DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Imefikia wapi hii?
 
Lakini ni lazima ndg watakua walimpoza DPP, maana DPP ndiyo mwenye kesi yake ya Jinai,hao ndg ni Kama mashahidi tu kwenye kesi ya Jinai!!
Hii ndio inaweza kuwa sababu kubwa ya kutoendelea na kesi. Saa nyingine hauwezi kupata ukweli uku kwenye media, nini hasa kilichotekea.
That said, yule mama akujufukia mwenyewe kabla ya umauti. Hili nalo ni kosa kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…