DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nikikuta askari na mbwa wanahitaji msaada naokoa mbwaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu alishawahi kuidadavua hii mada inayohusu silaha used,sikumbuki ni nani huku...ila Damu hutaka Damu...hua haina replacement.
Silaha ikishaua inageuka jini itakuwa inataka damu tu.Bora kuichoma moto au kuitupa majini.
 
Alimua mzungu aliyeanzisha kopa Gas, kila mwaka akiua watu kimazingara. hata huyu yasemekana
KopaGas ilianzishwa na Sebastian Rodriguez. Sasa huyo mwamba amefariki lini?!

Na hata baada ya KopaGas kununuliwa na Circle Gas, jamaa wakampa shavu hapo hapo CS, kwahiyo kwa sasa sio tu ana-deal na KopaGas bali Circle Gas in General!
 
Hahaha

Ova
 
Suala ambalo wwew unaona baya? Hata cent moja ikipungua huwez kuambiwa una elfu 10 utakua na elf 9 mia tisa tisin na tisa na cent 99.
Jack chan anasafir na sabun yake ya mche anafua mwenyewe nguo zake.kuwa tajiri ki bongo bongo wanataka uwe unamwaga hela
 
Ooooooooh Mungu wangu, niepushie mbali dhahama hili
 
Simaanishi kwamba mtu akishakuwa na pesa basi cent mbili aache zikipotea
HIzo cent mbili aziangalie kupitia watu kwa kuwakabidhi majukumu atajiepusha na mambo mengi ona sasa huyu kaua yuko lupango sahz
 
Duuh aisee kuna wakati Mungu anakupa umaskini ili kukuepusha na majanga.
 
Haki haipotei, unaweza kuhonga Polisi unavyotaka lakini taarifa zote zitakuwa salama sehemu ili siku haki itendeke. Huwezi kukimbia jinai haifi hata uhonge vipi.
KIsa hiki kinasimulia aliyepiha risasi ni Andron lakini mwishowe Mke wake anasema aliyepiga mlinzi ni Adinan.

Au mimi ndio sijaelewa
 
Ukiachana na swala la mauaji ambalo ni baya sana


Kuna jingine la wizi hapa.

Watu wanaiba sana. Mtu anaanzisha biashara yake , kakuamini anakupa nafasi unaishia kumuibia.

Huyo Adnani aliyekua anaiba gesi ni wa kumkamata na kumfungulia mshtaka kwa level yake.
 
Mkuu kwani ukisema wamjua mtu, kilicho-special hapo ni nini?
Just out of curiosity, wewe kwa hiyo huna unayemjua?

Zaidi ya nafsi yangu sina ninaemjua

Hata mwanangu wa kumzaa siwezi kumjua kiasi cha kumtetea 100%

Mwenye kufanya hivyo ni ambae anaaccess na mtu kwa asilimia zote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…