Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 Oct 24, 2022 #161 mangikule said: Yuko Jehanam ya Moto! washtaki wake (ben saanane, Simon Kanguye na jopo kubwa la wale waliotumbukizwa baharini kwenye viroba ) wapo kule peponi wanatabasamu na baba yao ibrahim!! Jiwe anatia huruma anavyosaga meno kwa uchungu wa moto mkali! Click to expand... Mkuu mangikule, ushauri wa bure kwako ni Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani! P
mangikule said: Yuko Jehanam ya Moto! washtaki wake (ben saanane, Simon Kanguye na jopo kubwa la wale waliotumbukizwa baharini kwenye viroba ) wapo kule peponi wanatabasamu na baba yao ibrahim!! Jiwe anatia huruma anavyosaga meno kwa uchungu wa moto mkali! Click to expand... Mkuu mangikule, ushauri wa bure kwako ni Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani! P