Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

Magufuli kwa roho ya ushetani alikuwa analigawa taifa...
Nyerere, mkapa, mwinyi, jk kwa nin hawasemwi kama huyu magufuli?
JK hakujaribu kijisafisha Wala hatukumsafisha ila TIME (time travel)zimemsafisha, matendo yake yameambatana naye.

Magufuli akiwa madarakani alijisafisha...ila TIME zinamwanika na kumchafua.
Huyu magufuli alikuwa anatomba mpaka ndugu wa mkewe...uchafu sana
 
Kuna mfanyabiashara maarufu alipitia mateso makali kwa kipindi cha miaka minne, ikiwemo kubinywa korodani, akilazimishwa aseme uongo kuwa alitoa dola milioni 100 kwa Rais Kikwete. Mwendazake alitaka kutumia ushahidi huo kumkamata Kikwete. Ni lazima atendewe haki.
Hii ni kitu ya uzushi kwa 💯, kwa jinsi Dkt Magufuli alivyokuwa anamheshimu na kumpenda Dkt Kikwete asingeweza kupanga vitu vibaya juu yake. Sema tu mabeberu ndiyo wangeweza fanya hivyo ili kumchonganisha Dkt Kikwete na Dkt Magufuli na kupitia hilo unaweza kukuta wote hawajui hiyo mipango na ndiyo maana kabendera nadhani anaweza kuondolewa maana huo ni uchonganishi ambao unaweza kuleta mpasuko mkubwa ndani ya mfumo. Sijui ana ushahidi gani huyu kabendera
 
Magufuli kwa roho ya ushetani alikuwa analigawa taifa...
Nyerere, mkapa, mwinyi, jk kwa nin hawasemwi kama huyu magufuli?
JK hakujaribu kijisafisha Wala hatukumsafisha ila TIME (time travel)zimemsafisha, matendo yake yameambatana naye.

Magufuli akiwa madarakani alijisafisha...ila TIME zinamwanika na kumchafua.
Huyu magufuli alikuwa anatomba mpaka ndugu wa mkewe...uchafu sana
Kwa mkongo au
 
Watanzania walio wengi wenye akili waliujua ubaya wa Magufuli tangu akiwa hai, hawahitaji kuambiwa na mtu.

Wanancji wa Nyanda za Juu Kusini wanajua jinsi mbao zao na mahindi yalivyokosa soko mpaka kufikia gunia la mahindi la kilo 100 kuuzwa kwa sh 20,000 utokana na Magufuli kuharibu mahusiano mazuri ya kibiashara yaliyokuwepo kati ya Kenya na Tanzania.

Kanda ya Kaskazini wanaujua ubaya wa Magufuli kwa jinsi walivyoshuhudia namna biashara ya utalii ilivyokuwa imeanguka na TRA walivyoweza kuwababikizia kesi wafanyabiashara na kufunga biashara zao.

Kanda ya Kusini wanaujua sana ubaya wa Magufuli jinsi alivyoua biashara ya korosho.

Tanzania nzima wafanyabiashara na wawekezaji kwenye sekta ya mahoteli wanajua Magufuli alivyoua biashara zao.

Wanasiasa wanajua jinsi ambavyo Magufuli alivyowanyima uhuru, na kuua kabisa demokrasia.

Watanzania wote wenye akili timamu na waeio wanafiki wanajua namna marehemu alivyoporomosha ukuaji wa uwekezaji toka 28% mpaka 4%; ukuaji wa sekta ya utalii alivyouporomosha toka 15% mpaka 3.6%. Wanajua namna alivyoua utawala wa sheria, wanajua alivyoua demokrasia.

WanaCCM wanajua namna Magufuli alivyoua demokrasia ndani ya chama kwa kupachika majina ya wagombea aliowataka bila ya kujali wala kuongozwa na kura za maoni.

Watanzania wanamfahamu Magufuli namna alivyokuwa dikteta, alivyokuwa mpenda sifa, na asiyekubali kukosolewa kwa lolote.
Haya maneno Ni kweli na wote tulijuwa ila Sasa ukiingia mtaani kbsa kwa wanyonge jamaa kaacha legaz kwa watu wengi mtaani magu anakubalika vibaya mno mno Ni mweruv tu ndio amkubali ila wengine uwaambia kitu haitakuja kutokea rais akapendwa Kama magu
 
Mwendazake hata Shetani bado amemuweka pending kule jehanam. Kila akiangalia CV yake anamuogopa kuwa anaweza kumgeuzia kibao hata yeye mwenyewe.

