Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Wewe upo kwenye kwenye kundi gani mbona unatetea ufisadi na rushwa ndani ya chadema au na wewe ni mnufaika.KUNA VIJANA WATATU MMOJA NI WEWE MNAONGOZA KWA UONGO MNAIDHALILISHA SANA JF.
Wewe upo kwenye kwenye kundi gani mbona unatetea ufisadi na rushwa ndani ya chadema au na wewe ni mnufaika.KUNA VIJANA WATATU MMOJA NI WEWE MNAONGOZA KWA UONGO MNAIDHALILISHA SANA JF.
Hujambo kijana wangu.Machweo yatakua lini
Sijanywa chaiHujambo kijana wangu.
Hoja iko wapi sasa hapo? Uandishi wa kipuuzi huwa unapuuzwa tu! Habari yako wala haina vigezo vya kihabari bali majungu tu. Tuonyeshe hiyo akaunti inayotumika kuhamisha hizo milioni 200 kila zinapoingia fedha za ruzuku. Tuonyeshe transaction inavyofanyika kumlipa huyo kiongozi aliyetoka CCM. Kwa kuwa habari yako ni ya kipuuzi ndio maana hata mlipomuuliza mwenyekiti na katibu hawakuwajibu!Jikite kwenye hoja.
Unashangaa Chadema kutokuwa na ofisi (jengo lake), lakini hushangai idara za serikali kupanga kwenye nyumba za watu binafsi!Mkubwa swala si uzushi unataka kuniambia kuwa ruzuku wanayopewa haitoshi hata kujenga office yao ndogo au utasema sio malengo yao kuwa na ofice
Tuonyeshe ufisadi na rushwa ndani ya Chadema, vinginevyo shut up!Wewe upo kwenye kwenye kundi gani mbona unatetea ufisadi na rushwa ndani ya chadema au na wewe ni mnufaika.
Kutokujibiwa haihalalishi ufisadi.Hoja iko wapi sasa hapo? Uandishi wa kipuuzi huwa unapuuzwa tu! Habari yako wala haina vigezo vya kihabari bali majungu tu. Tuonyeshe hiyo akaunti inayotumika kuhamisha hizo milioni 200 kila zinapoingia fedha za ruzuku. Tuonyeshe transaction inavyofanyika kumlipa huyo kiongozi aliyetoka CCM. Kwa kuwa habari yako ni ya kipuuzi ndio maana hata mlipomuuliza mwenyekiti na katibu hawakuwajibu!
Badala ya kutibu ugonjwa mnakimbilia kunyamazisha watu.Tuonyeshe ufisadi na rushwa ndani ya Chadema, vinginevyo shut up!
Mwenyekiti wa ccm ambaye ni Mmiliki wa Richmond alienda Dodoma na majina Mfukoni akitaka Membe awe Rais lakini wafuasi wa Lowasa wakamkomesha kwa kumchagua Magufuli ambaye Juzi kakataa ccm wasitumie pesa za umma kufanya mkutano wao mkuu, kumbe huko nyuma walizoea kutumia pesa za Serikali kwa mkutano wa chama kisha kuitafuna Ruzuku kwa matumizi Hewa, ndani ya ccm pesa inapigwa Hatari na sasa mkuu wa Fitna, Uchakachuaji na Ndumba kaamua kuingia kwenye vibali vya sukari anapiga magendo kwa kwenda Mbele hakuna wa kuthubutu kumuuliza ccm ni shida, ccm bila January makamba leo hii kungekuwa ni Sawa na KANU ya kenya.
Wewe upo kwenye kwenye kundi gani mbona unatetea ufisadi na rushwa ndani ya chadema au na wewe ni mnufaika.
Tujisahihishe.Unashangaa Chadema kutokuwa na ofisi (jengo lake), lakini hushangai idara za serikali kupanga kwenye nyumba za watu binafsi!
Tangu lini chama cha walevi kikawa na hoja?Jikite kwenye hoja,acha hasira.
