Mkuu hii inahusiana nini na alichoandika mtoa utumbo?mada ni upotevu wa ruzuku ambao hauna hata taarifa inayojitosheleza, baada ya kuongelea ruzuku anaongelea kulipwa kwa wabunge na uchaguzi wa 2018 hivi vyote vinahusiana na ruzuku?Ndio maana nikasema CHADEMA isijifanye inao usafi wa kipekee, na wao ni wale wale tu, wachumia tumbo, wavizia fursa. Mabadiliko waliyoahidi kiasi cha kuwafanya watu wazungushe mikono hewani, hayafanani na kutiliwa shaka kwa maadili yao halisi.