Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

Big brother ushabiki uwekwe pembeni Diamond alitakiwa kuwa professional na wakili wake angepitia sababu za yeye kufungiwa na ingewezekana wangefanya press conference.
Pamoja na hilo bibi yule nae ni mpenda Kiki. [emoji58] [emoji54]
 
Kwa ulivyo BRN unafikir kila mtu ni uwezo wa akili sa HIZI yako???hivi hizo team unafikir kuna MTU anakubali au anaonekana


Basi mnaitwaga sometimes TEAM HATER'S.
hahaaaa kwahiyo mwanaume mzima umeamua kukaa kaaa na kumpamba mwanaume mwenzio ..aiseeee mimi siwezi though nina mambo yakufnya """
hujawahi kufikiria na wewe uweze kuwa na mafanikio ktika nyanja yoyote ile ili sikumoja nawewe uzungumziwe ...kuliko kupoteza muda wako kushinda shinda jf nakumsifia mwanaume mwenzio "" au mchele mchele nini mwenzetu. . ..maana sio mara ya kwanza nakuona unapata shida mnooo kila jamaa anaposhauriwa jambo nawatu """
any way nilikuwa sijui huwenda ikawa na mjibu asmah platnum hapa au queen darling....maana hzi fake id nazo zina mambo ......hahaaaaa
 
Huyo baba ana mambo ya kijinga. Kwahiyo akiwa anatuwakilisha ndo asifuate sheria?
Sijapenda uamuzi wa Shonza ila utetezi wa lemutuz wa kitoto
Inagawa Sipendi malumbano na Wala simfagilii Diamond Kwa Tabia zake kabisa,ila Leo nimegundua kuwa Kumbe wewe una akili za Kikubwa....
Kumbe wewe ni Mkubwa huna akili za kitoto[emoji14] [emoji14] [emoji6] [emoji6]
Mzigua90
 
Wivu wa kike! kwani akipata Kuna tatizo!

Mpendekeze Dada ako basi kupitia Watsap namba 15385 awe malkia wa nguvu!
 
Malkia Wa nguvu kwa kufungia nyimbo za dai AU

Ova
 
Kama Shonza anatumika kumkomoa Makonda kupitia diamond, atakua amekosea.
Nakumbuka yule meneja wa diamond alisema nyimbo zao huwa zinapewa baraka na mlezi wao Makonda.
 
Huyo le mutuz nime mdharau..
Kuna muda tunajikuta tunaingia kwenye dhambi ambazo hazituhusu!!!

Sasa swala la Mond na waziri Ruge anaingiaje hapa..ki uhalisia yale maneno aliyo yatoa Mondi kwenye twitter juzi hayafurahishi hata kidogo...

Hakuna mtu asiye jua kuwa Basata kuna tatizo na vilele wasanii wanajua kabisa wanaongozwà na sheria ambazo zimepitwa na wakati na sheria zenyewe za utamaduni ambazo haziendani na mabadikiko yalio fanyika kwenye sanaa ya kipindi hiki..

Sasa mtu anaye jiita akili kubwa kama le mutuz anashindwa kufikiri hata hivi vitu vidogo nilijua atamshauri vizuri Mondi ila ni tofauti.....

Najiuliza kitu hapa Ina maana LE MUTUZ ,TALE, SALLAM NA MOND hawakusikikiza mjadala kati ya BASATA, WIZARA na wadau wa sanaa ulio itishwa na XXL? au kwa kuwa ndo bifu na ishu kama ile wameshindwa kuifatilia?

Tukio sikiliza tulijua dhahili kabisa ndani ya Basata kuna tatizo na sio dogo ni ishu ya mfumo ndani ya basata. Ndomana hata maswali waliyo kuwa wakiulizwa walikuwa wanashindwa kuyajibu....

Huyu Le Mutuz hafai kuwa rafiki...

Ukiwa na Rafiki muda wote akawa ana kusifia kwa unacho kifanya jua dhahiri huyo ndo anakupoteza..Ukweli humuongoza mtu.panapo stahili tutasifia na pasipo stahili tuseme....Ningekuwa mimi Le mutuz nisinge ungana nae labda kwasababu ni shabiki wa Mond.....


MOND AOMBE MSAMAHA TU KWA MANENO ALIYO YATOA..MUSIKI UENDELEE
 
Kwa mtazamo wangu, Diamond na wasanii wengine wameonewa na huyo mkurupukaji Juliana Shonza kupitia BASATA,

Le mutuz na kina salam sk wanafeli kumuingiza Clouds Media kwenye ukurupukaji wa Basata na Shonza kwasababu kila kitu kiko wazi kuwa hata hao Clouds Media wenyewe wamerekodiwa kwenye hicho kipindi wakipinga Shonza na Basata kufungia sanaa za wasanii wote akiwemo Diamond.

Lemutuz ni akili ndogo kama Bashite aliyemtuma kulazimishia Ruge aingizwe kwenye matope ya shonza na Basata.

Haki ya Diamond inazidi kucheleweshwa kwasababu amemuachia meneja fisi Salam SK achotwe akili na Bashite ili kupambanisha mabeef binafsi ya Ruge na Bashite kupitia sanaa ya Diamond bila kujali kuwa kuna wasanii 15 wengine waliofungiwa.
 
Clouds, shonza,CCM wote hao ni maadui namba moja wa Diamond kwa sasa
 
Back
Top Bottom