Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,195
Ulisoma report ya CAG?Hata km wanachama wa Chadema wanakuogopa sana kutafuna bilion8 ni aibu kubwa kwa Kiongozi unayesimama kuikosoa serkali, Wananchi wa marangu ni masikini sana! Ila Wewe umechukua Bilion nane umetia kibindoni! Hii haikubaliki
Tunaomba rudisha bilion nane alizotafuna
Nakupa tahathari usipuuze ,kwa kuwa mimi nipo well informed na chama chako
Muda wowote wanachama wataandamana mikoa mbali mbali kukutaka urudishe pesa
Rudisha pesa kabla wanachama hawajaandamana
Rudisha bilion nane
[emoji23][emoji23][emoji23]. Hali hii haikubaliki ni lazima sasa chadema wapone unyumbu
Sent using Jamii Forums mobile app
Maandamano hayo yatapokelewa na nani? Na kweli polisi wataruhusu maandamo ya wanachadema?Mkuu nakung'ata sikio tu kuna maandamano yanakuja kwa Wanachadema kudai Bilion nane alizofuja Mbowe
Mbowe arudishe pesa za Watanzania
Nyungu! What has it to do with your understanding? Na wewe unasubili kushauliwa au kulazimishwa na rais kujikinga? Btw., wapiga kura wanamfurahia rais kwa kukataa lockdown! Kwa nini Mbowe aendelee kuamini ni mtaji wa kisiasa?Machungu ndiyo nyungu ?
Bora umechema ulikolalia.Mnahangaishwa sana na Mbowe, yaani hamkutaka awe mwenyekiti CDM wanaojielewa wakamuweka, mkataka kummaliza kwa risasi Mungu akamuokoa, mmemuharibia mali zake, lakini bado hamjaridhika kutwa kucha ni Mbowe... Mbowe...
Halafu bahati nzuri ametulia, hamumbabaishi, anawatazama tu!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh...Huyo ni Joyce Mkuya hana uelewa wowote kazi yake kulinda masilahi ya Mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mahakama hawazijui zilipo si wakafungue mashtakaTunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Sio kwamba wewe ndio unaliwa na kupakuliwa?Kwani mahakama hawazijui zilipo si wakafungue mashtaka
Kila anayeondoka oh Mbowe oh Mbowe mbona mlikuwa hamsemi mlipokuwa pande hiyo?
Punguzeni kelele bwuaaaana
Mbowe anawatoa kafyondo au
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
mkuu je tukusaidie kuifikisha au yukupe namba za takukuru,Ishu ya akina Kangi ipo kwa Dpp.Yeye ndio anajua nani anahusika. Na hii nayo tunataka ifike huko.
Kwa hiyo nyie munapofungua thread zenu mkimzungumzia Jiwe huwa mnakuwa magay au vigoli?Unaweza kukuta wewe nimwanaume ?
Na ile ya cagIshu ya akina Kangi ipo kwa Dpp.Yeye ndio anajua nani anahusika. Na hii nayo tunataka ifike huko.
we do cagTunataka ushahidi wa hayo matumizi. Kama utaratibu unavyotaka.
Kafanyaje kwani?Safari hii Mbowe hachomoki
Ripoti ya mkaguzi mkuu inasemaje kuhusu mahesabu ya chadema, imeonyesha upotevu wowote? Hao majua kali wanaweza semanlolote sio watu wa kuwaamini, hao ni malaya tu wakisiasa.Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .