Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

We dogo, Amon Lisa, heshima ni kitu cha bure!, mimi naweza kuwa ni baba yako wa kukuzaa!, sio heshima kunitukana mpuuzi!.

Wakati wewe unajiunga jf, ile 2018, wenzako tumekutangulia more than 10 years!, hivyo kuna vitu we dogo mbangaizaji, hivijui!.

Sasa kwa kukusaidia wewe na majuha wengine kama wewe, humu jf, mimi ndio mwalimu mkuu wa somo la karma "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako! hivyo kama ni kweli mimi ndio chanzo na kisababishi cha madhila yaliyomkuta, then for sure karma yangu itakuwa ipo tuu na haikwepeki!.

Ila kama sio mimi na sihisiki, utaendelea kunishuhudia tuu humu jinsi ninavyoendelea kudunda na kuchanua.
P
Adv P, acha vitisho basi!
 
Magufuli anasingiziwa kila baya ila watanzania wamegoma kumchukia
Namkumbuka sana huyu mwamba. Umeme ulishaanza kuwa historia kukatikakatika. Lakini sasa yameingizwa majambazi hawajali kuhusu wananchi,umeme unaweza kukatika siku nzima. 2. Miundombinu barabara. Ona barabara zilivyotandikwa kipindi chake. Ona dar alivyoipendezesha ndani ya muda mfupi tu. Cha kujiuliza wengine walishindwaje?. Ona stand alivyozipiga.
Kumbuka bwawa la Nyerere la kufua umeme. Sidhani kama linaendelea.
Ona njia ya tren ya mwendokasi. Malengo yake ilikuwa iende mpaka mwanza,kusini itoke moro mpaka mbeya. Lakini sidhani hayo mawazo yapo mpaka sasa.
Sidhani kama kuna miundombinu yoyote inaendelea kwa sasa kipindi hiki cha akina miguru. Tumesimama hatuna dira yoyote
 
Katiba iko wazi kuhusu haki za Raisi mstaafu mojawapo ni kutokamatwa wala kushtakiwa

Kikwete ajibu nini wakati katiba iko wazi inamlinda.Kabendera na uzushi wake aende akasome katiba.Siyo kazi ya Kikwete kujibu .Katiba ndio ina majibu

Iamini katiba sio huyo Kabendera
Ni mambo mangapi yaliyopo kwenye katiba na wala hayazingatiwi?
 
Binafsi natamani iwe kweli na nadhani ingekuwa interesting sana rais mstaafu kupigwa pingu akajibu tuhuma za ufisadi maana sio kawaida kwa nchi yetu. Jiwe alikuwa na uthubutu
 
We dogo, Amon Lisa, heshima ni kitu cha bure!, mimi naweza kuwa ni baba yako wa kukuzaa!, sio heshima kunitukana mpuuzi!.

Wakati wewe unajiunga jf, ile 2018, wenzako tumekutangulia more than 10 years!, hivyo kuna vitu we dogo mbangaizaji, hivijui!.

Sasa kwa kukusaidia wewe na majuha wengine kama wewe, humu jf, mimi ndio mwalimu mkuu wa somo la karma "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako! hivyo kama ni kweli mimi ndio chanzo na kisababishi cha madhila yaliyomkuta, then for sure karma yangu itakuwa ipo tuu na haikwepeki!.

Ila kama sio mimi na sihisiki, utaendelea kunishuhudia tuu humu jinsi ninavyoendelea kudunda na kuchanua.
P

Unanijua nina umri gani wewe zwazwa?

Wewe kujiunga humu kabla yangu haina maana unanizidi umri. Reasoning dhaifu Kama ulivyo.

Hata ungekuwa baba yangu ningekukataa kwa jinsi ulivyo snitch & hopeless chawa.

In a bottom line, Karma itakutafuna hapa hapa duniani kwa kadri ulivyowatenda wenzako. Matter of time, tupo hapa.
 
