TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

Ntajikita kwenye uzushi ambao hauna source?Kwenye habari yako unataja mwandishi, mwandishi wa nini?Nijadili nini?hapo kuna hoja gani?utumbo huu unaita hoja?kwa hiyo kila kinachoandikwa hapa ni hoja ama?
Mbona povu linakutoka hivyo.Hiyo ripoti ishughulikieni mnauchukia ukweli.JF ni chanzo kikubwa cha habari.
 
Mbona povu linakutoka hivyo.Hiyo ripoti ishughulikieni mnauchukia ukweli.JF ni chanzo kikubwa cha habari.
Kwa hiyo mwandishi wa JF ndie aliye mpigia simu Mwenyekiti wa CHADEMA na ndie aliyeandika hii habari, kwa maana hiyo Mwandishi wa Habari ndio wewe wa JF?ungeandika basi source ni JF , huu uzushi wako umeandika kimakosa yaani umechemka, maswali yako na contents havina kabisa uhusiano na nashangaa mpaka sasa moderators hawajaona huu uchafu na kuufutilia mbali?Suala ni ruzuku lakini habari yako imejaa mambo mengine ambayo hayana uhusiano kabisa na ubadirifu wa ruzuku na ndio maana ulichoandika kinaonekana hakina tofauti na kinyesi
 
Taahira ni wewe unayewatetea wenzako waliopiga mabilioni kama akina Lugumi na Riz moja, tena hela za walipa kodi kwa ufisadi wa kutisha badala ya kutaka wakamatwe unajitia ujuha kuwatukana wanaotaka majizi yawajibishwe.

Kama wewe si taahira hebu tupe evidence ya utumiaji wa pesa za ruzuku za chadema, nyambafuuu
Hilo suala la evidence lielekeze kwa mleta uzi. Nyinyi mnapewa fedha nyingi halafu bado makao makuu ya chama chenu ni yale ya Ufipa!, fedha yote mnayopewa na wazungu haifanani na zile ofisi zenu, nyinyi wapigaji. Mbwembwe nyingi lakini mahesabu ya chama hayafahamiki kwa CAG. Mkipewa nchi mtafanya mangapi machafu!!. Hao kina Lugumi na mengine hata nyinyi mnaweza kuwa nayo ikiwa mtapewa nchi, ushahidiupo wazi kabisa.
 
Kwa hiyo mwandishi wa JF ndie aliye mpigia simu Mwenyekiti wa CDM na ndie aliyeandika hii habari, kwa maana hiyo Mwandishi wa Habari ndio wewe wa JF?ungeandika basi source ni JF , huu uzushi wako umeandika kimakosa yaani umechemka, maswali yako na contents havina kabisa uhusiano na nashangaa mpaka sasa moderators hawajaona huu uchafu na kuufutilia mbali?Suala ni ruzuku lakini habari yako imejaa mambo mengine ambayo hayana uhusiano kabisa na ubadirifu wa ruzuku na ndio maana ulichoandika kinaonekana hakina tofauti na kinyesi
Unachekesha dogo..kwani wewe una maslahi gani hapo CHADEMA?..au wewe ni Mbowe manake umechafukwa roho kwa haya mambo kuwa wazi?
 
Tatizo tutajuane kama tunajenga hoja na wenye akili timamu,huenda mshapiga viroba,bange na unga!Ndugai anasema vifaa vitawekwa,kweli mna hali mbaya
Dogo unalialia...huo ndio ukweli toka ndani ya chama.
 
Kumbe unatafuta kulipwa fidia baada ya kukosa ubunge?!
 
Unajua ruzuku ya chama ni kiasi gani kwa mwezi?kama inatoka mil 200,hiyo ni significant loss kiasi kwamba kwa pesa inayobaki chama hakiwezi kuwalipa watumishi wake!Hizi ni shobo tu na propaganda!CAG angekuwa ameshaliona hili!
Alokwambia CAG amewah kagua hesabu za vyama vya siasa ni nan au ushapata kiroba cha asubuhi
 
Hilo suala la evidence lielekeze kwa mleta uzi. Nyinyi mnapewa fedha nyingi halafu bado makao makuu ya chama chenu ni yale ya Ufipa!, fedha yote mnayopewa na wazungu haifanani na zile ofisi zenu, nyinyi wapigaji. Mbwembwe nyingi lakini mahesabu ya chama hayafahamiki kwa CAG. Mkipewa nchi mtafanya mangapi machafu!!. Hao kina Lugumi na mengine hata nyinyi mnaweza kuwa nayo ikiwa mtapewa nchi, ushahidiupo wazi kabisa.
Kama ungekuwa una akili hata ya kuazima kwa nini ushadadie habari ambayo credibility yake inatia shaka? Ufanisi wa chama unatokana na uzuri wa majengo yake? Ndiyo maana Juha wewe nimekwambia tupe mapato na matumizi ya chadema ili tulinganishe kwa kazi wanayofanya hailingani na mapato, what is the base of your accusation?
Je mahesabu ya CCM yanafahamika kwa CAG? Kwa nini nyinyi walamba miguu mko very low kichwani? Hebu acheni kujikomba vyeo havipatikani kihivyo wapuuzi nyie
 
Kumbe unatafuta kulipwa fidia baada ya kukosa ubunge?!
Waulize waliolalamika dogo.Je ni kina nani waligombea Mbeya na kukosa.Wanalalamika mgombea kulipwa mamilioni wakati hata wao walitumia pesa zao lakini hawalipwi.
 
