Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hahahaa!!!Maji yamezidi unga!Hatujibu upuuzi mtu anunue kwa pesa yake wewe ulete kelele huyo ni mwanasheria aende mahakamani akashtaki
We zombie lake huna jipyaHatujibu upuuzi mtu anunue kwa pesa yake wewe ulete kelele huyo ni mwanasheria aende mahakamani akashtaki
Tulikuonya mapema sana kwamba unatumika tu huku ukiwa huwajui unaowatumikiaHatujibu upuuzi mtu anunue kwa pesa yake wewe ulete kelele huyo ni mwanasheria aende mahakamani akashtaki
Mtetezi wa wanyonge anapopora ardhi ya wanyonge!!!Hahhahahha... Tangu lini chadema mmeanza kupinga ufisadi? Agenda hiyo ilishakufa tangu 2015 pale mlipogeuka madodoki ya kusafisha watu.
Lissu ni debe tupu!Mtetezi wa wanyonge anapopora ardhi ya wanyonge!!!
Bro,sio kirahisi hivyo wakati uchaguzi! bahati mbaya sana wana CCM baada ya magufuri kuwajengea kujiamini baada ya kimbunga cha zomeazomea ya 2015 nyinyi mmejenga kiburi na majivuno ya nguvu msiyoijua nawapa pole sana.Hatujibu upuuzi mtu anunue kwa pesa yake wewe ulete kelele huyo ni mwanasheria aende mahakamani akashtaki
Magufuli ni smart hawezi kujishughulisha na taarifa za udakuNashindwa kuamini kuwa mpaka muda huu hakuna hata mmoja wao miongoni waliotajwa aliweza kutoka hadharani kukanusha au kufafanua juu ya tuhuma hizi. Yaani hata ofisi zao zimeshindwa kuwatetea!
Swali la msingi hapa ni je, kama tuhuma ni za uongo, kwanini ichukue muda kujibu?
Tutaelewana tu mwaka huu.
Kwa Rais aliyeko madarkaani tuhuma nzito hivi haziwezi kupita bila kujibiwa.Nashindwa kuamini kuwa mpaka muda huu hakuna hata mmoja wao miongoni waliotajwa aliweza kutoka hadharani kukanusha au kufafanua juu ya tuhuma hizi. Yaani hata ofisi zao zimeshindwa kuwatetea!
Swali la msingi hapa ni je, kama tuhuma ni za uongo, kwanini ichukue muda kujibu?
Tutaelewana tu mwaka huu.
Khaaa! Phd za kukopi na kupaste?Magufuli ni smart hawezi kujishughulisha na taarifa za udaku
Au hujui kwamba Chato nzima katika watu wachache wenye Phd adimu Magufuli ni mmoja wao ?
Smart wapiiii na kiingereza hajui na wakati toka secondary hadi PhD mafundisho ni ya kiingereza?Magufuli ni smart hawezi kujishughulisha na taarifa za udaku
Au hujui kwamba Chato nzima katika watu wachache wenye Phd adimu Magufuli ni mmoja wao ?
Hatujibu upuuzi mtu anunue kwa pesa yake wewe ulete kelele huyo ni mwanasheria aende mahakamani akashtaki
Hatujibu upuuzi mtu anunue kwa pesa yake wewe ulete kelele huyo ni mwanasheria aende mahakamani akashtaki
Yaani nyie mnawajua wanaomitumiaTulikuonya mapema sana kwamba unatumika tu huku ukiwa huwajui unaowatumikia