Utakuta kampuni ya ulinzi aliyoiwekaI believe that the security company is part and parcel of whole conspiracy. Death of the watchman is collateral damage. The security company may have been benefitting from whatever wrong doing happening.
Mshamba sana huyoYaani unaua mtu maksudi kabisa
Siyo huyu, unawachanganya mkuu.Yuko na mama anakula maisha View attachment 2447686
Ndiyo amulize mazeri huko kwanini alipotaka kufungua ofisi ya NALA tz walimuwekea longolongo...Yuko na mama anakula maisha View attachment 2447686
Robot la Samia Huseni. Umezoea kukariri mambo. Pumbavu sanaHakika ametumia muda mwingi, hii story mwenyewe nilikuwa nayo japo siyo kama ulivyoisimulia. kuna baadhi ya info nilikuwa sina. kilichonishinda kuzipata na kupost ni muda. japo sisemi alipwe au laah
Mwenzake yuko lupango ObayYuko na mama anakula maisha View attachment 2447686
Hapana nilisoma shule moja kongwe Arusha.Humu inaonekana tungeweka majina yetu tungefahamiana sana! Mkuu nawe umekipiga Pugu?
Kuna mtu alishawahi kuidadavua hii mada inayohusu silaha used,sikumbuki ni nani huku...ila Damu hutaka Damu...hua haina replacement.Wamiliki wengi wa silaha zimegeuka mzigo kwao wapo waliojiua, walioua wenzi wao, ndugu, watoto, nk. Jiulize unao ulazima wa kumiliki silaha. Kama una tabia ya silaha achana na wazo la kumiliki silaha, bora uwe na bodigadi. Halafu ukitaka silaha nunua mpya achana na hizi used nyingi zina maagano yaani tayari zishaua so ukiwa nayo ni lazima tu utaua sababu tayari imebeba damu ilishasababisha mauaji,. Ni salama zaidi kuwa na bodigadi na walinzi binafsi nyumbani kuliko kumiliki silaha. Labda uwe na utulivu wa kutosha wa akili, lakini kama huna hasira au mke au mme ana hasira achana na hio kitu. Maana Hasira ni mlango wa sebuleni wa shetani mda wowote atakuvaa utaua. Utatoka jela kwa sababu unayo pesa lakini je hatia ya kuua utaifutaje damu ni muhuri wa moto aufutiki hadi kaburini.
Wewe Pimbi kweli unachanganya madesa, huyo ni boss wa Nala kampuni ya kutuma pesa bongo.Yuko na mama anakula maisha View attachment 2447686
sawa lakini Dunia imebadilika sana yaani TZ ya mwaka 1998 na leo ni vitu viwili tofauti sana mkuu japo pesa ni ileileMunajifariji sana kuna mzee wangu alikuwa ni mwalimu alimuua kijana ambae alikuwa mchunga wa mbuzi kosa aliwaingiza shambani kwake,alichokakifanya mzee alimpiga mpaka akampasua bandama mwaka 1998 hiyo na huyo dogo siku ile usiku alifariki,kesi ilimalizwa kwa pesa na mzee mpaka leo yupo alishastaafu tayari
Bilionea mshamba hyoBilionea unabeba silaha kutoka nyumban kwa ajili ya kuanzisha ugomvi ofisini
Mkewe msimamizi wa stoo ameshagundua kuna wizi unafanyika na watu wanajulikana kwann asiwaite wachukuliwe sheria
Mke kakujaza upepo ili usijione mnyonge unabeba silaha matokeo yake unaua
Oya mzabzab kuna mke ya bilionea huku iko free fanya mchakato utafune mbususu
Bora hata ingekuwa barBilionea mshamba hyo
Ova
Huyo mzee wako asubiri kesi halali yenye majaji wasio jua rushwa akikata Moto.Munajifariji sana kuna mzee wangu alikuwa ni mwalimu alimuua kijana ambae alikuwa mchunga wa mbuzi kosa aliwaingiza shambani kwake,alichokakifanya mzee alimpiga mpaka akampasua bandama mwaka 1998 hiyo na huyo dogo siku ile usiku alifariki,kesi ilimalizwa kwa pesa na mzee mpaka leo yupo alishastaafu tayari
Je akitubu ?Huyo mzee wako asubiri kesi halali yenye majaji wasio jua rushwa akikata Moto.
Mtanzania mpe kichwa cha Habari tuAlimua mzungu aliyeanzisha kopa Gas, kila mwaka akiua watu kimazingara. hata huyu yasemekana
Anaishi vizuri sana kuwashinda wastaafu wengi kwasababu ana miradi mingi mno inamuingizia pesaUnaona ni sifa?? Huyo mzee anaishije??
Sorry kama ni ndugu yako au colleague. Ila hukumu ya JF huishia humu humu wala haifiki nje. Nime conclude kwa assumption tu kwamba alichoandika mtoa thread hii ni cha kweli. Jaji at rely kwewnye ushahidi utakaotolewa basiChief mbona una conclude kbsa kwamba aliua km ulikuwepo eneo la tukio?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app