Tuhuma nzito ya ufisadi wa kupora ardhi mpaka sasa haijajibiwa

Tuhuma nzito ya ufisadi wa kupora ardhi mpaka sasa haijajibiwa

Mtetezi wa wanyonge anapopora ardhi ya wanyonge!!!
Akiangalia vitendo vyale na madhara waliyoyapata wanyonge, huyu ni mnyongaji wa wanyonge.

Matajiri hawana shida. Walipoona mazingira yameharibiwa, wamehamisha vitega uchumi vyao. Hapa wamebakiza vya kushikia maeneo.

Manji - makao makuu kahamishia Lusaka.

Bakhresa - uwekezaji mkubwa sasa ni Mauritius, South Africa.

Mo - viwanda vikuvwa vya cement Mozambique

Makampuni ya madini - mengi yameenda Angola, Mali, Ghana, South America na Asia

Wanyonge ndio wanaonyongwa hasa, uwezo wa kuchomoka hawana.
 
Nashindwa kuamini kuwa mpaka muda huu hakuna hata mmoja wao miongoni waliotajwa aliweza kutoka hadharani kukanusha au kufafanua juu ya tuhuma hizi. Yaani hata ofisi zao zimeshindwa kuwatetea!

Swali la msingi hapa ni je, kama tuhuma ni za uongo, kwanini ichukue muda kujibu?

Tutaelewana tu mwaka huu.
John hawezi ijibu hii hoja, ni kaa la moto
 
Kama kila rais, mawaziri wakuu, wakuu wa mikoa, etc wataanza kujimilikisha Ekari maelfu, tukifikia kuwa na marais 40 huenda ardhi yote ya Tanzania itakuwa inamilikiwa na familia au koo zao!

Mwalimu alifuta ukabaila na Nyarubanja za Machifu kumiliki ardhi kubwa za maeneo yao kwa sababu aliona mbali!, watu wanageuzwa wapangaji katika nchi yao wenyewe!
 
Tuhuma tajwa ina ukweli wa 100% na ndiyo sababu kukanusha kunahitaji misulu ya kutosha,pia hawafahamu Mh.Lissu anazo taarifa nyingine za kifichoni kiasi gani?Wamefumaniwa kileleni na wamelegea TEPETEPE,ni Aibu tupu!
Nashindwa kuamini kuwa mpaka muda huu hakuna hata mmoja wao miongoni waliotajwa aliweza kutoka hadharani kukanusha au kufafanua juu ya tuhuma hizi. Yaani hata ofisi zao zimeshindwa kuwatetea!

Swali la msingi hapa ni je, kama tuhuma ni za uongo, kwanini ichukue muda kujibu?

Tutaelewana tu mwaka huu.
 
Ekari 25000 sio mchezo tufanye kila hekari moja ni 1M

1,000,000 × 25000 = 25,000,000,000/=

Sasa jiulize magufuli anao uwezo huo?
Na kama anao huo uwezo atuambie alinunua kwa nani na kwa utaratibu upi?
Tuambiwe pia kama kodi ya serikali kalipia kikamilifu?Mshahara na mapato yake ni kiasi gani cha fedha hadi anunue Hector 25,000 za Ardhi?Mh.Rais anafanya Biashara gani nyingine nje ya Utumishi wa Umma?Maajabu kama haya yanaweza kutokea hapa Tanzania pekee hapa Duniani.Bado anaweza kuwa Rais wa Wanyonge?
 
Kama kila rais, mawaziri wakuu, wakuu wa mikoa, etc wataanza kujimilikisha Ekari maelfu, tukifikia kuwa na marais 40 huenda ardhi yote ya Tanzania itakuwa inamilikiwa na familia au koo zao!

Mwalimu alifuta ukabaila na Nyarubanja za Machifu kumiliki ardhi kubwa za maeneo yao kwa sababu aliona mbali!, watu wanageuzwa wapangaji katika nchi yao wenyewe!
Huyu Mzee amepoteza Legitimacy yake yote kwa kufanya mambo yake kwa kukurupuka,alitaifisha mashamba yaliyoitwa Pori kumbe naye analo Pori la Hector Elfu 25?
 
Ananunuaje hekta 25 huku wananchi hawana mahali pa kupata makazi?

Halafu "hajanunua". Amepora.

Atanunuaje ardhi anayoimiliki mwenyewe? Hapo amefanya kujisevia kifisadi.
Hivi wewe unaijua hekta? Soma tena uliyoandika.
 
Magufuli ni smart hawezi kujishughulisha na taarifa za udaku
Au hujui kwamba Chato nzima katika watu wachache wenye Phd adimu Magufuli ni mmoja wao ?
Hii ya maganda ya korosho? Ungemshauri ahamie Mtwara baada ya 28 oct akaitumie Pii echi dii yake vizuri.
 
Hatujibu upuuzi mtu anunue kwa pesa yake wewe ulete kelele huyo ni mwanasheria aende mahakamani akashtaki
Magufuli anapata pesa wapi za kuweza kununua eneo lote hilo hapa Tz?

Ni sheria gani inampa mtu ruhusa ya kununua eneo lote hilo wakati kuna maelfu ya watu hawana ardhi ya kulima kuzunguka eneo hilo hilo?

Kama sheria inatoa hiyo nafasi kwa mtu mwenye pesa, basi huenda Mo Dewji angekuwa leo hii anamiliki eneo lote la mikoa ya Singida na Dodoma au Bakheresa akainunua Zanzibar yote.
 
Mataga wanasema Magu hatakuwa rais wa kwanza kujimilikisha eneo kubwa hivyo hapa Tz, yeye anafuata nyayo za watangulizi wake. Kama Mwinyi, Mkapa na Kikwete wanamiliki maeneo hayo makubwa, kipi cha ajabu kwa Magu?!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Jamaa ni mwizi aliyepindukia hakuna tena mporaji Nchi hii aliyetupora Watanzania trillions nyingi kama huyo anayejiita MWENDAWAZIMU.

Mtetezi wa wanyonge anapopora ardhi ya wanyonge!!!
 
"Wacheni wivu wa kike"! Hata wafuasi wake inaelekea bado hawaamini masikio yako......eti waliamini ni "malaika".
 
Back
Top Bottom