imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Pale unapomfanyia mtu Ubaya ili apoteee harafu akarudi tena akiwa na nguvu mpya😅😅
Daah! Nimecheka sana hahaaa ha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale unapomfanyia mtu Ubaya ili apoteee harafu akarudi tena akiwa na nguvu mpya😅😅
Watanzania walio wengi wenye akili waliujua ubaya wa Magufuli tangu akiwa hai, hawahitaji kuambiwa na mtu.Magufuli anasingiziwa kila baya ila watanzania wamegoma kumchukia
Chukua Mo Energy hapo kwa Mpare.Kuna mfanyabiashara maarufu alipitia mateso makali kwa kipindi cha miaka minne, ikiwemo kubinywa korodani, akilazimishwa aseme uongo kuwa alitoa dola milioni 100 kwa Rais Kikwete. Mwendazake alitaka kutumia ushahidi huo kumkamata Kikwete. Ni lazima atendewe haki.
Tuhumu nyingi ni za uongo.Ndio maana hazimalizi siku tatu.Hii inatokana kuwa Watanzania wengi wanapenda story za uongo na za kupuuzi.Hawapendi kazi .Na hata ww mleta mada unapenda story za kipuuzi na kijinga.Magufuli hayupo duniani.Lakin alifanya makubwa sana kiasi kwamba wapumbavu wote wanataka kumchafua .Wakati wao hawajawahi kufanya cha maana zaidi ya story za kihuni na kioumbavu Kama hizi.Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara mmoja ambae hakumtaja japo yupo anaehisiwa.
Katika hali ya kawaida, tulitarjie Kikwete ajitokeze hata kupitia mitandao na kusema jambo: sikuwa na ugomvi na Magufuli au vinginevyo.
Sasa ukimya huu wa JK tafsiri yake nini?
Je, ndio anamanisha silence means yes?
Binafsi naona huu ni mwanzo tu na kuna mengine yanakuja.
Tusubiri.

Watanzania walio wengi wenye akili waliujua ubaya wa Magufuli tangu akiwa hai, hawahitaji kuambiwa na mtu.
Wanancji wa Nyanda za Juu Kusini wanajua jinsi mbao zao na mahindi yalivyokosa soko mpaka kufikia gunia la mahindi la kilo 100 kuuzwa kwa sh 20,000 utokana na Magufuli kuharibu mahusiano mazuri ya kibiashara yaliyokuwepo kati ya Kenya na Tanzania.
Kanda ya Kaskazini wanaujua ubaya wa Magufuli kwa jinsi walivyoshuhudia namna biashara ya utalii ilivyokuwa imeanguka na TRA walivyoweza kuwababikizia kesi wafanyabiashara na kufunga biashara zao.
Kanda ya Kusini wanaujua sana ubaya wa Magufuli jinsi alivyoua biashara ya korosho.
Tanzania nzima wafanyabiashara na wawekezaji kwenye sekta ya mahoteli wanajua Magufuli alivyoua biashara zao.
Wanasiasa wanajua jinsi ambavyo Magufuli alivyowanyima uhuru, na kuua kabisa demokrasia.
Watanzania wote wenye akili timamu na waeio wanafiki wanajua namna marehemu alivyoporomosha ukuaji wa uwekezaji toka 28% mpaka 4%; ukuaji wa sekta ya utalii alivyouporomosha toka 15% mpaka 3.6%. Wanajua namna alivyoua utawala wa sheria, wanajua alivyoua demokrasia.
WanaCCM wanajua namna Magufuli alivyoua demokrasia ndani ya chama kwa kupachika majina ya wagombea aliowataka bila ya kujali wala kuongozwa na kura za maoni.
Watanzania wanamfahamu Magufuli namna alivyokuwa dikteta, alivyokuwa mpenda sifa, na asiyekubali kukosolewa kwa lolote.
Kwa hiyo wewe kwa unavyomjua JK hawezi kufanya hivyo? Yaani from nowhere tu jiwe ambananishe mtu. Mbona anajua gesi ya mtwara iliuzwa na hatuna chetu iweje asimkamatie hapoKuna mfanyabiashara maarufu alipitia mateso makali kwa kipindi cha miaka minne, ikiwemo kubinywa korodani, akilazimishwa aseme uongo kuwa alitoa dola milioni 100 kwa Rais Kikwete. Mwendazake alitaka kutumia ushahidi huo kumkamata Kikwete. Ni lazima atendewe haki.
Inaumiza sana. Kama bidanamu alikua na mapungufu yakeNawahurumia sana wamsingiziao mtu wa Mungu aliyeletwa na Mungu kuitawala Tanzania kwa kusudi maalum, lilipokamilisha, Mungu akamuita kwake ili kumpangia majukumu mengine, na hivi tunavyozunguza ni siku nyingi yuko kwa Baba Yake!!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Cc GENTAMYCINEPaschal akisikia Kabendera tu, anashtuka.😆 ubaya haulipi Ng'wanangenya.
We nae kiazi yaani madhara ya Corona kwenye uchumi unakuja kusema Magufuli alisababisha. Hebu fafanua aliuaje utalii kwa mfano. Mmeshasahau enzi za JK tembo walivunwa hadi wakataka kuishaWatanzania walio wengi wenye akili waliujua ubaya wa Magufuli tangu akiwa hai, hawahitaji kuambiwa na mtu.
Wanancji wa Nyanda za Juu Kusini wanajua jinsi mbao zao na mahindi yalivyokosa soko mpaka kufikia gunia la mahindi la kilo 100 kuuzwa kwa sh 20,000 utokana na Magufuli kuharibu mahusiano mazuri ya kibiashara yaliyokuwepo kati ya Kenya na Tanzania.
