Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

Adolph Hitler, Benito Mussolini, Iddi Amini, Mobutu Seseseko
Adolph Hitler dunia nzima inamjua, sasa huyo Mwendazake anavunja rikodi gani ya Hitler mtu ambaye alikuwa anavamia hadi nchi zengine ndio wa kumfananisha na Mwendazake?
 
Adolph Hitler dunia nzima inamjua, sasa huyo Mwendazake anavunja rikodi gani ya Hitler mtu ambaye alikuwa anavamia hadi nchi zengine ndio wa kumfananisha na Mwendazake?
Hata huyu dunia itamjua tu, sisi tunaendeleza advocacy !! Hawana tofauti zaidi ya idadi tu ya watu waliowaua. Na kama Mungu asingeingilia kati huyu angeua wengi kuliko Hitler
 
Huwezi mjibu mtu mpumbavu maana hata kile kitendo kujibu tu kwania ya kukanusha unakuwa mpumbavu zaidi ya alie anzisha hizo shutuma. Yani wacha aheuke na upumbavu wake na nina imani hali yake ni mbaya kuliko kipindi Magu alimkamata. Wanao mtaka JK ajibu shutuma anauliza ni lini alimwambia akamsemehe? Au lini huyo kijana alikuwa msemaji wa JK? Kwa miaka mingi JK amekuwa akichonganishwa na Magu while yeye hajawahi jibu zaidi yakusema msibani yeye alimuweka Magu akauliza kwanini asimpende? End of story.
Wewe achana na JK!! Humjui unamsikia tu. Unataka JK aseme ndiyo?? Halafu maisha ya Erick whether ni magumu sasa kama unavyodhania wewe je inakuhusu nini?

Wapumbavu wakubwa bado mnalitetea dubwasha liliharibu nchi yetu hadi Mungu alivyoamua. Kama mnalipenda fuateni ushauri wa Zitto Kabwe, kufa mkazikwe naye pale Chato
 
Hata huyu dunia itamjua tu, sisi tunaendeleza advocacy !! Hawana tofauti zaidi ya idadi tu ya watu waliowaua. Na kama Mungu asingeingilia kati huyu angeua wengi kuliko Hitler
Mkuu nakwambia Hitler dunia nzima walimjua kwa aliyokuwa anafanya na ndio maana hadi leo anajulikana, sasa kama Mwendazake amevunja rikodi ya Hitler halafu dunia haijui basi ni ajabu kwa sababu hata hayo ya Mwendazake uliyoyataja hayafikii hata robo ya Hitler.
 
Hiyo Sio namna ya Mungu. Paul Biya Museveni na wengine wakutosha mbona wapo? Mungu ni mwema sana na watu waovu hupata always extra time katika maisha ili kumrudia. That’s the God we know. We huyo wako Ni wa kichwani kwako.
Huyo wa kwako kwa kipindi kifupi tu kafanya ukatili mkubwa kuliko hata hao wengine iliyowataka.
 
Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara mmoja ambae hakumtaja japo yupo anaehisiwa.

Katika hali ya kawaida, tulitarjie Kikwete ajitokeze hata kupitia mitandao na kusema jambo: sikuwa na ugomvi na Magufuli au vinginevyo.

Sasa ukimya huu wa JK tafsiri yake nini?

Je, ndio anamanisha silence means yes?

Binafsi naona huu ni mwanzo tu na kuna mengine yanakuja.

Tusubiri.

Tuhuma za Kabendera ni ukweli mtupu.
 
Watanzania wapi, wale aliowapora uchaguzi ili atangazwe mshindi kwa shuruti?
Ila Mkuu mbona miaka yote ccm lazima iingie tu Ikulu kitu ambacho hakiitaji hata kusubiri matokeo ya uchaguzi, au uchaguzi wa 2020 ccm haikuwepo?
 
Ila Mkuu mbona miaka yote ccm lazima iingie tu Ikulu kitu ambacho hakiitaji hata kusubiri matokeo ya uchaguzi, au uchaguzi wa 2020 ccm haikuwepo?
Sababu za kihistoria zilizobeba CCM huko nyuma, ila tokea uchaguzi wa 2010 kizazi kilichoibeba CCM kiliisha. Kwa sasa vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi tu ndio nguzo yao.
 
Magufuli anasingiziwa kila baya ila watanzania wamegoma kumchukia
Katika viongozi walioharibu nchi hii basi Jk wa Pwani anaweza kuwa kinara ni vile ameweza kucheza na akili za wabongo kiasi kwamba wanamuona kama vile mtu poa sana.
 
Magufuli anasingiziwa kila baya ila watanzania wamegoma kumchukia
Alipoingia Samia walianza kukanusha kuwa miradi yetu haijengwi na pesa za kodi bali mikopo, lakini wiki iliyopita Samia kwa mdomo wake mwenyewe alitamka kuwa miradi ya nchi inagharimiwa na kodi za wananchi. Mwanzoni walisema kodi nyongi za Magufuli zinarudisha nyuma maendeleo, lakini baada ya muda kidogo wakaleta kodi ambazo zinalipwa na kila mtu isipokuwa viongozi wa serkali ili kutudanganya siyo kodi wakaziita TOZO
 
Back
Top Bottom