Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Umekomaa na lugumi huku Mbowe anafilisi chamaHatuwezi kusahau Lugumi ndugu na style zenu mfu.

Hii mada imeletwa na wana cdm walio na machungu na chama chaoMnaleta mada za kutoa watu KWENYE mstari ehh, acheni hizo toeni boriti ndani ya jicho kabla ya kuona kibanzi kwa wengine. Je CCM mwenyekiti aliahirisha tarehe ya kumkabidhi JPM kisa pesa mbona hamkuandika na ccm ndio Wana ruzuku kubwa? Kumbukeni uchaguzi mkuu umeisha miezi 6 tu ILIYOPITA, na VYAMA VYETU vimetumia pesa nyingi sana, hivyo madeni nayo ni mkubwa sana, acheni majungu.
Huwezi kujadili jambo moja kila siku.Mnaleta mada za kutoa watu KWENYE mstari ehh, acheni hizo toeni boriti ndani ya jicho kabla ya kuona kibanzi kwa wengine. Je CCM mwenyekiti aliahirisha tarehe ya kumkabidhi JPM kisa pesa mbona hamkuandika na ccm ndio Wana ruzuku kubwa? Kumbukeni uchaguzi mkuu umeisha miezi 6 tu ILIYOPITA, na VYAMA VYETU vimetumia pesa nyingi sana, hivyo madeni nayo ni mkubwa sana, acheni majungu.
Na Chotipembe Ntuguja.
Matumizi ya fedha za ruzuku ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaimeibua maswali mengi miongoni mwa watendaji wakuu wa chama hicho.
Chanzo chetu cha habari ndani ya CHADEMA kimedokeza kuwa kumekuwa na uhamisho mkubwa wa fedha mara tu ruzuku inapoingi kwenye akaunti. Zaidi ya shilingi milioni mia mbili zimekuwa zikihamishwa kila mwezi kwa madai kukijenga chama ila jambo la kustaajabisha ni kuwa pesa hizo huamishiwa kwenye akaunti mpya zilizofunguliwa katika benki moja ya biashara kisha kutolewa taslimu.
Kwa masikitiko makubwa mtoa taarifa huyu alisema ‘kaka ninachokuambia kwa sasa pamoja na ruzuku kuongezeka lakini nakuapia chama hakitafanya maendeleo muhimu kama ya kujenga ofisi wala kuimarisha ofisi za kanda na majimbo, kwa sasa hali ni mbaya tokea Dr. Slaa ameondoka mambo yamekuwa hovyo, taratibu za ofisi hazifuatwi na kumekuwa na matumizi holela ya fedha kwa mambo yasiyo na msingi’’.
Chanzo kingine kilitudokeza kuwa ‘pesa zinazohamishwa baada ya kutolewa benki taslimu ni malipo kwa mwanasiasa mkongwe aliyehama kutoka CCM na Kuja CHADEMA kwa mujibu wa makubaliano’’, ameendelea ndugu yangu mwenyekiti amekuwa ‘mbogo’ hataki kuulizwa kuhusu suala hili na ametamka yeyote atakayeendeleza mjadala atatimuliwa’’.
‘Mimi na vijana wenzangu tuliacha kazi, nilikuwa afisa wa serikali nikajitosa kugombea ubunge Mkoa wa mbeya nilitumia pesa zangu zote mbona silipwi? sababu kura nilizo pata zimesaidia kuongeza ruzuku japo nilikosa ubunge’
Aidha katika hatua nyingine kumekuwa na matumizi makubwa katika mikutano ya chadema huku ikiambatana na hafla kubwa kwenye mahoteli makubwa baada ya mikutano, ndugu yangu mkutano wa juzi pale Mwanza Gold Crest chama kililipa zaidi ya milioni mia mbili hamsini kwa ajili ya vyakula na vinywaji kwa siku mbili ukiachilia mbali posho za wajumbe’’ alidokeza mtoa habari wetu ndani ya chama. Wanatuhumiwa baadhi ya vigogo kuungana na watoa huduma kupandisha gharama ili kujinufaisha ‘ten percent’.
Malalamiko mengine yamejikita kwenye ubaguzi wa dhahiri kwa baadhi ya viongozi ambao hawakuunga mkono suala la mwenyekiti kuwapa ujumbe wa kamati kuu waliokuwa mawaziri wakuu wa awamu ya tatu na nne, Fredrick Sumaye na Edward Lowassa.