Shetani anaogopa kuuliwa na Magufuli
Unataka kusema katika historia ya watu waovu hapa duniani Magufuli anavunja record kwa mambo yake gani ndio hufanya Shetani kuogopa ukilinganisha na waovu wengine?
 
Haya maneno Ni kweli na wote tulijuwa ila Sasa ukiingia mtaani kbsa kwa wanyonge jamaa kaacha legaz kwa watu wengi mtaani magu anakubalika vibaya mno mno Ni mweruv tu ndio amkubali ila wengine uwaambia kitu haitakuja kutokea rais akapendwa Kama magu
Kwa mtazamo wangu binafsi nadhani Kikwete alipendwa na alikuwa na mvuto ila uongozi wake ndio ulikuwa shida, ila Magufuli watu walikubali uongozi wake kwa maana waliona alikuwa mtu sahihi kutokana na hali aliyoiacha Kikwete na ndio maana sasa hivi Samia anakosa kukubalika kwa sababu watu huona anaturudisha tulipotoka alipoishia Kikwete.
 
Nawahurumia sana wamsingiziao mtu wa Mungu aliyeletwa na Mungu kuitawala Tanzania kwa kusudi maalum, lilipokamilisha, Mungu akamuita kwake ili kumpangia majukumu mengine, na hivi tunavyozunguza ni siku nyingi yuko kwa Baba Yake!!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Hizi tuhuma kuwa wewe ndie uliemchoma Kabendera, zina ukweli wowote bwana mkubwa?

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
We Marytina , heshima ni kitu cha bure!, Kafrika marehemu hasemwi vibaya!. Naomba tuheshimu the right to privacy za watu!. Hao ndugu wa mkewe kwani aliwabaka au walikuwa ni minors?. Tuheshimu privacy za watu na haswa za marehemu ndio zaidi!.
P
Kwa hiyo tumsifie tuongee yale mazuri tu, yale mabaya ambayo ni funzo kwa umma tuyafiche.
 
Yani ilifika hatua busnessman anakamatwa anabinywa gololi ili kum’bambikia rais mstaafu kesi ya uhujumu uchumi.
 
Katiba iko wazi kuhusu haki za Raisi mstaafu mojawapo ni kutokamatwa wala kushtakiwa

Kikwete ajibu nini wakati katiba iko wazi inamlinda.Kabendera na uzushi wake aende akasome katiba.Siyo kazi ya Kikwete kujibu .Katiba ndio ina majibu

Iamini katiba sio huyo Kabendera
 
Hili swali muulize huyo kwenye avatar yako maana alikua anatazama tukio live kwenye Camera
Nimeuliza kawaida tu mkuu ila kama hukupenda kuulizwa hili swali au mie kuweka hiyo picha ya Magufuli basi sawa, amani tu mkuu.
 
Katiba iko wazi kuhusu haki za Raisi mstaafu mojawapo ni kutokamatwa wala kushtakiwa

Kikwete ajibu nini wakati katiba iko wazi inamlinda.Kabendera na uzushi wake aende akasome katiba.Siyo kazi ya Kikwete kujibu .Katiba ndio ina majibu

Iamini katiba sio huyo Kabendera
Hivi huyo mfanyabiashara aliweza kuvumilia maumivu ya kubinywa korodani na kugoma kufanya alichotakiwa kufanya?
 
Hivi huyo mfanyabiashara aliweza kuvumilia maumivu ya kubinywa korodani na kugoma kufanya alichotakiwa kufanya?
Sijui

Lakini Raisi mstaafu analindwa na katiba hata huyo anayeitwa mfanyabiasharab angesema ndio bado hakuna mamlaka ingemkamata Kikwete.Someni katiba ku judge alichoandika kabendera.Hata wangeibuka wafanyabiashara maelfu wakasema tulimhonga pesa Kikwete wakatoa na ushahidi wa wazi hakuna mamlaka ingemkamata Kikwete

Kabendera kaandika ujinga tu
 
Sijui

Lakini Raisi mstaafu analindwa na katiba hata angesema ndio bado hakuna mamlaka ingemkamata Kikwete.Someni katiba ku judge alichoandika kabendera.Hata wangeibuka wafanyabiashara maelfu wakasema tulimhonga pesa Kikwete wakatoa na ushahidi wa wazi hakuna mamlaka ingemkamata Kikwete

Kabendera kaandika ujinga tu
Kumpenda mtu mno au kumchukia mtu mno wakati mwengine huleta shida kama hizo, hakuliwaza hilo la kwamba Rais mstaafu hashtakiwi.
 
Back
Top Bottom