea sababu anahisi yeye kuwa nje ya Tanzania ni tiketi ya kusema uongo, kudhalilisha watu na kusingizia uongo mkubwa viongozi- amesahau kuna Mungu wa mbinguni
Yupo Mwanasiasa yeye baada ya kuona wenzake hawamweli anataka nini, kufeli kwa michango(upigaji- maana ana ukwasi wa kutosha, kama ni uongo aweke wazi account yake ya benk- miezi kadhaa nyuma kamhamishia mtu kutoka account yake Tsh 500,000,000- kwa Sababu ya Sheria za JF sitataja bank)sasa ameanza kusema uongo na kusingizia vitu vya uongo,
Yupo mwingine huko X kazi ya ni kutukana Serikali hii toka enzi za Mwalimu, wakati baba yake amekuwa Waziri na anapata benefit zote mpaka sasa, ila kila siku ni kueneza chuki, kuchonganisha, kugombanisha, kufitinisha, kusingizia na kusema uongo ili kuwachafua viongozi na Serikali ya awamu ya sita- ajue tu anaowatukana ni Wazazi, wana familia, wana ndugu, ni Viongozi kama ambavyo aliwahi kuwa baba yake anaye mheshimu.
Ni vyema tukajifunza kukosoa kwa hoja na sio kwa matusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Well said!!Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Ukikaa kwenye kisimbusi chako, unatukana, unadhalilisha viongozi, ipo siku utatamani maneno unayosema na maandishi unayoandika ingekuwa tofauti, Watanzania wengi tudanganywa na Wanaharakati wanaoeneza uongo, uzushi, kupandikiza chuki, kupandikiza fitina na chuki kwa Watanzania.
Tuwakatae Wanaharakati ambao kusema uongo ni jadi yao, wanafaidika kea kusema uongo, Tuipende Tanzania yetu, tutaishi na kustawi hapa.
Tuwe Wazalendo, Serikali ipo, Mamlaka zipo, Tanzania iko salama, Wakenya, Wamalawi na wengine wengi wana tamani kuwa Watanzania.
Yupo mtu kazi yake akiamka yeye kutukana viongozi na familia zao, kea sababu anahisi yeye kuwa nje ya Tanzania ni tiketi ya kusema uongo, kudhalilisha watu na kusingizia uongo mkubwa viongozi- amesahau kuna Mungu wa mbinguni
Yupo Mwanasiasa yeye baada ya kuona wenzake hawamweli anataka nini, kufeli kwa michango(upigaji- maana ana ukwasi wa kutosha, kama ni uongo aweke wazi account yake ya benk- miezi kadhaa nyuma kamhamishia mtu kutoka account yake Tsh 500,000,000- kwa Sababu ya Sheria za JF sitataja bank)sasa ameanza kusema uongo na kusingizia vitu vya uongo,
Yupo mwingine huko X kazi ya ni kutukana Serikali hii toka enzi za Mwalimu, wakati baba yake amekuwa Waziri na anapata benefit zote mpaka sasa, ila kila siku ni kueneza chuki, kuchonganisha, kugombanisha, kufitinisha, kusingizia na kusema uongo ili kuwachafua viongozi na Serikali ya awamu ya sita- ajue tu anaowatukana ni Wazazi, wana familia, wana ndugu, ni Viongozi kama ambavyo aliwahi kuwa baba yake anaye mheshimu.
Ni vyema tukajifunza kukosoa kwa hoja na sio kwa matusi, kuchonganisha, kusema uongo, kudhalilisha viongozi na Serikali ya awamu ya sita, kuchochea ubaguzi etc
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Inayokopa ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkuu huoni miradi ya Afya na miundo mbinu yake huko mtaani? Miradi ya Elimu, barabara, EtcKwa hiyo tukisema Mama Abdul anakopa saana hilo nalo ni tusi kwani?