Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,578
Chama hakiwezi kujengwa na fisadi.Naona wazee wa kuangaika na chama kubwa Chadema meanza baado ndio tunaendelea kukijenga chama stay tune

Na Chotipembe Ntuguja.
Kwa masikitiko makubwa mtoa taarifa huyu alisema ‘kaka ninachokuambia kwa sasa pamoja na ruzuku kuongezeka lakini nakuapia chama hakitafanya maendeleo muhimu kama ya kujenga ofisi wala kuimarisha ofisi za kanda na majimbo, kwa sasa hali ni mbaya tokea Dr. Slaa ameondoka mambo yamekuwa hovyo, taratibu za ofisi hazifuatwi na kumekuwa na matumizi holela ya fedha kwa mambo yasiyo na msingi’’.
Chanzo kingine kilitudokeza kuwa ‘pesa zinazohamishwa baada ya kutolewa benki taslimu ni malipo kwa mwanasiasa mkongwe aliyehama kutoka CCM na Kuja CHADEMA kwa mujibu wa makubaliano’’, ameendelea ndugu yangu mwenyekiti amekuwa ‘mbogo’ hataki kuulizwa kuhusu suala hili na ametamka yeyote atakayeendeleza mjadala atatimuliwa’’.
Malalamiko mengine yamejikita kwenye ubaguzi wa dhahiri kwa baadhi ya viongozi ambao hawakuunga mkono suala la mwenyekiti kuwapa ujumbe wa kamati kuu waliokuwa mawaziri wakuu wa awamu ya tatu na nne, Fredrick Sumaye na Edward Lowassa.
‘Ndugu yangu sasa hivi mwenyekiti hana maamuzi na baadhi ya viongozi wameshaambiwa wasichukuwe fomu kugombea nyadhifa kwenye uchaguzi ndani ya chama unaotarajiwa kufanyika mwaka 2018.
‘Ninachokwambia baadhi ya viongozi wapo sababu ni wabunge lakini kulekea uchaguzi mkuu 2020 mtasikia mengi, kuna fukuto kubwa sana na mwenyekiti kwa sasa amefanya shingo ngumu’’
Maswali yangu kutokana na habari hii.
Je ni nani wanalipwa mamilioni haya?
Ni makubaliano gani ya siri baina ya uongozi na watu bila ya maamuzi ya vikao?
Je waliokosa ubunge nao wanalipwa fidia hii?
Mnacheka na kujitekenya wenyewe kisha mnacheka tenaUmenena vema mkuu,Chadema ni kama muda wowote wanagawana mali.Hatari sana.
CCM imejenga wapi Ofisi hata moja?Chama kina miaka 24 tangu kimeanzishwa bado kimepanga bado unadhani hiki chama kina future??
Hata aliyeingia mjini miaka 10 iliyopita akafanya kazi kwa kijituma amejenga na anakaa kwake
Ofisi ndogo Lumumba,Ukumbi mpya wa mikutano dodoma.CCM imejenga wapi Ofisi hata moja?
Na Chotipembe Ntuguja.
Matumizi ya fedha za ruzuku ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaimeibua maswali mengi miongoni mwa watendaji wakuu wa chama hicho.
Chanzo chetu cha habari ndani ya CHADEMA kimedokeza kuwa kumekuwa na uhamisho mkubwa wa fedha mara tu ruzuku inapoingi kwenye akaunti. Zaidi ya shilingi milioni mia mbili zimekuwa zikihamishwa kila mwezi kwa madai kukijenga chama ila jambo la kustaajabisha ni kuwa pesa hizo huamishiwa kwenye akaunti mpya zilizofunguliwa katika benki moja ya biashara kisha kutolewa taslimu.
Kwa masikitiko makubwa mtoa taarifa huyu alisema ‘kaka ninachokuambia kwa sasa pamoja na ruzuku kuongezeka lakini nakuapia chama hakitafanya maendeleo muhimu kama ya kujenga ofisi wala kuimarisha ofisi za kanda na majimbo, kwa sasa hali ni mbaya tokea Dr. Slaa ameondoka mambo yamekuwa hovyo, taratibu za ofisi hazifuatwi na kumekuwa na matumizi holela ya fedha kwa mambo yasiyo na msingi’’.
