Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Hiyo telegram channel nibya mashushushu au?@fbuyobe
Ila twitter iko nusu, ukitaka full hadi kwenye Telegram channel yake ya kulipia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo telegram channel nibya mashushushu au?@fbuyobe
Ila twitter iko nusu, ukitaka full hadi kwenye Telegram channel yake ya kulipia.
ShukraniKesi za jinai zote mamlaka ya kuendelea au kutoendelea na kesi yako kwa DPP na maamuzi yoyote hayahojiwi popote
Nipe DM Mkuu, tuanzie hapoFree like a molecule. Nikupe simu yake?
Si amemwaga damu ya asiyekua na hatia!!!Ndiyo maana hawa jamaa wa MGas huduma imekuwa mbovu sana, kuishiwa gas walikuwa wanakuletea kabla haijakata sasa hivi inakata ndiyo wanaoleta,
Wateja kibao wanataka huduma ila vifaa hawana.
Kifupi ufanisi umepungua
Mbali na chuki zako juu ya JPM, leo umenena hoja nzuri sana Chifu [emoji120]Wengi huwa nawashauri kuwa shika bunduki tu kama ni sehemu ya kazi yako. Lakini vijana wana miliki bunduki kama alama ya mafanikio, nguvu na umaarufu.
Maishani mwangu sijamuona aliyemiliki bunduki ikamsaidia wakati "Wazee Wa Kazi" wamefika kuchukua chao.
Wengi wanaishia ku- misuse kama vile lililompata Ramadhan Ditopile Mzuzuri pale Njia Panda ya Kawe.
Kama Andron angekwenda bila bunduki pengine angemzaba kibao huyo mlinzi, kisha kugundua kuwa aliyempiga kibao siyo mlengwà, angemuomba samahani na kumpa hata Tsh Elfu 50 kufuta machozi.
Mkuu, kifungu cha 114 cha Penal Code, Cap 16 R.E 2022 kina sub-section 4 na paragraph kibao, kwa usahihi wa kuzuia 'upotoshaji' niambie specific kifungu husika kwa ukamilifu.
Ila Kuna exceptions nyingi.
Mkuu jamaa anachanganya kujadili mwenendo wa kesi iliyopo mahakamani na kujadili tukio ambalo tayari lina kesi mahakamani, hivyo ni vitu viwili tofauti. Hakuna kosa la jinai kwa mtu kujadili tukio ambalo tayari lina kesi mahakamani. Kwa mtazamo wa jamaa basi hata mawakili na wateja wao wanapojipanga kwa ajili ya kutoa ushahidi wanakuwa wanatenda kosa la jinai, maana wanajadili kesi iliyopo mahakamani.
Kifungu alichotaja kinaeleza kuhusu uchapaji wa mwenendo pasipo ruhusa ya mahakama, kuonyesha dharau kwa mahakama, kuzuia utendaji kazi wa mahakama, kumsema shahidi kwa nia ya kumharibia hadhi kwenye kesi nk..hakuna kinapozuia kujadili matukio yaliyopelekea kesi kama hivi tunavyojadili
Humu inaonekana tungeweka majina yetu tungefahamiana sana! Mkuu nawe umekipiga Pugu?Fred baadae alisoma pugu?
Hapana, sijui, kuna madhara gani?Kujadili kesi iliyopo mahakamani unajua madhara yake?
ushushie mzee,Nilikuwa natamani kupata kisa chote hatimaye nimekipata
Pombe na bunduki havina tatizo.Kwenye tuko lenywewe mke wake hakuwepo. Inasemekana alikuwa baada ya tukio, ila gari ndio iliondoka na huo mwili. Anyways, jamaa alijaribu mpaka kubadilisha namba ya gari, akajaribu na kuuza hilo gari; too bad.
Pombe na Bunduki sio combination nzuri
Tafsiri ya hiki kifungu kinaelezea mambo yasiyotakiwa kufanywa yanayoathiri mwenendo wa kesi (judicial proceeding), sasa mfsno mimi nikisema Sabaya alimpiga mfanyabiashara makofi, nayasema hayo kwa kuwa nilikuwepo eneo la tukio, ila napoyasemea sio mahakamani na wala mimi sio miongoni mwa mashahidi mahakamani, na ninaisema hiyo sio kwa kuangalia mahakamani kumerekodiwa nini, ninakuwa ninaathiri vipi kesi hiyo?? Wapi nazuiwa kuzungumza hivyo?Kifungu namba 114 (1) (d)
(d) while a judicial proceeding is pending, publishes, prints or makes use of any speech or writing, misrepresenting the proceeding, or capable of prejudicing any person in favour of
or against any parties to the proceeding, or calculated to lower the authority of any person before whom that proceeding is being had or taken.
Adhabu ya kosa hilo hapo juu iko katika kifungu namba 114(1) (k)