TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

Chama cha "DEMOKRASIA" na "MAENDELEO".....cha mrengo wa kulia kabisa
 
Kwani LUGUMi kashfa ya CCM au Serikali yako? Wameliofanya hayo madudu ni maofisa wa serikalini tunaomini hawana chama na wamepanda ngazi kutokana na perfomance au elimu zao.
CHDM wana kashfa kuwa tu nyingi Kama hujui, moja Wapo ni hiyo ya kukimbia ukaguzi CAG

Hizo kashfa nyingi ziko mahakama ipi? au wana kinga ya kupelekwa mahakamani?
 
Naona wazee wa kuangaika na chama kubwa Chadema meanza baado ndio tunaendelea kukijenga chama stay tune
 
Ccm kila kukicha wanajaribu kuonesha upinzani ni mbaya kama walivyo wao na kwamba wakipewa nchi wataiba kama wao!Wanadhani hiyi ndiyo namna pekee ya kuwafanya wananchi waendelee kuiacha madarakani,cha ajabu hawajui kuwa watu washashtuka!Ndio maana kila upiatapo wananchi wanakwambia wamemchagua magufuli na sio ccm!Hii ilitakiwa iwe ishara tosha kwa ccm na kuchukua hatua ya kujijenga upya,cha ajabu wamelala wanategemea one man show na kuchafua upinzani kwa propaganda!
Ndio maana unakuta uzushi kama huu unatungwa kwa makusudi ili kuchafua upinzani!
Hawa vijana wao wanatumia tumbo tu kufikiri,kazi yao ndiyo hiyo!hulipwa kwa ajili hiyo ya kujifanya mazuzu!
Tuwaelimishe wataelewa,wale waliokubuhu kwenye uzuzu tayari sio maigizo tena,ndio tayari wameshakuwa hivyo!Hao ukiwatoa hata kwenye utaratibu wa malipo,hawawezi fikiri sawasawa,they are mentally dependent!
 
daah..team ulevi bana ..mnahangaiikaa..mnatafuta udc kwa polojo...poleni sana ..hv na ninyi mliokimbilia Act mambo ya chadema yanawahusu nn ? kama mna taka kurudi chadema c mseme tu..
Mkuu ruzuku ni fedha ni za umma.
 
Sina muda wa kujibu hoja mufilisi na za kitoto kama zako.

Unaleta tuhuma zenye hoja za upande mmoja alafu tuhuma zenye hazina chanzo cha habari yako.

Huo ni upimbi na undumilakuwili.
Inatosha hata kwa povu ulilotoa.Ukweli umekuumiza sana.
 
