Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
MmmhhAmetoa mtiririko mzuri sana nampongeza kwahilo lakini kuiuza kwangu naona kuna kasoro kidogo! Vingine ni huduma haviuzwi hasa habari kama hizi ninazoziita "kwa manufaa ya jamii"[emoji1545]
Inaweza kukutana nawewe kima ajabu tu.Ooooooooh Mungu wangu, niepushie mbali dhahama hili
Fact.
Eti tusiongelee kesi iliyoko mahakamani.
sikujua kuna Mtanzania mwenzangu hata mmoja anaepinga huo utopolo, miaka 15 niliyokaa hapa JF.
Majaji, maprofessa wa sheria, maspika, wabunge, wanahabari, Watanzania kwa mamilioni...tumelishwa uongo, tumepikwa tukaiva.
Jaji gani au Hakimu aliwahi kuandika hukumu akasema sehemu ya ushahidi aliotumia aliusikia kwenye kijiwe cha kashata na drafti Tandika sokoni alipoenda kununua matembele na
Kuna kitu kinaitwa INDEPENDENCE OF THE JUDICIARY,kutoa maoni juu ya kesi iliyo mahakamani ni kosa hasa kwa watu wenye ushawishi kwenye Jamii,ni Sawa na kukosoa hukumu kama ikitoka tofauti na maoni yaliyotolewa lakini pia ni Sawa na kutaka hukumu itoke Kadri ya maoni yanayotolewa,ni sahihi kitoizungumzia kesi iliyo mbele ya Mahakama,huleta hisia mchanganyiko na kitendo cha msukumo wa maoni huondoa uhuru wa mahakamaFact.
Eti tusiongelee kesi iliyoko mahakamani.
sikujua kuna Mtanzania mwenzangu hata mmoja anaepinga huo utopolo, miaka 15 niliyokaa hapa JF.
Majaji, maprofessa wa sheria, maspika, wabunge, wanahabari, Watanzania kwa mamilioni...tumelishwa uongo, tumepikwa tukaiva.
Jaji gani au Hakimu aliwahi kuandika hukumu akasema sehemu ya ushahidi aliotumia aliusikia kwenye kijiwe cha kashata na drafti Tandika sokoni alipoenda kununua matembele na maharage ???
Serikali inabidi iongeze udhibiti wa silaha kwa kweli hii nchi isije fika kuwa Kama southWengi huwa nawashauri kuwa shika bunduki tu kama ni sehemu ya kazi yako. Lakini vijana wana miliki bunduki kama alama ya mafanikio, nguvu na umaarufu.
Maishani mwangu sijamuona aliyemiliki bunduki ikamsaidia wakati "Wazee Wa Kazi" wamefika kuchukua chao.
Wengi wanaishia ku- misuse kama vile lililompata Ramadhan Ditopile Mzuzuri pale Njia Panda ya Kawe.
Kama Andron angekwenda bila bunduki pengine angemzaba kibao huyo mlinzi, kisha kugundua kuwa aliyempiga kibao siyo mlengwà, angemuomba samahani na kumpa hata Tsh Elfu 50 kufuta machozi.
Hebu mtujuze jamani hii kesi inaendeleaje? Au ilikwishafungwa?Adhabu ya mtu anayeimuibia muajiri wake ni kupigwa risasi na kufa? Huyo jamaa ni mjinga, kwa pesa alizonazo angeweza kupeleka kesi mahakamani na kuwafunga hao na kuwa fundisho kwa wengine.
Ujinga mwingine ambao amefanya ni kuubeba mwili na kwenda kuutupa kibaha. Hapo tayari inaonyesha alikusudia kufanya mauaji
Kwenye uzia pamepenyezwa RupiahHebu mtujuze jamani hii kesi inaendeleaje? Au ilikwishafungwa?
Bado yupo ndani.Kesi ya huyu billionaire imeishia wapi
Jamaa bado yupo ndani..Kwenye uzia pamepenyezwa Rupiah
Aendelee kukaa humo mpaka haki itendeke.
Duh,hasira zake alizitumia vibaya
Wasambaa tena wanavyokomalia kesiAendelee kukaa humo mpaka haki itendeke.
Yupo nje muda mrefu sana 😂😂
Pesa imetumikaYupo nje muda mrefu sana [emoji23][emoji23]
Wale wazungu wasingekubali mwanao akae ndaniPesa imetumika
Ova
Kwa hiyo wazungu wametoa rushwa kwa Mahakama na Polisi?Wale wazungu wasingekubali mwanao akae ndani
Afadhali maskiniYupo nje muda mrefu sana [emoji23][emoji23]