Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #21
Kama jeshi halithamini raia basi pia haliwezi kuthamini mipaka yetu.Uko sawa kabisa, hao mgambo wachunjwe, Mwanajeshi hajafunzwa kupiga wananchi anaowalinda.
Siyo kaushamba,hawa ni washamba kabisa, nakumbuka miaka ya nyuma pale Mwenge kwenye magorofa waliyokuwa wanakaa hawa washamba walikuwa wanaweka mapazia ya viroba. Hawa walitakiwa wakae porini tu kwenye makambi yao.Majamaa wanakuwaga na kaushamba fulani hivi
Sheria zitumike.Hekima na busara zitumike.
Mkuu soma comment number #12Sasa unataka nini ? Raia wamechokoza geshi? ...tuwe subira yatapita ni upepo mbaya tuuu.......karibu kambini tuyajenge
Mkuu sifurahii, na pia kulikuwa na sababu ya mauaji. Sio kwamba dogo alitoka huko akaja tu kumvamia na kumuua.Wewe umefurahia nini yeye kupoteza maisha?
Hayo ni yako wewe na raia kwa wanajeshi ......wana version yao.....umeua agisa mkuu jeshi....hiyo ndio heading tafsiri itapatikana courtMkuu soma comment number #12
Nimecheka sana 🤣🤣🤣Siyo kaushamba,hawa ni washamba kabisa, nakumbuka miaka ya nyuma pale Mwenge kwenye magorofa waliyokuwa wanakaa hawa washamba walikuwa wanaweka mapazia ya viroba. Hawa walitakiwa wakae porini tu kwenye makambi yao.
Walivyo wapumbavu wanasubiri habari hii ichapishwe Instagram, Facebook, na twitter ndio wajitokeze TANZANIA kuna upumbavu mwingi sanaHabari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa ajili ya kumlinda, na kumpigania mwananchi wa Tanzania.
Lakini pia liliundwa kwa ajili ya kuilinda mipaka ya Tanzania, pamoja na viongozi wa Tanzania akiwemo raisi wa nchi (ambae ni amiri jeshi wao mkuu) mawaziri, wakuu wa mikoa na viongozi wengine mbali mbali. Hilo ndio lilikuwa lengo la kuundwa kwa jeshi hilo, lkn pia kupewa jina hilo (JWTZ)
Sasa inashangaza sana jeshi ambalo lingewalinda na kuwapigania wananchi, ndio linageuka kuwa jeshi la kuwapiga hovyo wananchi, kuwatesa wananchi na hata wengine kuwauwa wananchi bila sababu za msingi.
Yes tunajua kwamba kila binadamu ana mapungufu yake, hivyo wapo wananchi wanaofanya makosa, au mambo mabaya kwa jeshi letu. Lakini kuna sheria na mahakama ambavyo vinaweza kutumika kuwaadhifu wale wanaofanya mambo mabaya kwa jeshi letu, na sio jeshi hilo kukimbilia tu kujichukulia sheria mkononi mpaka kupelekea maafa kama yaliotokea Kawe na kwengineko.
Malalamiko ya wananchi au raia dhidi ya jeshi hayakuanza leo, ila cha kushangaza badala ya kumalizwa kwa njia ya amani, ndio yanazidi kuongezeka kwa njia za kuchochewa na jeshi hilo hilo lililopewa dhamana ya kutulinda.
Kwa kilichotokea juzi huko Kawe, nafikiri viongozi wengi wa kiserikali wanalifahamu, lkn kwa vile pengine sio wahusika wakuu wa maswala ya kiusalama ndio maana hawahitaji kuliingilia swala hili.
Hivyo sisi wananchi tunamuomba waziri husika wa ulinzi mama yetu Stergomena Tax, pamoja na waziri wa mambo ya ndani brother Masauni waingilie kati swala hili kwa kuonya, kulaani na kutolea maelezo swala husika.
Msingoje mpaka raisi aje kulizungumzia mwenyewe, na wakati nyinyi kama mawaziri mmepewa dhamana ya kutulinda.
Kwa niaba ya wananchi wanyonge, ni mimi mpigania haki zao Mr Dudumizi wa somewhere in Kawe.
Kutupiga hakuwezi kuzuia watu kusema mkuu.Ndio maana mnapigwa kwa kuwa na mdomo mrefu
Sawa..Kutupiga hakuwezi kuzuia watu kusema mkuu.
Kweli kabisa mkuu, ngoja tuone...Walivyo wapumbavu wanasubiri habari hii ichapishwe Instagram, Facebook, na twitter ndio wajitokeze TANZANIA kuna upumbavu mwingi sana
Watu washapigwa na kuumia na hawahusiki afu unasema busara itumike?Hekima na busara zitumike.
Ingia mtaani basi na mdudu, slaa, na mwambulukuku muandamane mpaka jeshini. Mwiteni na lussu awasaidie kisheria za kufoka foka.Watu washapigwa na kuumia na hawahusiki afu unasema busara itumike?
na ka inferiority complex hivi.Wala haujakosea mkuu 😀😂
Hakuna kiongozi yoyote anaweza kuwakemea ama kuwachukulia hatua yoyote hao wanajeshi, maana viongozi hawa wako madarakani kwa wizi ww kura, na hisani ya jeshi ndio inawafanya waendelee kukaa madarakani. Ingekuwa ni viongozi walioko madarakani kwa kura halali wangeweza kukemea, ama hata kuchukua hatua.Habari zenu wanaJF wenzangu,