Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,267
- 1,593
Hata km wanachama wa Chadema wanakuogopa sana kutafuna bilion8 ni aibu kubwa kwa Kiongozi unayesimama kuikosoa serkali, Wananchi wa marangu ni masikini sana! Ila Wewe umechukua Bilion nane umetia kibindoni! Hii haikubaliki
Tunaomba rudisha bilion nane alizotafuna
Nakupa tahathari usipuuze ,kwa kuwa mimi nipo well informed na chama chako
Muda wowote wanachama wataandamana mikoa mbali mbali kukutaka urudishe pesa
Rudisha pesa kabla wanachama hawajaandamana
Rudisha bilion nane
Mawaziri wanaenda mahakamini ( Waitara na Molllel) Je kweli watakwendaSiasa bana ..haiwahi kumuacha mtu salamaa
Halafu ukute pia ana mke/manzi na watoto.
Tabu tupu kuandika kwenyewe mtihani.
Unatumia njia ndeeeefu sana kudai hizo hela,njia rahisi nenda polisi ukiwa na ushahidi polisi watapeleka kesi mahakamani.Sasa unamdai Mbowe hela huku mtandaoni utazipata kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo kimya sasa utafanyaje?Mbona kesi zingine hata zisizoeleweka mnawapeleka haraka sana mahakamani,na wakati mwingine mkijisikia tu mnaweza kubadili kesi ya awali na kuweka mnayo jisikia,kuna uzito gani katika hili? Au ndo mwendelezo wa shughuli ya kumuharibia Biashara zake? Muda Fulani mjitahidi kuwa na dhamiri Hai, yaani kujitofautisha na wanyama.Yupo humu ujumbe amepata
Yupo kimya sasa utafanyaje?Mbona kesi zingine hata zisizoeleweka mnawapeleka haraka sana mahakamani,na wakati mwingine mkijisikia tu mnaweza kubadili kesi ya awali na kuweka mnayo jisikia,kuna uzito gani katika hili? Au ndo mwendelezo wa shughuli ya kumuharibia Biashara zake? Muda Fulani mjitahidi kuwa na dhamiri Hai, yaani kujitofautisha na wanyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka ushahidi hapa au kama ushahidi unao nenda mahakamani,vinginevyo maneno ya akina mama wanayoongea wanapokuwa saloonMkuu unawezaje kumtetea mtu aliyetafuna bilion 8?
Katiba ya chadema inasema wazi Mbunge atachangia pesa za ubunge kwa ajili ya kukijenga chama,kama alikubali kuchukua fomu ni wazi alikubaliana na hivyo vipengele sasa kitendo cha kusema walikuwa wanakatwa fedha na kuliwa na mbowe as if fedha zilikuwa zinaingia kwenye account ya mbowe.Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Mbona mnakuwa wagumu kuelewa? Hoja sio michango bali pesa kwenye account fixed zimeyeyuka bila kujua zimetumika vipi. Pccb wachunguze hili suala.Katiba ya chadema inasema wazi Mbunge atachangia pesa za ubunge kwa ajili ya kukijenga chama,kama alikubali kuchukua fomu ni wazi alikubaliana na hivyo vipengele sasa kitendo cha kusema walikuwa wanakatwa fedha na kuliwa na mbowe as if fedha zilikuwa zinaingia kwenye account ya mbowe.
Ushahidi utapatikana tu akina Lijualikali watakapokuwa wanahojiwa na Pccb. Wao wanajua zilivyopigwa.Weka ushahidi hapa au kama ushahidi unao nenda mahakamani,vinginevyo maneno ya akina mama wanayoongea wanapokuwa saloon
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimeyeyuka kwenye Report ya CAG ameweka huo uyeyukaji au Bil 8 ni zimeibiwa 2019-2020? Kwahiyo wabunge hao 60 ndani ya mwaka fixed wameweka 8b au siyo na propaganda zenu? Tatizo mnapenda Propaganda halafu hisabati hamjui.Mbona mnakuwa wagumu kuelewa? Hoja sio michango bali pesa kwenye account fixed zimeyeyuka bila kujua zimetumika vipi. Pccb wachunguze hili suala.
Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Hayo maswali kamuulize Peter aliyeibua huo ufisadi. Kwani sisi tulikuwa tunajua kuna fixed account in bil 8? Peter ndio katufumbua macho.Zimeyeyuka kwenye Report ya CAG ameweka huo uyeyukaji au Bil 8 ni zimeibiwa 2019-2020? Kwahiyo wabunge hao 60 ndani ya mwaka fixed wameweka 8b au siyo na propaganda zenu? Tatizo mnapenda Propaganda halafu hisabati hamjui.
Sasa unashabikia vitu ambavyo hauvijui kweli? Lijualikali hizo bil 8 kaziona baada ya kupigwa chini? Kama Mbowe kaiba mfungulieni kesi si mna kila kitu kuanzia Bunge,Serikali hadi Mahakama.Hayo maswali kamuulize Peter aliyeibua huo ufisadi. Kwani sisi tulikuwa tunajua kuna fixed account in bil 8? Peter ndio katufumbua macho.
Sasa unashabikia vitu ambavyo hauvijui kweli? Lijualikali hizo bil 8 kaziona baada ya kupigwa chini? Kama Mbowe kaiba mfungulieni kesi si mna kila kitu kuanzia Bunge,Serikali hadi Mahakama.
Subiri Pccb walifanyie kazi.Sasa unashabikia vitu ambavyo hauvijui kweli? Lijualikali hizo bil 8 kaziona baada ya kupigwa chini? Kama Mbowe kaiba mfungulieni kesi si mna kila kitu kuanzia Bunge,Serikali hadi Mahakama.
Kwani alikuwa amejichomeka wapi? In [JK' s voice]Safari hii Mbowe hachomoki
Wanaolalamika waende mahakamani. Huko ndiko haki hutendeka. La sivyo hiyo ni siasa tu! Kwa nini tushupalie 0.008T na siyo 1.5T?Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Acha utoto,PAC waliweka wazi ishu ya tril 1.5 reconciliation ilifanyika wala hakuna pesa iliyopotea.Wanaolalamika waende mahakamani. Huko ndiko haki hutendeka. La sivyo hiyo ni siasa tu! Kwa nini tushupalie 0.008T na siyo 1.5T?