Na Chotipembe Ntuguja.

Matumizi ya fedha za ruzuku ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaimeibua maswali mengi miongoni mwa watendaji wakuu wa chama hicho.Chanzo chetu cha habari ndani ya CHADEMA kimedokeza kuwa kumekuwa na uhamisho mkubwa wa fedha mara tu ruzuku inapoingi kwenye akaunti. Zaidi ya shilingi milioni mia mbili zimekuwa zikihamishwa kila mwezi kwa madai kukijenga chama ila jambo la kustaajabisha ni kuwa pesa hizo huamishiwa kwenye akaunti mpya zilizofunguliwa katika benki moja ya biashara kisha kutolewa taslimu. Kwa masikitiko makubwa mtoa taarifa huyu alisema ‘kaka ninachokuambia kwa sasa pamoja na ruzuku kuongezeka lakini nakuapia chama hakitafanya maendeleo muhimu kama ya kujenga ofisi wala kuimarisha ofisi za kanda na majimbo,kwa sasa hali ni mbaya tokea Dr.Slaa ameondoka mambo yamekuwa hovyo,taratibu za ofisi hazifuatwi na kumekuwa na matumizi holela ya fedha kwa mambo yasiyo na msingi’’. Chanzo kingine kilitudokeza kuwa ‘pesa zinazohamishwa baada ya kutolewa benki taslimu ni malipo kwa mwanasiasa mkongwe aliyehama kutoka CCM na Kuja CHADEMA kwa mujibu wa makubaliano’’, ameendelea ndugu yangu mwenyekiti amekuwa ‘mbogo’hataki kuulizwa kuhusu suala hili na ametamka yeyote atakayeendeleza mjadala atatimuliwa’’. ‘Mimi na vijana wenzangu tuliacha kazi,nilikuwa afisa wa serikali nikajitosa kugombea ubunge Mkoa wa mbeya nilitumia pesa zangu zote mbona silipwi? sababu kura nilizo pata zimesaidia kuongeza ruzuku japo nilikosa ubunge’

Aidha katika hatua nyingine kumekuwa na matumizi makubwa katika mikutano ya chadema huku ikiambatana na hafla kubwa kwenye mahoteli makubwa baada ya mikutano, ndugu yangu mkutano wa juzi pale mwanza Goldcrest chama kililipa zaidi ya milioni mia mbili hamsini kwa ajili ya vyakula na vinywaji kwa siku mbili ukiachilia mbali posho za wajumbe’’ alidokeza mtoa habari wetu ndani ya chama. Wanatuhumiwa baadhi ya vigogo kuungana na watoa huduma kupandisha gharama ili kujinufaisha ‘ten percent’.

Malalamiko mengine yamejikita kwenye ubaguzi wa dhahiri kwa baadhi ya viongozi ambao hawakuunga mkono suala la mwenyekiti kuwapa ujumbe wa kamati kuu waliokuwa mawaziri wakuu wa awamu ya tatu na nne,Fredrick Sumaye na Edward Lowasa. ‘Ndugu yangu sasa hivi mwenyekiti hana maamuzi na baadhi ya viongozi wameshaambiwa wasichukuwe fomu kugombea nyadhifa kwenye uchaguzi ndani ya chama unaotarajiwa kufanyika mwaka 2018. ‘ninachokwambia baadhi ya viongozi wapo sababu ni wabunge lakini kulekea uchaguzi mkuu 2020 mtasikia mengi, kuna fukuto kubwa sana na mwenyekiti kwa sasa amefanya shingo ngumu’’

Baada ya mazunguzo haya mwandishi alimtafuta Mwenyekiti wa Taifa ambaye alipokea simu baada ya kuombwa miadi alijibu ‘I am busy’ yaani kabanwa na shughuli, mara ya pili alivyoulizwa tuhuma hizi alimwambia mwandishi aende kwa katibu mkuu ambaye alisema ‘no comment’’ baadaye akajibu anashughuli nyingi ikiwamo safari ya nje ya nchi hivyo hakusema zaidi.

Maswali yangu kutokana na habari hii.

Je ni nani wanalipwa mamilioni haya?

Ni makubaliano gani ya siri baina ya uongozi na watu bila ya maamuzi ya vikao?

Je waliokosa ubunge nao wanalipwa fidia hii?


KUNA VIJANA WATATU MMOJA NI WEWE MNAONGOZA KWA UONGO MNAIDHALILISHA SANA JF.
 
Back
Top Bottom