Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,705
- 1,953
Adhabu ya mtu anayeimuibia muajiri wake ni kupigwa risasi na kufa? Huyo jamaa ni mjinga, kwa pesa alizonazo angeweza kupeleka kesi mahakamani na kuwafunga hao na kuwa fundisho kwa wengine.
Ujinga mwingine ambao amefanya ni kuubeba mwili na kwenda kuutupa kibaha. Hapo tayari inaonyesha alikusudia kufanya mauaji
Mlinzi na muuaji wote walikuwa na silaha. Hatujui kilichojiri kabla ya mauaji. Tuendelee kukusanya taarifa. Inawezekana vitendo vya muuaji ni crime of passion baada kukuta wizi unatokea mbele ya walinzi. Hii inaweza kugeuza murder to manslaughter.
Defendant is entitled to a pesumption of innocence and competent defense.