‘Ndugu yangu sasa hivi mwenyekiti hana maamuzi na baadhi ya viongozi wameshaambiwa wasichukuwe fomu kugombea nyadhifa kwenye uchaguzi ndani ya chama unaotarajiwa kufanyika mwaka 2018.
‘Ninachokwambia baadhi ya viongozi wapo sababu ni wabunge lakini kulekea uchaguzi mkuu 2020 mtasikia mengi, kuna fukuto kubwa sana na mwenyekiti kwa sasa amefanya shingo ngumu’’
Baada ya mazunguzo haya mwandishi alimtafuta Mwenyekiti wa Taifa ambaye alipokea simu baada ya kuombwa miadi alijibu ‘I am busy’ yaani kabanwa na shughuli, mara ya pili alivyoulizwa tuhuma hizi alimwambia mwandishi aende kwa katibu mkuu ambaye alisema ‘no comment’’ baadaye akajibu anashughuli nyingi ikiwamo safari ya nje ya nchi hivyo hakusema zaidi.
Maswali yangu kutokana na habari hii.
Je ni nani wanalipwa mamilioni haya?
Ni makubaliano gani ya siri baina ya uongozi na watu bila ya maamuzi ya vikao?
Je waliokosa ubunge nao wanalipwa fidia hii?
Kwanini unasoma hoja za mbwakoko..kisha unalialia.Jiangalie tena.We ni mbwa koko kutoka lumumba
Kumbe unatafuta kulipwa fidia baada ya kukosa ubunge?!
Jamaa katoa pumba bila kupiga hesabu Lumumba kuna virojaUnajua ruzuku ya chama ni kiasi gani kwa mwezi?kama inatoka mil 200,hiyo ni significant loss kiasi kwamba kwa pesa inayobaki chama hakiwezi kuwalipa watumishi wake!Hizi ni shobo tu na propaganda!CAG angekuwa ameshaliona hili!
KUNA VIJANA WATATU MMOJA NI WEWE MNAONGOZA KWA UONGO MNAIDHALILISHA SANA JF.
Umeleta ripoti ukiwa kama nani? na kutoka kwa nani ?na ili iwe nini?na utanaka tuchangie nini?bahati mbaya hatuna akili za Lumumba,nenda mkahadithiane nyumbani kwenu hukoMimi nimeleta ripoti kama ilivyo,wewe unalialia.Jikite kwenye hoja.
Hapan wew unapaswa kujiongeza ,hata tuhuma za lowsa kuja chadema mlitokwa na povu wengine wakaenda mbali na kuweka nadhari ,mbalimbali ,kama kutembea uchi ,mara kugawa Tigo endapo lowasa angehamia chadema leo hii ndo mungu wenu
ccm waliwasilisha....Angeliona wapi wakati ni moja ya chama kilishindwa kuwasilisha hati ya mahesabu kwa CAG au hukuiona hii taarifa?
CCM ni miongoni mwa vyama vilivyokimbia kupeleka hiyo taarifaccm waliwasilisha....
? Ndi ndi ndii....!
Mhuu kweli mkuu umetengeneza vizuri Habari yakoNa Chotipembe Ntuguja.
Matumizi ya fedha za ruzuku ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaimeibua maswali mengi miongoni mwa watendaji wakuu wa chama hicho.
Chanzo chetu cha habari ndani ya CHADEMA kimedokeza kuwa kumekuwa na uhamisho mkubwa wa fedha mara tu ruzuku inapoingi kwenye akaunti. Zaidi ya shilingi milioni mia mbili zimekuwa zikihamishwa kila mwezi kwa madai kukijenga chama ila jambo la kustaajabisha ni kuwa pesa hizo huamishiwa kwenye akaunti mpya zilizofunguliwa katika benki moja ya biashara kisha kutolewa taslimu.
Kwa masikitiko makubwa mtoa taarifa huyu alisema ‘kaka ninachokuambia kwa sasa pamoja na ruzuku kuongezeka lakini nakuapia chama hakitafanya maendeleo muhimu kama ya kujenga ofisi wala kuimarisha ofisi za kanda na majimbo, kwa sasa hali ni mbaya tokea Dr. Slaa ameondoka mambo yamekuwa hovyo, taratibu za ofisi hazifuatwi na kumekuwa na matumizi holela ya fedha kwa mambo yasiyo na msingi’’.