NA HAKUNA TABIA MBAYA KAMA MWENZAKO HANA NYUMBA NA WEWE HUSIWE NA NYUMBA KAMA TUNASEMA chadema ni mbadala wa ccm ni vizuri wakaonyesha mambo tofauti mkuuUnashangaa Chadema kutokuwa na ofisi (jengo lake), lakini hushangai idara za serikali kupanga kwenye nyumba za watu binafsi!
kNA HAKUNA TABIA MBAYA KAMA MWENZAKO HANA NYUMBA NA WEWE HUSIWE NA NYUMBA KAMA TUNASEMA chadema ni mbadala wa ccm ni vizuri wakaonyesha mambo tofauti mkuu
Kwani hizo ofisi mnazoziita ni za CCM zilijengwa na CCM?NA HAKUNA TABIA MBAYA KAMA MWENZAKO HANA NYUMBA NA WEWE HUSIWE NA NYUMBA KAMA TUNASEMA chadema ni mbadala wa ccm ni vizuri wakaonyesha mambo tofauti mkuu
Mkubwa unaposema chama mbdala wa CCM nii nzuri kujifuza alipokosea mwenzako na ww ufanye vizuri ok Office sio za CCM zilijengwa kwa kodi za wananchi basi na CHADEMA wanapata ruzuku kutokana na kodi za wananchi wajengeKwani hizo ofisi mnazoziita ni za CCM zilijengwa na CCM?
Ni kweli kabisa sio za CCM na CHADEMA wananpata ruzuku kutokana na kodi za wananchi basi nao wajenge office hata moja makao makuu maana tulilelewa kuwa kijana napokuwa ni muhimu kuwa na mji wake na hasa wa kujenga mwenyewe hay ndio mlezi ya waengaKwani hizo ofisi mnazoziita ni za CCM zilijengwa na CCM?
Ushauri mzuri kabisa.Mkubwa unaposema chama mbdala wa CCM nii nzuri kujifuza alipokosea mwenzako na ww ufanye vizuri ok Office sio za CCM zilijengwa kwa kodi za wananchi basi na CHADEMA wanapata ruzuku kutokana na kodi za wananchi wajenge
Ni kweli kabisa sio za CCM na CHADEMA wananpata ruzuku kutokana na kodi za wananchi basi nao wajenge office hata moja makao makuu maana tulilelewa kuwa kijana napokuwa ni muhimu kuwa na mji wake na hasa wa kujenga mwenyewe hay ndio mlezi ya waenga
Umetueleza mambo mengi kiasi cha kutushawishi kuwa unajua unachokisema. Lakini mwishowe ukaharibu kwa kutuuliza maswali ambayo ulitakiwa uwe na majibu yake kabla ya kuweka thread hapa jamvini. Inadhihirisha kuwa ulichoandika ni majungu au kwa msemo mwingine ni hadithi tu isiyo na mashiko.Na Chotipembe Ntuguja.
Matumizi ya fedha za ruzuku ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaimeibua maswali mengi miongoni mwa watendaji wakuu wa chama hicho.
Chanzo chetu cha habari ndani ya CHADEMA kimedokeza kuwa kumekuwa na uhamisho mkubwa wa fedha mara tu ruzuku inapoingi kwenye akaunti. Zaidi ya shilingi milioni mia mbili zimekuwa zikihamishwa kila mwezi kwa madai kukijenga chama ila jambo la kustaajabisha ni kuwa pesa hizo huamishiwa kwenye akaunti mpya zilizofunguliwa katika benki moja ya biashara kisha kutolewa taslimu.
Kwa masikitiko makubwa mtoa taarifa huyu alisema ‘kaka ninachokuambia kwa sasa pamoja na ruzuku kuongezeka lakini nakuapia chama hakitafanya maendeleo muhimu kama ya kujenga ofisi wala kuimarisha ofisi za kanda na majimbo, kwa sasa hali ni mbaya tokea Dr. Slaa ameondoka mambo yamekuwa hovyo, taratibu za ofisi hazifuatwi na kumekuwa na matumizi holela ya fedha kwa mambo yasiyo na msingi’’.
Chanzo kingine kilitudokeza kuwa ‘pesa zinazohamishwa baada ya kutolewa benki taslimu ni malipo kwa mwanasiasa mkongwe aliyehama kutoka CCM na Kuja CHADEMA kwa mujibu wa makubaliano’’, ameendelea ndugu yangu mwenyekiti amekuwa ‘mbogo’ hataki kuulizwa kuhusu suala hili na ametamka yeyote atakayeendeleza mjadala atatimuliwa’’.