Chanzo kingine kilitudokeza kuwa ‘pesa zinazohamishwa baada ya kutolewa benki taslimu ni malipo kwa mwanasiasa mkongwe aliyehama kutoka CCM na Kuja CHADEMA kwa mujibu wa makubaliano’’, ameendelea ndugu yangu mwenyekiti amekuwa ‘mbogo’ hataki kuulizwa kuhusu suala hili na ametamka yeyote atakayeendeleza mjadala atatimuliwa’’.
‘Mimi na vijana wenzangu tuliacha kazi, nilikuwa afisa wa serikali nikajitosa kugombea ubunge Mkoa wa mbeya nilitumia pesa zangu zote mbona silipwi? sababu kura nilizo pata zimesaidia kuongeza ruzuku japo nilikosa ubunge’
Aidha katika hatua nyingine kumekuwa na matumizi makubwa katika mikutano ya chadema huku ikiambatana na hafla kubwa kwenye mahoteli makubwa baada ya mikutano, ndugu yangu mkutano wa juzi pale Mwanza Gold Crest chama kililipa zaidi ya milioni mia mbili hamsini kwa ajili ya vyakula na vinywaji kwa siku mbili ukiachilia mbali posho za wajumbe’’ alidokeza mtoa habari wetu ndani ya chama. Wanatuhumiwa baadhi ya vigogo kuungana na watoa huduma kupandisha gharama ili kujinufaisha ‘ten percent’.
Malalamiko mengine yamejikita kwenye ubaguzi wa dhahiri kwa baadhi ya viongozi ambao hawakuunga mkono suala la mwenyekiti kuwapa ujumbe wa kamati kuu waliokuwa mawaziri wakuu wa awamu ya tatu na nne, Fredrick Sumaye na Edward Lowassa.
‘Ndugu yangu sasa hivi mwenyekiti hana maamuzi na baadhi ya viongozi wameshaambiwa wasichukuwe fomu kugombea nyadhifa kwenye uchaguzi ndani ya chama unaotarajiwa kufanyika mwaka 2018.
‘Ninachokwambia baadhi ya viongozi wapo sababu ni wabunge lakini kulekea uchaguzi mkuu 2020 mtasikia mengi, kuna fukuto kubwa sana na mwenyekiti kwa sasa amefanya shingo ngumu’’
Baada ya mazunguzo haya mwandishi alimtafuta Mwenyekiti wa Taifa ambaye alipokea simu baada ya kuombwa miadi alijibu ‘I am busy’ yaani kabanwa na shughuli, mara ya pili alivyoulizwa tuhuma hizi alimwambia mwandishi aende kwa katibu mkuu ambaye alisema ‘no comment’’ baadaye akajibu anashughuli nyingi ikiwamo safari ya nje ya nchi hivyo hakusema zaidi.
Maswali yangu kutokana na habari hii.
Je ni nani wanalipwa mamilioni haya?
Ni makubaliano gani ya siri baina ya uongozi na watu bila ya maamuzi ya vikao?
Je waliokosa ubunge nao wanalipwa fidia hii?
Ushahidi mwingine.Antony komu mkurugenzi wa chadema anamiliki mapori makubwa bagamoyo pesa za chama kaziingiza kwenye miradi yake binafsi
hili chama la wapiga dili, limekuwa jalala la wapiga dili, ukitaka wakuite msaliti basi toa hoja za kuonesha upotevu wa pesa
Hawapendi ukweli kabisa.hili chama la wapiga dili, limekuwa jalala la wapiga dili, ukitaka wakuite msaliti basi toa hoja za kuonesha upotevu wa pesa
Na Chotipembe Ntuguja.
Matumizi ya fedha za ruzuku ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaimeibua maswali mengi miongoni mwa watendaji wakuu wa chama hicho.
Chanzo chetu cha habari ndani ya CHADEMA kimedokeza kuwa kumekuwa na uhamisho mkubwa wa fedha mara tu ruzuku inapoingi kwenye akaunti. Zaidi ya shilingi milioni mia mbili zimekuwa zikihamishwa kila mwezi kwa madai kukijenga chama ila jambo la kustaajabisha ni kuwa pesa hizo huamishiwa kwenye akaunti mpya zilizofunguliwa katika benki moja ya biashara kisha kutolewa taslimu.
Kwa masikitiko makubwa mtoa taarifa huyu alisema ‘kaka ninachokuambia kwa sasa pamoja na ruzuku kuongezeka lakini nakuapia chama hakitafanya maendeleo muhimu kama ya kujenga ofisi wala kuimarisha ofisi za kanda na majimbo, kwa sasa hali ni mbaya tokea Dr. Slaa ameondoka mambo yamekuwa hovyo, taratibu za ofisi hazifuatwi na kumekuwa na matumizi holela ya fedha kwa mambo yasiyo na msingi’’.