Kanda ya Kaskazini wanaujua ubaya wa Magufuli kwa jinsi walivyoshuhudia namna biashara ya utalii ilivyokuwa imeanguka na TRA walivyoweza kuwababikizia kesi wafanyabiashara na kufunga biashara zao.
Kanda ya Kusini wanaujua sana ubaya wa Magufuli jinsi alivyoua biashara ya korosho.
Tanzania nzima wafanyabiashara na wawekezaji kwenye sekta ya mahoteli wanajua Magufuli alivyoua biashara zao.
Wanasiasa wanajua jinsi ambavyo Magufuli alivyowanyima uhuru, na kuua kabisa demokrasia.
Watanzania wote wenye akili timamu na waeio wanafiki wanajua namna marehemu alivyoporomosha ukuaji wa uwekezaji toka 28% mpaka 4%; ukuaji wa sekta ya utalii alivyouporomosha toka 15% mpaka 3.6%. Wanajua namna alivyoua utawala wa sheria, wanajua alivyoua demokrasia.
WanaCCM wanajua namna Magufuli alivyoua demokrasia ndani ya chama kwa kupachika majina ya wagombea aliowataka bila ya kujali wala kuongozwa na kura za maoni.
Watanzania wanamfahamu Magufuli namna alivyokuwa dikteta, alivyokuwa mpenda sifa, na asiyekubali kukosolewa kwa lolote.
Jiwe alikuwa ni ibilisi mwenye sura ya binadamu.Katika hali ya kawaida, tulitarjie Kikwete ajitokeze hata kupitia mitandao na kusema jambo: sikuwa na ugomvi na Magufuli au vinginevyo.
Sasa ukimya huu wa JK tafsiri yake nini?
Je, ndio anamanisha silence means yes?
Binafsi naona huu ni mwanzo tu na kuna mengine yanakuja.
Unataka kikwete akanushe wakati yeye ndo muwindwa,mwambie kabendera athibitishe tuhuma zake. We wa wapi?Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara mmoja ambae hakumtaja japo yupo anaehisiwa.
Katika hali ya kawaida, tulitarjie Kikwete ajitokeze hata kupitia mitandao na kusema jambo: sikuwa na ugomvi na Magufuli au vinginevyo.
Sasa ukimya huu wa JK tafsiri yake nini?
Je, ndio anamanisha silence means yes?
Binafsi naona huu ni mwanzo tu na kuna mengine yanakuja.
Tusubiri.
Na wewe umeamini huo utopolo wa Kabendera?Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara mmoja ambae hakumtaja japo yupo anaehisiwa.
Katika hali ya kawaida, tulitarjie Kikwete ajitokeze hata kupitia mitandao na kusema jambo: sikuwa na ugomvi na Magufuli au vinginevyo.
Sasa ukimya huu wa JK tafsiri yake nini?
Je, ndio anamanisha silence means yes?
Binafsi naona huu ni mwanzo tu na kuna mengine yanakuja.
Tusubiri.
Jaribu kumkosoa huyo mama ako uone. Muulize ndugai.Watanzania walio wengi wenye akili waliujua ubaya wa Magufuli tangu akiwa hai, hawahitaji kuambiwa na mtu.
Wanancji wa Nyanda za Juu Kusini wanajua jinsi mbao zao na mahindi yalivyokosa soko mpaka kufikia gunia la mahindi la kilo 100 kuuzwa kwa sh 20,000 utokana na Magufuli kuharibu mahusiano mazuri ya kibiashara yaliyokuwepo kati ya Kenya na Tanzania.
Kanda ya Kaskazini wanaujua ubaya wa Magufuli kwa jinsi walivyoshuhudia namna biashara ya utalii ilivyokuwa imeanguka na TRA walivyoweza kuwababikizia kesi wafanyabiashara na kufunga biashara zao.
Kanda ya Kusini wanaujua sana ubaya wa Magufuli jinsi alivyoua biashara ya korosho.
Tanzania nzima wafanyabiashara na wawekezaji kwenye sekta ya mahoteli wanajua Magufuli alivyoua biashara zao.
Wanasiasa wanajua jinsi ambavyo Magufuli alivyowanyima uhuru, na kuua kabisa demokrasia.
Watanzania wote wenye akili timamu na waeio wanafiki wanajua namna marehemu alivyoporomosha ukuaji wa uwekezaji toka 28% mpaka 4%; ukuaji wa sekta ya utalii alivyouporomosha toka 15% mpaka 3.6%. Wanajua namna alivyoua utawala wa sheria, wanajua alivyoua demokrasia.
WanaCCM wanajua namna Magufuli alivyoua demokrasia ndani ya chama kwa kupachika majina ya wagombea aliowataka bila ya kujali wala kuongozwa na kura za maoni.
Watanzania wanamfahamu Magufuli namna alivyokuwa dikteta, alivyokuwa mpenda sifa, na asiyekubali kukosolewa kwa lolote.
Watu mlijazwa ujinga sana na Jiwe... Gesi ya Mtwara ipi?! Kama ni ile ambayo inazalisha umeme Kinyerezi, ile ilianza kuchimbwa wakati wa Mkapa, na shareholder mkubwa alikuwa Artmus.Kwa hiyo wewe kwa unavyomjua JK hawezi kufanya hivyo? Yaani from nowhere tu jiwe ambananishe mtu. Mbona anajua gesi ya mtwara iliuzwa na hatuna chetu iweje asimkamatie hapo