Akilihuru
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 1,512
- 2,980
Ok sawaHakuna mtu mwenye akili anaekubaliana na matukio yote mawili. Kuua mtu au kupiga raia.
Kwa vile mtuhumiwa alikuwa ameshakamatwa na polisi, hivyo hapakuwa sababu ya wanajeshi kuingia mtaani kupiga watu wasiokuwa na hatia hovyo.