Chanzo kingine kilitudokeza kuwa ‘pesa zinazohamishwa baada ya kutolewa benki taslimu ni malipo kwa mwanasiasa mkongwe aliyehama kutoka CCM na Kuja CHADEMA kwa mujibu wa makubaliano’’, ameendelea ndugu yangu mwenyekiti amekuwa ‘mbogo’ hataki kuulizwa kuhusu suala hili na ametamka yeyote atakayeendeleza mjadala atatimuliwa’’.
‘Mimi na vijana wenzangu tuliacha kazi, nilikuwa afisa wa serikali nikajitosa kugombea ubunge Mkoa wa mbeya nilitumia pesa zangu zote mbona silipwi? sababu kura nilizo pata zimesaidia kuongeza ruzuku japo nilikosa ubunge’
Aidha katika hatua nyingine kumekuwa na matumizi makubwa katika mikutano ya chadema huku ikiambatana na hafla kubwa kwenye mahoteli makubwa baada ya mikutano, ndugu yangu mkutano wa juzi pale Mwanza Gold Crest chama kililipa zaidi ya milioni mia mbili hamsini kwa ajili ya vyakula na vinywaji kwa siku mbili ukiachilia mbali posho za wajumbe’’ alidokeza mtoa habari wetu ndani ya chama. Wanatuhumiwa baadhi ya vigogo kuungana na watoa huduma kupandisha gharama ili kujinufaisha ‘ten percent’.
Malalamiko mengine yamejikita kwenye ubaguzi wa dhahiri kwa baadhi ya viongozi ambao hawakuunga mkono suala la mwenyekiti kuwapa ujumbe wa kamati kuu waliokuwa mawaziri wakuu wa awamu ya tatu na nne, Fredrick Sumaye na Edward Lowassa.
‘Ndugu yangu sasa hivi mwenyekiti hana maamuzi na baadhi ya viongozi wameshaambiwa wasichukuwe fomu kugombea nyadhifa kwenye uchaguzi ndani ya chama unaotarajiwa kufanyika mwaka 2018.
‘Ninachokwambia baadhi ya viongozi wapo sababu ni wabunge lakini kulekea uchaguzi mkuu 2020 mtasikia mengi, kuna fukuto kubwa sana na mwenyekiti kwa sasa amefanya shingo ngumu’’
Baada ya mazunguzo haya mwandishi alimtafuta Mwenyekiti wa Taifa ambaye alipokea simu baada ya kuombwa miadi alijibu ‘I am busy’ yaani kabanwa na shughuli, mara ya pili alivyoulizwa tuhuma hizi alimwambia mwandishi aende kwa katibu mkuu ambaye alisema ‘no comment’’ baadaye akajibu anashughuli nyingi ikiwamo safari ya nje ya nchi hivyo hakusema zaidi.
Maswali yangu kutokana na habari hii.
Je ni nani wanalipwa mamilioni haya?
Ni makubaliano gani ya siri baina ya uongozi na watu bila ya maamuzi ya vikao?
Je waliokosa ubunge nao wanalipwa fidia hii?
Vielelezo aliweka Kubenea kuhalalisha uhusika wa EL kwenye Richmond akavikana.Habari inapotoka wengi hukimbilia kusema uzushi ila taratibu utaelewa.[/QUOTE
Hapo sasa ndio umeharibu story yako mkuu maana rangi yako halisi imeonekana tayari
Weka source kama sivyo ni uzushi mtupuUsikaze shingo kwa mambo ya msingi.Ukweli mara nyingi huchukiwa.
Na Chotipembe Ntuguja.
Matumizi ya fedha za ruzuku ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaimeibua maswali mengi miongoni mwa watendaji wakuu wa chama hicho.
Chanzo chetu cha habari ndani ya CHADEMA kimedokeza kuwa kumekuwa na uhamisho mkubwa wa fedha mara tu ruzuku inapoingi kwenye akaunti. Zaidi ya shilingi milioni mia mbili zimekuwa zikihamishwa kila mwezi kwa madai kukijenga chama ila jambo la kustaajabisha ni kuwa pesa hizo huamishiwa kwenye akaunti mpya zilizofunguliwa katika benki moja ya biashara kisha kutolewa taslimu.
Kwa masikitiko makubwa mtoa taarifa huyu alisema ‘kaka ninachokuambia kwa sasa pamoja na ruzuku kuongezeka lakini nakuapia chama hakitafanya maendeleo muhimu kama ya kujenga ofisi wala kuimarisha ofisi za kanda na majimbo, kwa sasa hali ni mbaya tokea Dr. Slaa ameondoka mambo yamekuwa hovyo, taratibu za ofisi hazifuatwi na kumekuwa na matumizi holela ya fedha kwa mambo yasiyo na msingi’’.
