Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Ungekuwa karibu ningekushikisha dudu.mataga wa kike
Ungekuwa karibu ningekushikisha dudu.mataga wa kike
Wewe mwenye shule umefanya nini?Wengi wa mamanda wenzangu hawana uwezo wa kuchuja kipi ni kitu bora au sio bora.
Hawana uwezo wa kupambanua mambo kitaaluma, maana hata kama kiongozi wetu anafanya ubadhirifu na udikteta wanaona sawa tu.
Asilimia kubwa ya makamanda wenzangu ni shuleless ndio maana chama kinapelekwa hovyo hovyo tu.
Ana jinsia mbili mkuumataga wa kike
Mkuu nina Kadiploma ka ualimu kananisaidia sana.Wewe mwenye shule umefanya nini?
Watakushukia kama mwewe.....Wengi wa mamanda wenzangu hawana uwezo wa kuchuja kipi ni kitu bora au sio bora.
Hawana uwezo wa kupambanua mambo kitaaluma, maana hata kama kiongozi wetu anafanya ubadhirifu na udikteta wanaona sawa tu.
Asilimia kubwa ya makamanda wenzangu ni shuleless ndio maana chama kinapelekwa hovyo hovyo tu.
kumbe ni mchicha mwibaAna jinsia mbili mkuu
Endelea hivyo hivyoMkuu nina Kadiploma ka ualimu kananisaidia sana.
Yapkumbe ni mchicha mwiba
Alafu Chadema mbona ilishakufa,Mbowe anawaumiza sana mpaka ma DC wanapewa air time redioni kumuongelea.