Tuhuma dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA zisipuuzwe, TAKUKURU chukueni hatua

Alichomeka na ukatulia tu na unalazimisha asichomoe ?
Kuna wakati huwa nasoma michango yako hapa JF na kukuweka kwenye kiwango fulani cha uelewa. Lakini linapokuja sula la Mbowe au CHADEMA huwa uelewa wako siuoni. Nahisi una machungu ya maisha chini ya utawala huu.
 
Machungu ndiyo nyungu ?
 
Hata km wanachama wa Chadema wanakuogopa sana kutafuna bilion8 ni aibu kubwa kwa Kiongozi unayesimama kuikosoa serkali, Wananchi wa marangu ni masikini sana! Ila Wewe umechukua Bilion nane umetia kibindoni! Hii haikubaliki

Tunaomba rudisha bilion nane alizotafuna

Nakupa tahathari usipuuze ,kwa kuwa mimi nipo well informed na chama chako
Muda wowote wanachama wataandamana mikoa mbali mbali kukutaka urudishe pesa

Rudisha pesa kabla wanachama hawajaandamana

Rudisha bilion nane
 
Maandamano ya Wanachadema yatamvua nguo Mbowe

Arudishe Bilion 8
 
Vccm bana!yule hamumuwezi nyie vidampa mnaotumwa kwa ujira wa kimaskini 7000...ona serikali inamuimba KAMANDA Mbowe nyie mnaokota mifupa chini....na kufyotoka hapa.
 
Mkuu tunahoji ubadhirifu mkubwa uliofanywa na chairman Mbowe

Viongozi wa Chadema wa wilaya hawapati hata posho ila Mbowe kakunja bilion 8! hii ni sawa?
Hawa vibwengu wa lumumba bhana angalia yanavyojitekenya na kucheka yenyew....ni uzombie mtupu hata mtoto wa chekechea ha2wez vituko vya namna hii
 
Mkuu nakung'ata sikio tu kuna maandamano yanakuja kwa Wanachadema kudai Bilion nane alizofuja Mbowe

Mbowe arudishe pesa za Watanzania
Vccm bana!yule hamumuwezi nyie vidampa mnaotumwa kwa ujira wa kimaskini 7000...ona serikali inamuimba KAMANDA Mbowe nyie mnaokota mifupa chini....na kufyotoka hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…