Chanzo kingine kilitudokeza kuwa ‘pesa zinazohamishwa baada ya kutolewa benki taslimu ni malipo kwa mwanasiasa mkongwe aliyehama kutoka CCM na Kuja CHADEMA kwa mujibu wa makubaliano’’, ameendelea ndugu yangu mwenyekiti amekuwa ‘mbogo’ hataki kuulizwa kuhusu suala hili na ametamka yeyote atakayeendeleza mjadala atatimuliwa’’.
‘Mimi na vijana wenzangu tuliacha kazi, nilikuwa afisa wa serikali nikajitosa kugombea ubunge Mkoa wa mbeya nilitumia pesa zangu zote mbona silipwi? sababu kura nilizo pata zimesaidia kuongeza ruzuku japo nilikosa ubunge’
Aidha katika hatua nyingine kumekuwa na matumizi makubwa katika mikutano ya chadema huku ikiambatana na hafla kubwa kwenye mahoteli makubwa baada ya mikutano, ndugu yangu mkutano wa juzi pale Mwanza Gold Crest chama kililipa zaidi ya milioni mia mbili hamsini kwa ajili ya vyakula na vinywaji kwa siku mbili ukiachilia mbali posho za wajumbe’’ alidokeza mtoa habari wetu ndani ya chama. Wanatuhumiwa baadhi ya vigogo kuungana na watoa huduma kupandisha gharama ili kujinufaisha ‘ten percent’.
Malalamiko mengine yamejikita kwenye ubaguzi wa dhahiri kwa baadhi ya viongozi ambao hawakuunga mkono suala la mwenyekiti kuwapa ujumbe wa kamati kuu waliokuwa mawaziri wakuu wa awamu ya tatu na nne, Fredrick Sumaye na Edward Lowassa.
‘Ndugu yangu sasa hivi mwenyekiti hana maamuzi na baadhi ya viongozi wameshaambiwa wasichukuwe fomu kugombea nyadhifa kwenye uchaguzi ndani ya chama unaotarajiwa kufanyika mwaka 2018.
‘Ninachokwambia baadhi ya viongozi wapo sababu ni wabunge lakini kulekea uchaguzi mkuu 2020 mtasikia mengi, kuna fukuto kubwa sana na mwenyekiti kwa sasa amefanya shingo ngumu’’
Baada ya mazunguzo haya mwandishi alimtafuta Mwenyekiti wa Taifa ambaye alipokea simu baada ya kuombwa miadi alijibu ‘I am busy’ yaani kabanwa na shughuli, mara ya pili alivyoulizwa tuhuma hizi alimwambia mwandishi aende kwa katibu mkuu ambaye alisema ‘no comment’’ baadaye akajibu anashughuli nyingi ikiwamo safari ya nje ya nchi hivyo hakusema zaidi.
Maswali yangu kutokana na habari hii.
Je ni nani wanalipwa mamilioni haya?
Ni makubaliano gani ya siri baina ya uongozi na watu bila ya maamuzi ya vikao?
Je waliokosa ubunge nao wanalipwa fidia hii?
SOURCE PLSMbona povu linakutoka hivyo.Hiyo ripoti ishughulikieni mnauchukia ukweli.JF ni chanzo kikubwa cha habari.
Mapato na matumizi ya ccm hayapo kwa CAG wala hatafahamiki ndiyo maana Magufuli kawagomea kuwapa pesa za Serikali kwa Ajili ya kuendeshea mkutano mkuu wa ccm, pesa yote ya Ruzuku, miladi Michango ya wanachama na pesa Toka chama cha china yoote imeliwa na wajanja na pengine Wewe ni mmojawapo maana inaelekea unaogopa kitu.Kama ungekuwa una akili hata ya kuazima kwa nini ushadadie habari ambayo credibility yake inatia shaka? Ufanisi wa chama unatokana na uzuri wa majengo yake? Ndiyo maana Juha wewe nimekwambia tupe mapato na matumizi ya chadema ili tulinganishe kwa kazi wanayofanya hailingani na mapato, what is the base of your accusation?
Je mahesabu ya CCM yanafahamika kwa CAG? Kwa nini nyinyi walamba miguu mko very low kichwani? Hebu acheni kujikomba vyeo havipatikani kihivyo wapuuzi nyie