Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu mangikule, ushauri wa bure kwako ni Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!Yuko Jehanam ya Moto! washtaki wake (ben saanane, Simon Kanguye na jopo kubwa la wale waliotumbukizwa baharini kwenye viroba ) wapo kule peponi wanatabasamu na baba yao ibrahim!! Jiwe anatia huruma anavyosaga meno kwa uchungu wa moto mkali!
P