Ccm kila kukicha wanajaribu kuonesha upinzani ni mbaya kama walivyo wao na kwamba wakipewa nchi wataiba kama wao!Wanadhani hiyi ndiyo namna pekee ya kuwafanya wananchi waendelee kuiacha madarakani,cha ajabu hawajui kuwa watu washashtuka!Ndio maana kila upiatapo wananchi wanakwambia wamemchagua magufuli na sio ccm!Hii ilitakiwa iwe ishara tosha kwa ccm na kuchukua hatua ya kujijenga upya,cha ajabu wamelala wanategemea one man show na kuchafua upinzani kwa propaganda!
Ndio maana unakuta uzushi kama huu unatungwa kwa makusudi ili kuchafua upinzani!
Hawa vijana wao wanatumia tumbo tu kufikiri,kazi yao ndiyo hiyo!hulipwa kwa ajili hiyo ya kujifanya mazuzu!
Tuwaelimishe wataelewa,wale waliokubuhu kwenye uzuzu tayari sio maigizo tena,ndio tayari wameshakuwa hivyo!Hao ukiwatoa hata kwenye utaratibu wa malipo,hawawezi fikiri sawasawa,they are mentally dependent!
Ccm kila kukicha wanajaribu kuonesha upinzani ni mbaya kama walivyo wao na kwamba wakipewa nchi wataiba kama wao!Wanadhani hiyi ndiyo namna pekee ya kuwafanya wananchi waendelee kuiacha madarakani,cha ajabu hawajui kuwa watu washashtuka!Ndio maana kila upiatapo wananchi wanakwambia wamemchagua magufuli na sio ccm!Hii ilitakiwa iwe ishara tosha kwa ccm na kuchukua hatua ya kujijenga upya,cha ajabu wamelala wanategemea one man show na kuchafua upinzani kwa propaganda!
Ndio maana unakuta uzushi kama huu unatungwa kwa makusudi ili kuchafua upinzani!
Hawa vijana wao wanatumia tumbo tu kufikiri,kazi yao ndiyo hiyo!hulipwa kwa ajili hiyo ya kujifanya mazuzu!
Tuwaelimishe wataelewa,wale waliokubuhu kwenye uzuzu tayari sio maigizo tena,ndio tayari wameshakuwa hivyo!Hao ukiwatoa hata kwenye utaratibu wa malipo,hawawezi fikiri sawasawa,they are mentally dependent!
Ccm kila kukicha wanajaribu kuonesha upinzani ni mbaya kama walivyo wao na kwamba wakipewa nchi wataiba kama wao!Wanadhani hiyi ndiyo namna pekee ya kuwafanya wananchi waendelee kuiacha madarakani,cha ajabu hawajui kuwa watu washashtuka!Ndio maana kila upiatapo wananchi wanakwambia wamemchagua magufuli na sio ccm!Hii ilitakiwa iwe ishara tosha kwa ccm na kuchukua hatua ya kujijenga upya,cha ajabu wamelala wanategemea one man show na kuchafua upinzani kwa propaganda!
Ndio maana unakuta uzushi kama huu unatungwa kwa makusudi ili kuchafua upinzani!
Hawa vijana wao wanatumia tumbo tu kufikiri,kazi yao ndiyo hiyo!hulipwa kwa ajili hiyo ya kujifanya mazuzu!
Tuwaelimishe wataelewa,wale waliokubuhu kwenye uzuzu tayari sio maigizo tena,ndio tayari wameshakuwa hivyo!Hao ukiwatoa hata kwenye utaratibu wa malipo,hawawezi fikiri sawasawa,they are mentally dependent!
Ccm kila kukicha wanajaribu kuonesha upinzani ni mbaya kama walivyo wao na kwamba wakipewa nchi wataiba kama wao!Wanadhani hiyi ndiyo namna pekee ya kuwafanya wananchi waendelee kuiacha madarakani,cha ajabu hawajui kuwa watu washashtuka!Ndio maana kila upiatapo wananchi wanakwambia wamemchagua magufuli na sio ccm!Hii ilitakiwa iwe ishara tosha kwa ccm na kuchukua hatua ya kujijenga upya,cha ajabu wamelala wanategemea one man show na kuchafua upinzani kwa propaganda!
Ndio maana unakuta uzushi kama huu unatungwa kwa makusudi ili kuchafua upinzani!
Hawa vijana wao wanatumia tumbo tu kufikiri,kazi yao ndiyo hiyo!hulipwa kwa ajili hiyo ya kujifanya mazuzu!
Tuwaelimishe wataelewa,wale waliokubuhu kwenye uzuzu tayari sio maigizo tena,ndio tayari wameshakuwa hivyo!Hao ukiwatoa hata kwenye utaratibu wa malipo,hawawezi fikiri sawasawa,they are mentally dependent!
Upinzani ni mzuri...ila kwa ubadhirifu wa ruzuku,mkiachiwa chungu cha TRA itakuwa balaa...suala hapa sio Chadema bali ni nani yupo chadema.
 
Ccm ilichokwisha fanya TRA ni zaidi ya balaa!
 
Chama kina miaka 24 tangu kimeanzishwa bado kimepanga bado unadhani hiki chama kina future??
Hata aliyeingia mjini miaka 10 iliyopita akafanya kazi kwa kijituma amejenga na anakaa kwake
Umenena vema mkuu,Chadema ni kama muda wowote wanagawana mali.Hatari sana.
 
250m ni ukumbi na vinywaji tu.....mkutano mkuu wa ccm hutumia zaidi ya billioni mbna hushangai kwao
 
Gharama ya mkutano mkuu CCM wenye wajumbe zaidi ya 3000 kutoka nchi nzima utakaofanyika june,2016 kumpa uenyekiti Dr.Magufuli ni Milioni 600 pamoja na posho za wajumbe.Chadema Mwanza mkutano wa wajumbe 200 unatumia zaidi ya milioni 250 nje ya posho.Mkuu,hapo maswali mengi yanaibuka.
 
Acha uongo, hizo data umepata wapi?
 
chadema ni chama cha cha kifamilia zaidi, ambao sio wanafamilia wajue wanavuja jasho bure tu
 
Angeliona wapi wakati ni moja ya chama kilishindwa kuwasilisha hati ya mahesabu kwa CAG au hukuiona hii taarifa?
Nimefurahi kwa jibu lako zuri......ni moja ya chama, nitajie vilivyobaki na kwanini havikutekeleza hilo, na kwanini cdm pekee ndo inasemwa sana??
 
Ukiwasikia wanavyokomaa na Lugumi utadhani wao watakatifuuu kweli!
Hapo ndio hawajashika dola wakishika dola hawa usalama wa pesa za walipa kodi sijui utakuaje!
 
Back
Top Bottom