‘Mimi na vijana wenzangu tuliacha kazi, nilikuwa afisa wa serikali nikajitosa kugombea ubunge Mkoa wa mbeya nilitumia pesa zangu zote mbona silipwi? sababu kura nilizo pata zimesaidia kuongeza ruzuku japo nilikosa ubunge’
Aidha katika hatua nyingine kumekuwa na matumizi makubwa katika mikutano ya chadema huku ikiambatana na hafla kubwa kwenye mahoteli makubwa baada ya mikutano, ndugu yangu mkutano wa juzi pale Mwanza Gold Crest chama kililipa zaidi ya milioni mia mbili hamsini kwa ajili ya vyakula na vinywaji kwa siku mbili ukiachilia mbali posho za wajumbe’’ alidokeza mtoa habari wetu ndani ya chama. Wanatuhumiwa baadhi ya vigogo kuungana na watoa huduma kupandisha gharama ili kujinufaisha ‘ten percent’.
Malalamiko mengine yamejikita kwenye ubaguzi wa dhahiri kwa baadhi ya viongozi ambao hawakuunga mkono suala la mwenyekiti kuwapa ujumbe wa kamati kuu waliokuwa mawaziri wakuu wa awamu ya tatu na nne, Fredrick Sumaye na Edward Lowassa.
‘Ndugu yangu sasa hivi mwenyekiti hana maamuzi na baadhi ya viongozi wameshaambiwa wasichukuwe fomu kugombea nyadhifa kwenye uchaguzi ndani ya chama unaotarajiwa kufanyika mwaka 2018.
‘Ninachokwambia baadhi ya viongozi wapo sababu ni wabunge lakini kulekea uchaguzi mkuu 2020 mtasikia mengi, kuna fukuto kubwa sana na mwenyekiti kwa sasa amefanya shingo ngumu’’
Baada ya mazunguzo haya mwandishi alimtafuta Mwenyekiti wa Taifa ambaye alipokea simu baada ya kuombwa miadi alijibu ‘I am busy’ yaani kabanwa na shughuli, mara ya pili alivyoulizwa tuhuma hizi alimwambia mwandishi aende kwa katibu mkuu ambaye alisema ‘no comment’’ baadaye akajibu anashughuli nyingi ikiwamo safari ya nje ya nchi hivyo hakusema zaidi.
Maswali yangu kutokana na habari hii.
Je ni nani wanalipwa mamilioni haya?
Ni makubaliano gani ya siri baina ya uongozi na watu bila ya maamuzi ya vikao?
Je waliokosa ubunge nao wanalipwa fidia hii?
ni kweli kabisa chadema kinamlipa lowasa milioni mia mbili kila mwezi mbowe anafuja sana ruzuku ya chamaCcm kila kukicha wanajaribu kuonesha upinzani ni mbaya kama walivyo wao na kwamba wakipewa nchi wataiba kama wao!Wanadhani hiyi ndiyo namna pekee ya kuwafanya wananchi waendelee kuiacha madarakani,cha ajabu hawajui kuwa watu washashtuka!Ndio maana kila upiatapo wananchi wanakwambia wamemchagua magufuli na sio ccm!Hii ilitakiwa iwe ishara tosha kwa ccm na kuchukua hatua ya kujijenga upya,cha ajabu wamelala wanategemea one man show na kuchafua upinzani kwa propaganda!
Ndio maana unakuta uzushi kama huu unatungwa kwa makusudi ili kuchafua upinzani!
Hawa vijana wao wanatumia tumbo tu kufikiri,kazi yao ndiyo hiyo!hulipwa kwa ajili hiyo ya kujifanya mazuzu!
Tuwaelimishe wataelewa,wale waliokubuhu kwenye uzuzu tayari sio maigizo tena,ndio tayari wameshakuwa hivyo!Hao ukiwatoa hata kwenye utaratibu wa malipo,hawawezi fikiri sawasawa,they are mentally dependent!
chadema ugonjwa wa ruzuku ni wa kudumu ushawadesha wengi kama wangwe na kwa zitoo mlikwaa kisikiLumumba timu mko vizuri haswa duh
Poleni kama mnataka kuzima nguvu ya CHADEMA kwa mfumo huo mmefeli sana tumeziba masikio