DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

DOKEZO Tuhuma za mauaji kwa mmiliki wa kampuni ya KOPAGAS, Andron Mendez

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Bilionea unabeba silaha kutoka nyumban kwa ajili ya kuanzisha ugomvi ofisini
Mkewe msimamizi wa stoo ameshagundua kuna wizi unafanyika na watu wanajulikana kwann asiwaite wachukuliwe sheria
Mke kakujaza upepo ili usijione mnyonge unabeba silaha matokeo yake unaua
Oya mzabzab kuna mke ya bilionea huku iko free fanya mchakato utafune mbususu
Imefikia wapi hii?
 
Lakini ni lazima ndg watakua walimpoza DPP, maana DPP ndiyo mwenye kesi yake ya Jinai,hao ndg ni Kama mashahidi tu kwenye kesi ya Jinai!!
Hii ndio inaweza kuwa sababu kubwa ya kutoendelea na kesi. Saa nyingine hauwezi kupata ukweli uku kwenye media, nini hasa kilichotekea.
That said, yule mama akujufukia mwenyewe kabla ya umauti. Hili nalo ni kosa kubwa.
 
Back
Top Bottom