Tuhuma za JWTZ kupiga raia huko Kawe: Tunaomba Waziri wa Ulinzi ajitokezee kukemea, kulaani, na kukataza jeshi kujichukulia sheria mkononi

Hakuna mtu mwenye akili anaekubaliana na matukio yote mawili. Kuua mtu au kupiga raia.

Kwa vile mtuhumiwa alikuwa ameshakamatwa na polisi, hivyo hapakuwa sababu ya wanajeshi kuingia mtaani kupiga watu wasiokuwa na hatia hovyo.
Ok sawa
 
Wengi wa wanajeshi walikuwa failure in life, hali duni kimaisha na kuingia jeshini ni only option waliyokuwa nayo, mtatukana ila ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…