DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Fact.

Eti tusiongelee kesi iliyoko mahakamani.

sikujua kuna Mtanzania mwenzangu hata mmoja anaepinga huo utopolo, miaka 15 niliyokaa hapa JF.

Majaji, maprofessa wa sheria, maspika, wabunge, wanahabari, Watanzania kwa mamilioni...tumelishwa uongo, tumepikwa tukaiva.

Jaji gani au Hakimu aliwahi kuandika hukumu akasema sehemu ya ushahidi aliotumia aliusikia kwenye kijiwe cha kashata na drafti Tandika sokoni alipoenda kununua matembele na

Fact.

Eti tusiongelee kesi iliyoko mahakamani.

sikujua kuna Mtanzania mwenzangu hata mmoja anaepinga huo utopolo, miaka 15 niliyokaa hapa JF.

Majaji, maprofessa wa sheria, maspika, wabunge, wanahabari, Watanzania kwa mamilioni...tumelishwa uongo, tumepikwa tukaiva.

Jaji gani au Hakimu aliwahi kuandika hukumu akasema sehemu ya ushahidi aliotumia aliusikia kwenye kijiwe cha kashata na drafti Tandika sokoni alipoenda kununua matembele na maharage ???
Kuna kitu kinaitwa INDEPENDENCE OF THE JUDICIARY,kutoa maoni juu ya kesi iliyo mahakamani ni kosa hasa kwa watu wenye ushawishi kwenye Jamii,ni Sawa na kukosoa hukumu kama ikitoka tofauti na maoni yaliyotolewa lakini pia ni Sawa na kutaka hukumu itoke Kadri ya maoni yanayotolewa,ni sahihi kitoizungumzia kesi iliyo mbele ya Mahakama,huleta hisia mchanganyiko na kitendo cha msukumo wa maoni huondoa uhuru wa mahakama
 
Wengi huwa nawashauri kuwa shika bunduki tu kama ni sehemu ya kazi yako. Lakini vijana wana miliki bunduki kama alama ya mafanikio, nguvu na umaarufu.

Maishani mwangu sijamuona aliyemiliki bunduki ikamsaidia wakati "Wazee Wa Kazi" wamefika kuchukua chao.

Wengi wanaishia ku- misuse kama vile lililompata Ramadhan Ditopile Mzuzuri pale Njia Panda ya Kawe.

Kama Andron angekwenda bila bunduki pengine angemzaba kibao huyo mlinzi, kisha kugundua kuwa aliyempiga kibao siyo mlengwà, angemuomba samahani na kumpa hata Tsh Elfu 50 kufuta machozi.
Serikali inabidi iongeze udhibiti wa silaha kwa kweli hii nchi isije fika kuwa Kama south
 
Adhabu ya mtu anayeimuibia muajiri wake ni kupigwa risasi na kufa? Huyo jamaa ni mjinga, kwa pesa alizonazo angeweza kupeleka kesi mahakamani na kuwafunga hao na kuwa fundisho kwa wengine.

Ujinga mwingine ambao amefanya ni kuubeba mwili na kwenda kuutupa kibaha. Hapo tayari inaonyesha alikusudia kufanya mauaji
Hebu mtujuze jamani hii kesi inaendeleaje? Au ilikwishafungwa?
 
Back
Top Bottom