Chanzo kingine kilitudokeza kuwa ‘pesa zinazohamishwa baada ya kutolewa benki taslimu ni malipo kwa mwanasiasa mkongwe aliyehama kutoka CCM na Kuja CHADEMA kwa mujibu wa makubaliano’’, ameendelea ndugu yangu mwenyekiti amekuwa ‘mbogo’ hataki kuulizwa kuhusu suala hili na ametamka yeyote atakayeendeleza mjadala atatimuliwa’’.
‘Mimi na vijana wenzangu tuliacha kazi, nilikuwa afisa wa serikali nikajitosa kugombea ubunge Mkoa wa mbeya nilitumia pesa zangu zote mbona silipwi? sababu kura nilizo pata zimesaidia kuongeza ruzuku japo nilikosa ubunge’
Aidha katika hatua nyingine kumekuwa na matumizi makubwa katika mikutano ya chadema huku ikiambatana na hafla kubwa kwenye mahoteli makubwa baada ya mikutano, ndugu yangu mkutano wa juzi pale Mwanza Gold Crest chama kililipa zaidi ya milioni mia mbili hamsini kwa ajili ya vyakula na vinywaji kwa siku mbili ukiachilia mbali posho za wajumbe’’ alidokeza mtoa habari wetu ndani ya chama. Wanatuhumiwa baadhi ya vigogo kuungana na watoa huduma kupandisha gharama ili kujinufaisha ‘ten percent’.
Malalamiko mengine yamejikita kwenye ubaguzi wa dhahiri kwa baadhi ya viongozi ambao hawakuunga mkono suala la mwenyekiti kuwapa ujumbe wa kamati kuu waliokuwa mawaziri wakuu wa awamu ya tatu na nne, Fredrick Sumaye na Edward Lowassa.
‘Ndugu yangu sasa hivi mwenyekiti hana maamuzi na baadhi ya viongozi wameshaambiwa wasichukuwe fomu kugombea nyadhifa kwenye uchaguzi ndani ya chama unaotarajiwa kufanyika mwaka 2018.
‘Ninachokwambia baadhi ya viongozi wapo sababu ni wabunge lakini kulekea uchaguzi mkuu 2020 mtasikia mengi, kuna fukuto kubwa sana na mwenyekiti kwa sasa amefanya shingo ngumu’’
Baada ya mazunguzo haya mwandishi alimtafuta Mwenyekiti wa Taifa ambaye alipokea simu baada ya kuombwa miadi alijibu ‘I am busy’ yaani kabanwa na shughuli, mara ya pili alivyoulizwa tuhuma hizi alimwambia mwandishi aende kwa katibu mkuu ambaye alisema ‘no comment’’ baadaye akajibu anashughuli nyingi ikiwamo safari ya nje ya nchi hivyo hakusema zaidi.
Maswali yangu kutokana na habari hii.
Je ni nani wanalipwa mamilioni haya?
Ni makubaliano gani ya siri baina ya uongozi na watu bila ya maamuzi ya vikao?
Je waliokosa ubunge nao wanalipwa fidia hii?
Huyo jamaa aliyeleta uzi huu hadharani, akae chonjo. La sivyo! Shauri yake. Ndugu zake wasije laumu kua hatukutahadhalisha.Nili suala la Matumizi mabaya ya fedha za ruzuku lilishawahi kulalamikiwa na marehemu Chacha Wangwe (RIP)
Matumizi mabaya ya pesa yapo kwenye Ruzuku ya ccm hapa umeandika kinyume tu.Na Chotipembe Ntuguja.
Matumizi ya fedha za ruzuku ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaimeibua maswali mengi miongoni mwa watendaji wakuu wa chama hicho.
Chanzo chetu cha habari ndani ya CHADEMA kimedokeza kuwa kumekuwa na uhamisho mkubwa wa fedha mara tu ruzuku inapoingi kwenye akaunti. Zaidi ya shilingi milioni mia mbili zimekuwa zikihamishwa kila mwezi kwa madai kukijenga chama ila jambo la kustaajabisha ni kuwa pesa hizo huamishiwa kwenye akaunti mpya zilizofunguliwa katika benki moja ya biashara kisha kutolewa taslimu.
