Tuhuma za JWTZ kupiga raia huko Kawe: Tunaomba Waziri wa Ulinzi ajitokezee kukemea, kulaani, na kukataza jeshi kujichukulia sheria mkononi

Anachukuwa mademu na watoto wao,... Ninyi subiri baadae
 
Alimchoma kisu sehemu gani?
 
Kaeni.kimya acheni kuchochea msivyojua,haya mambo humalizwa kimya kimya bila kelele za media!!

Msifikiri Kila jambo huwa ni la kisiasa eti lazima watu wasikie!!

Tutulie!
 
Ahsante Kwa kupaza sauti....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…