Kuna pesa za EPA, ESCROW, LUGUMI, TRILION 1.5 Kwa mjibu wa CAG Musa Assad, Trillion 1.2 ya KANGI LUGOLA na hivi ya Mbowe 8b.Hizi pesa tuzidai kwa nguvu zote.Lkn pia kuna Trillion 425 walizotuibia BARRICK GOLD tunazihitaji.
Kafanyaje kwani?
Kwa hiyo nyie munapofungua thread zenu mkimzungumzia Jiwe huwa mnakuwa magay au vigoli?
Ninyi ndio munaoihubiri demokrasia Tanzania lakini mukibanwa kwenye hoja munaanza kutukana badala ya kuijibu hiyo hoja husika .
Hii fixed account huenda walimficha CAG. Maana CAG anakagua zaidi ruzuku na pesa zinazojulikana.Ripoti ya mkaguzi mkuu inasemaje kuhusu mahesabu ya chadema, imeonyesha upotevu wowote? Hao majua kali wanaweza semanlolote sio watu wa kuwaamini, hao ni malaya tu wakisiasa.
Tundu Lissu: Wanaomsingizia Mbowe kwa ufujaji wa pesa za chama wapuuzwe kabisa - Ripoti za CAG miaka yote ni uthibitisho tosha - JamiiForumsTunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Atawathibitishia Pccb hayo matumizi yalifanyika vipi?Nyie watu!! Yaani bilioni 8 kwa muda gani na kila hela zikichangwa hazitumiki??
kushauliwa - kushauriwaNyungu! What has it to do with your understanding? Na wewe unasubili kushauliwa au kulazimishwa na rais kujikinga? Btw., wapiga kura wanamfurahia rais kwa kukataa lockdown! Kwa nini Mbowe aendelee kuamini ni mtaji wa kisiasa?
Vyama vyote vya siasa vinakaguliwa na CAG na ripoti kupewa Rais ambaye huiwasilisha bungeni , hata ukichukua ruzuku ya Chadema kwa miaka 4 haifikii kiasi hichoTunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Wanachama wa chadema wakiruhusiwa kuandamana nitakunya mavi kidogo kidogo kutoka Kibaha mail moja mpaka posta mpya. Na wakiandamana tu itakuwa ni wana ccm na watalindwa na raia wakakamavu (police).Hata km wanachama wa Chadema wanakuogopa sana kutafuna bilion8 ni aibu kubwa kwa Kiongozi unayesimama kuikosoa serkali, Wananchi wa marangu ni masikini sana! Ila Wewe umechukua Bilion nane umetia kibindoni! Hii haikubaliki
Tunaomba rudisha bilion nane alizotafuna
Nakupa tahathari usipuuze ,kwa kuwa mimi nipo well informed na chama chako
Muda wowote wanachama wataandamana mikoa mbali mbali kukutaka urudishe pesa
Rudisha pesa kabla wanachama hawajaandamana
Rudisha bilion nane
nitakunya mavi kidogo kidogo kutoka Kibaha mail moja mpaka posta mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani akili yako ni ndogo, wanakatwa kwa mabavu kivipi na wakati kila mtu mshahara wake anawekewa kwenye A/C yake? pia kwenye katiba yao imeandikwa unataka wafanyaje? unataka kuniambia CCM hawachangii chama chao? hili jina utakuwa wewe ni ngosha umekulia kwenye nyumba za tembe roho yako imejaa visasi kama mzee wakoTunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
flimsy!kushauliwa - kushauriwa
Wanachama wanachangia lakini pesa zitumike inavyotakiwa na kwa uwazi. Hii fixed account ilikuwa ni ajiri ya uchaguzi mbona zimeyeyuka? Na nani amezichota?We ni chizi tu huna lolote!
Hivi unajua maana ya Michango? Kama watu ndani ya chama husika whether ni CHADEMA or CCM au any party wamekubaliana kuchangia kama mkakati wa kuimarisha chama Chao, kuna dhambi gani hapo?
Kama huyu dumejike Lijualikali alikuwa anachangishwa bila ridhaa yake, KWANINI HAKUPELEKA HILO SWALA PCCB? Je, Takukuru wana Sheria inayozuia watu kuchangia kwenye Taasisi yoyote?
Juzi tumesikia Serikali ikihamasisha Wananchi na Taasisi kuchangia Fedha kwa ajili ya Covid-19 na Kuna Bilions zimechangwa ziko wapi? Mbona hujaenda kuwaambia PCCB wazifuatilie?
Kuna michango kwenye vilabu vya MPIRA Wanachama na mashabiki wanachangia vulabu vyao k.m.Yanga na Simba....mbona hamjawaambia PCCB kuchunguza hizo pesa?
Mna kazi sana mwaka huuKangi alisaini Tu lakini alikuwa hajakamilisha muamala...
Mbowe kapokea fedha na kazichomoa na hue da keshazitumia
Usisumbuke nao hao,dhamiri zao zilishakufa Siku nyingi,wamemuharibia Biashara zake wameona haitoshi,wamemfunga wameona hatikisiki,kila hila wameona jamaa msimamo pale pale.Nyie watu!! Yaani bilioni 8 kwa muda gani na kila hela zikichangwa hazitumiki??
Kamuulize CAG atakuambiaTunataka ushahidi wa hayo matumizi. Kama utaratibu unavyotaka.
Hiyo fixed account CAG hakuonyeshwa.