Kwa masikitiko makubwa mtoa taarifa huyu alisema ‘kaka ninachokuambia kwa sasa pamoja na ruzuku kuongezeka lakini nakuapia chama hakitafanya maendeleo muhimu kama ya kujenga ofisi wala kuimarisha ofisi za kanda na majimbo, kwa sasa hali ni mbaya tokea Dr. Slaa ameondoka mambo yamekuwa hovyo, taratibu za ofisi hazifuatwi na kumekuwa na matumizi holela ya fedha kwa mambo yasiyo na msingi’’.
Chanzo kingine kilitudokeza kuwa ‘pesa zinazohamishwa baada ya kutolewa benki taslimu ni malipo kwa mwanasiasa mkongwe aliyehama kutoka CCM na Kuja CHADEMA kwa mujibu wa makubaliano’’, ameendelea ndugu yangu mwenyekiti amekuwa ‘mbogo’ hataki kuulizwa kuhusu suala hili na ametamka yeyote atakayeendeleza mjadala atatimuliwa’’.
‘Mimi na vijana wenzangu tuliacha kazi, nilikuwa afisa wa serikali nikajitosa kugombea ubunge Mkoa wa mbeya nilitumia pesa zangu zote mbona silipwi? sababu kura nilizo pata zimesaidia kuongeza ruzuku japo nilikosa ubunge’
Aidha katika hatua nyingine kumekuwa na matumizi makubwa katika mikutano ya chadema huku ikiambatana na hafla kubwa kwenye mahoteli makubwa baada ya mikutano, ndugu yangu mkutano wa juzi pale Mwanza Gold Crest chama kililipa zaidi ya milioni mia mbili hamsini kwa ajili ya vyakula na vinywaji kwa siku mbili ukiachilia mbali posho za wajumbe’’ alidokeza mtoa habari wetu ndani ya chama. Wanatuhumiwa baadhi ya vigogo kuungana na watoa huduma kupandisha gharama ili kujinufaisha ‘ten percent’.
Malalamiko mengine yamejikita kwenye ubaguzi wa dhahiri kwa baadhi ya viongozi ambao hawakuunga mkono suala la mwenyekiti kuwapa ujumbe wa kamati kuu waliokuwa mawaziri wakuu wa awamu ya tatu na nne, Fredrick Sumaye na Edward Lowassa.
‘Ndugu yangu sasa hivi mwenyekiti hana maamuzi na baadhi ya viongozi wameshaambiwa wasichukuwe fomu kugombea nyadhifa kwenye uchaguzi ndani ya chama unaotarajiwa kufanyika mwaka 2018.
‘Ninachokwambia baadhi ya viongozi wapo sababu ni wabunge lakini kulekea uchaguzi mkuu 2020 mtasikia mengi, kuna fukuto kubwa sana na mwenyekiti kwa sasa amefanya shingo ngumu’’
Baada ya mazunguzo haya mwandishi alimtafuta Mwenyekiti wa Taifa ambaye alipokea simu baada ya kuombwa miadi alijibu ‘I am busy’ yaani kabanwa na shughuli, mara ya pili alivyoulizwa tuhuma hizi alimwambia mwandishi aende kwa katibu mkuu ambaye alisema ‘no comment’’ baadaye akajibu anashughuli nyingi ikiwamo safari ya nje ya nchi hivyo hakusema zaidi.
Maswali yangu kutokana na habari hii.
Je ni nani wanalipwa mamilioni haya?
Ni makubaliano gani ya siri baina ya uongozi na watu bila ya maamuzi ya vikao?
Je waliokosa ubunge nao wanalipwa fidia hii?
Hawa jamaa ukitaka kuelewana nao, usiwakosoe.Angeliona wapi wakati ni moja ya chama kilishindwa kuwasilisha hati ya mahesabu kwa CAG au hukuiona hii taarifa?
Huyo ni Lizabon yupo Uvunguni nyumbani kwa Lugumi kajificha akiogopa kudakwa na kitwanga ambaye anamdai mapesa yake ya utetezi kwenye Mitandao.Post za u DC bado hazijatoka, naona watu na majina yao halisi wafikiriwe kwenye post, mtajikomba sana hata kuonekana mataahira kwa kuchumia matumbo
Chadema ni chama cha kitaifa cha watanzania, Ruzuku inatoka kwenye mapato ya watanzania. Lazima tuone uchungu kama hizi tetesi zinazowekeza ukweli. Kitu muhimu hapa kuhakikisha ukweli wa hizi habari.Sasa wewe ya CHADEMA yanakuuma nini lamda
Maana zinazoliwa ni zetu sio za CCM