Sawa ila hazionekaniNaombaujue yafuatayo:
1: Hizo pea/michango ipo kikatiba. Katiba ya chadama inaonesha wazi kuwa kila mbuge atachangia sehemu fulani ya pesa toka kwenye posho za ubunge. Sasa huyo anaye sema kuwa analazimishwa inamaana hakuisoma hiyo katiba?
2: Kwa tanzania, ni wapinzani tu ndo hawako juu ya seria, lakini kwa ccm na serikali yake, wao wako juu ya sheria.
Utanitag pccb wakishakamilsha kazi.Subiri Pccb walifanyie kazi.
Wewe huwa uangalii Tv?Utanitag pccb wakishakamilsha kazi.
Nimeanza kuangalia TV tangu 1994 mpaka sasa bado sijaiona taarifa ya PCCB kumpeleka mbowe mahakamani ndio maana nikasema kwakuwa nyie ndio mnamiliki bunge,serikali na mahakama mkishakamilisha kazi ya kukusanya ushahidi na kumpeleka mbowe mahakamni utaniTAG.Wewe huwa uangalii Tv?
Safari ya kwenda mahakani inanukia.Nimeanza kuangalia TV tangu 1994 mpaka sasa bado sijaiona taarifa ya PCCB kumpeleka mbowe mahakamani ndio maana nikasema kwakuwa nyie ndio mnamiliki bunge,serikali na mahakama mkishakamilisha kazi ya kukusanya ushahidi na kumpeleka mbowe mahakamni utaniTAG.
Wameanza leo, nitakutag wakikikamilisha.Wewe huwa uangalii Tv?
Utopolo akili zenu hazina tofauti na maiti,ccm wamepata hati chafu ingekua anachukia ufisadi ungekuta mwenyekiti wenu na bashiru wote wamejipeleka takukuru.Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Dada acha nyege mshindo,ccm wamepata hati chafu fanyeni kumpeleka meko takukuru,mbowe atakutoa puru bure mzutii mpana weweSafari hii Mbowe hachomoki
Hati chafu?Utopolo akili zenu hazina tofauti na maiti,ccm wamepata hati chafu ingekua anachukia ufisadi ungekuta mwenyekiti wenu na bashiru wote wamejipeleka takukuru.
Siku ingine ukija humu uje na akili zako mwenyewe sio hizi za kuropoka kutumia mzutii wako
Wakishamfikisha niTAG mkuu,kuhojiwa hata 30,Lijualibutu wamehojiwa na PCCB!!Safari ya kwenda mahakani inanukia.
Maombi yako yamesikilizwa, takukuru wameanza uchunguzi wakimaliza watafungua mashtaka ili hiyo Ooh Mbowe ooh Mbowe isiwepo.Kwani mahakama hawazijui zilipo si wakafungue mashtaka
Kila anayeondoka oh Mbowe oh Mbowe mbona mlikuwa hamsemi mlipokuwa pande hiyo?
Punguzeni kelele bwuaaaana
Mbowe anawatoa kafyondo au
Mbowe hatuko juu ya sheria. Achunguzwe kwa yote.Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA .
Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo.
Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali hana akili timamu kiasi kwamba asimame bungeni na kuanza kuongea uongo.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma toka kwa wabunge wa CHADEMA kuwa wanachangishwa pesa ili waweze kukiendesha chama chao. Jambo hili lilishafika hata kwa spika na alishawasaidia maana walikuwa wanakatwa kwa mabavu.
Ibara ya 13 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu ambae yupo juu ya sheria. Maana sheria ya nchi yetu haibagui. Kama mtu aliwachangisha wabunge wa CHADEMA na Bil nane hazijulikani zilipo basi hatua za kisheria zifuate mkondo.
Naona suala la mahakamani limeanza tungoje pccb wamaliza uchunguzi ili apelekwe mahakamani Kama ulivyoshauri ili haki itendeke.Wanaolalamika waende mahakamani. Huko ndiko haki hutendeka. La sivyo hiyo ni siasa tu! Kwa nini tushupalie 0.008T na siyo 1.5T?
Hii ilikuwaje mkuumkataka kummaliza kwa risasi Mungu akamuokoa, Jamii Forums mobile app