Unataka kusema katika historia ya watu waovu hapa duniani Magufuli anavunja record kwa mambo yake gani ndio hufanya Shetani kuogopa ukilinganisha na waovu wengine?
UHURU JR pokea hizi hapa kwa uchache sana
1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.

2.Kuteka wapinzani wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.

3.Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.

4.Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5.Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6.Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7.Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8.Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9.Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10.Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11.Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12.Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Kuhakikisha kuwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda walikipata cha mtema kuni.

14.Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15 Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16.Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi. Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17.Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18.Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19.Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20.Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21.Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.

22.Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.

23.Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.

24.Ufisadi na wizi wa kutisha kama ulivyoibuliwa na CAG mara baada ya dikteta kufa
 
Ila jiwe alikuwa hafuati katiba
Japo hujaweka ushahidi

Lakini sio kwa swala la kumkamata Raisi Yeyote Mstaafu na kumfungulia kesi!!.
Kabendera ana Shida anapenda kuji confuse kama bibi anajitengenezea like nyumba ya utando wake hadi katikati anakaa katikati ya utando ukikaukana kukakamaa anakufa katikati ya utando sababu hawezi kutoka

Buibui anajua how to confuse in lakini hajui how to confuse out!! Ndio Kabendera huyo hana tofauti na buibui !!
 
UHURU JR pokea hizi hapa kwa uchache sana
1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.

2.Kuteka wapinzani wake kama akina Azory Gwanda ili yeye ajihakikishie kutawala milele.

3.Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku kwa kesi fake ambazo hazina dhamana.

4.Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5.Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6.Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7.Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8.Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9.Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10.Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11.Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12.Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Kuhakikisha kuwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda walikipata cha mtema kuni.

14.Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15 Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16.Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi. Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17.Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18.Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19.Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20.Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21.Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni bila dhamana.

22.Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za ATCL na kuilazimisha ATCL watoe gawio fake kwa serekali.

23.Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.

24.Ufisadi na wizi wa kutisha kama ulivyoibuliwa na CAG mara baada ya dikteta kufa
Sijaelewa hayo ndio maovu yenye kuvunja record ya dunia au umetaja tu maovu ya Magufuli?
 
Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara mmoja ambae hakumtaja japo yupo anaehisiwa.

Katika hali ya kawaida, tulitarjie Kikwete ajitokeze hata kupitia mitandao na kusema jambo: sikuwa na ugomvi na Magufuli au vinginevyo.

Sasa ukimya huu wa JK tafsiri yake nini?

Je, ndio anamanisha silence means yes?

Binafsi naona huu ni mwanzo tu na kuna mengine yanakuja.

Tusubiri.
Jiwe aliharibu kila shemu
 
Sijaelewa hayo ndio maovu yenye kuvunja record ya dunia au umetaja tu maovu ya Magufuli?
Ndiyo hayo maovu ya Magufuli yanayovunja rekodi ya Dunia. Kama unamfahamu anayezidi hapo mtaje na uyaweke na maovu yake
 
Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara mmoja ambae hakumtaja japo yupo anaehisiwa.

Katika hali ya kawaida, tulitarjie Kikwete ajitokeze hata kupitia mitandao na kusema jambo: sikuwa na ugomvi na Magufuli au vinginevyo.

Sasa ukimya huu wa JK tafsiri yake nini?

Je, ndio anamanisha silence means yes?

Binafsi naona huu ni mwanzo tu na kuna mengine yanakuja.

Tusubiri.
Huwezi mjibu mtu mpumbavu maana hata kile kitendo kujibu tu kwania ya kukanusha unakuwa mpumbavu zaidi ya alie anzisha hizo shutuma. Yani wacha aheuke na upumbavu wake na nina imani hali yake ni mbaya kuliko kipindi Magu alimkamata. Wanao mtaka JK ajibu shutuma anauliza ni lini alimwambia akamsemehe? Au lini huyo kijana alikuwa msemaji wa JK? Kwa miaka mingi JK amekuwa akichonganishwa na Magu while yeye hajawahi jibu zaidi yakusema msibani yeye alimuweka Magu akauliza kwanini asimpende? End of story.
 
Back
Top Bottom