Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
unatamani kujitoa nnje ya hojaeeWe dogo, acha kuleta utani kwenye mambo serious basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatamani kujitoa nnje ya hojaeeWe dogo, acha kuleta utani kwenye mambo serious basi
Mbaya zaidi wanalipa kisasi kwa kila aliyeko mbele yao, ina maana hata wangekutana na dingi yako anatoka misele wangekata funua tu. 🤣 🤣 🤣Wewe umefurahia nini yeye kupoteza maisha?
Kuna mtu wakulichukulia jeshi hatua unakumbuka kipindi cha mabomu ya mbagala nini kilitokeaSheria za nchi zifuatwe na wahusika wachukuliwe hatua.
Sasa tumeelewana!Vyote kwa pamoja mkuu.
Vice versaMtoa maada umeandika ujinga pia waao changia. Hawafikiri vizur. Hakuna sababu yeyote inayo kupa haki ya kuu.huo ni uasi
Kikwete ni mwanajeshi, kumbuka hilo.Kikwete alikemea na alifanikiwa kumaliza uhuni huu.
Magufuli alikuta jeshi lenye nidhamu akaendeleza alipo achia Mwamba Kikwete.
Tunayasikia sasa yanajirudia mambo ya awamu ya Mkapa kurudi miaka ya nyuma.
Mpigwe tu, raia mnaua mwanajeshi halafu mnaleta sheria, na bado.Pa1 mkuu, ifike mahala kila mmoja wetu apaze sauti yake.
Maana leo kwa wana Kawe hatujui kesho itakuwa kwa kina nani.
Anachukuwa mademu na watoto wao,... Ninyi subiri baadaeKweli mkuu, kuna vijana wengi tu wazalendo wa kweli na wenye utii mkubwa kwa jeshi letu huko JKT.
Ila kwa bahati mbaya wamekosa connection au vigezo vichache tu vya kuchaguliwa JWTZ.
Hivyo inabidi hao mgambo kama ulivyosema watolewe jeshini na nafasi zao zichukuliwe na hao niliosema hapo juu au sio mkuu..
It seems kawe imekuwa kama ukanda wa GazaTulieni raia.....Jeshi lipo kwenye operation safisha vibaka Kawe
Alimchoma kisu sehemu gani?Afisa ameuwawa baada ya kuleta utemi wa kishamba.
Kaziba barabara, dogo akamuomba kistarab tu afisa huyo apaki gari yake vizuri ili dogo apate njia ya kupita na bajaj yake. Ofisa kuona macho ya watu akaona kadharauliwa na kutembeza makofi kwa dogo.
Dogo nae hakupenda unyonge uendelee, ndo akachomoa cha mkunjo na kulenga sehemu husika iliyomuangusha ofisa na kupelekea kupotez maisha.
Kaeni.kimya acheni kuchochea msivyojua,haya mambo humalizwa kimya kimya bila kelele za media!!Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa ajili ya kumlinda, na kumpigania mwananchi wa Tanzania.
Lakini pia liliundwa kwa ajili ya kuilinda mipaka ya Tanzania, pamoja na viongozi wa Tanzania akiwemo raisi wa nchi (ambae ni amiri jeshi wao mkuu) mawaziri, wakuu wa mikoa na viongozi wengine mbali mbali. Hilo ndio lilikuwa lengo la kuundwa kwa jeshi hilo, lkn pia kupewa jina hilo (JWTZ)
Sasa inashangaza sana jeshi ambalo lingewalinda na kuwapigania wananchi, ndio linageuka kuwa jeshi la kuwapiga hovyo wananchi, kuwatesa wananchi na hata wengine kuwauwa wananchi bila sababu za msingi.
Yes tunajua kwamba kila binadamu ana mapungufu yake, hivyo wapo wananchi wanaofanya makosa, au mambo mabaya kwa jeshi letu. Lakini kuna sheria na mahakama ambavyo vinaweza kutumika kuwaadhifu wale wanaofanya mambo mabaya kwa jeshi letu, na sio jeshi hilo kukimbilia tu kujichukulia sheria mkononi mpaka kupelekea maafa kama yaliotokea Kawe na kwengineko.
Malalamiko ya wananchi au raia dhidi ya jeshi hayakuanza leo, ila cha kushangaza badala ya kumalizwa kwa njia ya amani, ndio yanazidi kuongezeka kwa njia za kuchochewa na jeshi hilo hilo lililopewa dhamana ya kutulinda.
Kwa kilichotokea juzi huko Kawe, nafikiri viongozi wengi wa kiserikali wanalifahamu, lkn kwa vile pengine sio wahusika wakuu wa maswala ya kiusalama ndio maana hawahitaji kuliingilia swala hili.
Hivyo sisi wananchi tunamuomba waziri husika wa ulinzi mama yetu Stergomena Tax, pamoja na waziri wa mambo ya ndani brother Masauni waingilie kati swala hili kwa kuonya, kulaani na kutolea maelezo swala husika.
Msingoje mpaka raisi aje kulizungumzia mwenyewe, na wakati nyinyi kama mawaziri mmepewa dhamana ya kutulinda.
Kwa niaba ya wananchi wanyonge, ni mimi mpigania haki zao Mr Dudumizi wa somewhere in Kawe.
Ahsante Kwa kupaza sauti....Habari zenu wanaJF wenzangu,

Tutawanyoosha hao viherehere alafu majeruhi tutwapeleka hospitali za jeshi mbona kazi mtakuwa nayo, kikubwa ni heshima kabla hujauponzaKuna siku raia watavurugwa, hatatoka mwanajeshi mtaani..
Raia alimkuta mwanajeshi anafanya yake akamvamia tu bila sababu?Mpigwe tu, raia mnaua mwanajeshi halafu mnaleta sheria, na bado.
Haya basi endeleeni kujilinda na kipigo cha wanajeshi, muuweni na mwengine.Raia alimkuta mwanajeshi anafanya yake akamvamia tu bila sababu?
Raia alikuwa anajilinda sababu anayepaswa kumlinda ndiyo kamshambulia.
Wakiendeleza kupiga raia ovyo machafuko yatatokea tu.Haya basi endeleeni kujilinda na kipigo cha wanajeshi, muuweni na mwengine.
Au ndiye yule tumeona wanamzika Manyoni, wanasema kaua Dar , Afisa wa Jeshi?Nasikia wameua afisa mkuu wa jeshi.....classified info jeshi hawatajibu
Inasemekana ni mabishano ya mpira?Nasikia wameua afisa mkuu wa jeshi.....classified info jeshi hawatajibu