TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

hizi post za namna hii zimeshapitwa na wakati na huuu sio msimu wake
 
Kitwanga azidi kupata wafuasa Kwenye mitandao ya kijamii, Wakudadavuwa yabainika ni mlevi wa uongo, unafiki na majunguu...
 
Hizi propaganda siyo mpya, zimeshazoeleka na kupuuzwa.Tafuteni propaganda nyingine hii imeshachakaa. Hata hivyo CHADEMA itaendelea kuwepo na kuendelea kuwa tishio. VIVA CHADEMA.
 
Unachekesha dogo..kwani wewe una maslahi gani hapo CHADEMA?..au wewe ni Mbowe manake umechafukwa roho kwa haya mambo kuwa wazi?
Suala sio uchadema suala ni kijana kama wewe unavyoandika utumbo ambao mpaka mtoto wa darasa la pili hawezi kuulewa, kaa chini jipange lete hoja na sio uchafu
 
Suala sio uchadema suala ni kijana kama wewe unavyoandika utumbo ambao mpaka mtoto wa darasa la pili hawezi kuulewa, kaa chini jipange lete hoja na sio uchafu
Itakuwa umeumizwa na ukweli.
 
Mbwembwe nyingi lakini mahesabu ya chama hayafahamiki kwa CAG. Mkipewa nchi mtafanya mangapi machafu!!. Hao kina Lugumi na mengine hata nyinyi mnaweza kuwa nayo ikiwa mtapewa nchi, ushahidiupo wazi kabisa.
Chama kinachoongoza nchi mahesabu yake yanafahamika kwa CAG?
 
Waulize waliolalamika dogo.Je ni kina nani waligombea Mbeya na kukosa.Wanalalamika mgombea kulipwa mamilioni wakati hata wao walitumia pesa zao lakini hawalipwi.
Katiba ya CDM inasema ukigombea ukakosa ubunge inabidi ulipwe Tshs ngapi?Wewe ndio umeandika habari halafu unaomba third party hawaulize wanaolalamika
 
daah..team ulevi bana ..mnahangaiikaa..mnatafuta udc kwa polojo...poleni sana ..hv na ninyi mliokimbilia Act mambo ya chadema yanawahusu nn ? kama mna taka kurudi chadema c mseme tu..
 
Mimi nimeleta ripoti kama ilivyo,wewe unalialia.Jikite kwenye hoja.
Ripoti ipi ambayo umeleta?hii ni ripoti?kwa hiyo hapo mzee ndio umekaa ukaandika ripoti?Pole sana nadhani na moderator wa Jf wameshastuka ile habari yako ya CDM kuhusu Iringa wameunganisha hapa buku 7 imeota mbawa, pamoja na kuwa hili ni jukwaa huru jipangani basi, mnatia aibu sana , manonekana kituko yaani unaandika vitu, hitimisho na main body havina contents kabisa halafu unaita ripoti?Wakudadavua please jiongeze unatia aibu
 
Kuna hoja ya kujikita hapo Juha wewe? Subiria buku saba zako
Mwenyewe kaona kaleta bonge la hoja, kushinda wenzake wote, kichwa cha habari, intro, content na hitimisho havina kabisa uhusiano
 
Chama kinachoongoza nchi mahesabu yake yanafahamika kwa CAG?
Ndio maana nikasema CHADEMA isijifanye inao usafi wa kipekee, na wao ni wale wale tu, wachumia tumbo, wavizia fursa. Mabadiliko waliyoahidi kiasi cha kuwafanya watu wazungushe mikono hewani, hayafanani na kutiliwa shaka kwa maadili yao halisi.
 
Hilo ni kosa la money laundering, hakuna dhamani wakikamatwa akina Mbowe na genge lake.
 
Back
Top Bottom