Tuhuma za P-Diddy: Diamond Platnumz alifanywa nini na P-Diddy ambacho anaona aibu kusema mbele ya kamera?

Huyo angekuwa ameshafanya hiko kitendo,angekuwa amepata Grammy kama wenzake wa West.

Ambaye inasemekana amebanduliwa na Didy ni the giant,bwana burna boy.

Ukikataa akufanye hiko kitendo basi jua kamwe huwezi kupata hiyo tuzo ya Grammy.
Hahaha burna boy sahivi anatamani airudishe hio tuzo,,, wapopo walivyomkomalia anafumuliwa marinda jamaa hana hamu na hio tuzo
 
Aliliwa huyo mbwa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Yeremia 17:1

Dhambi ya Yuda imeandikwa kwa kalamu ya chuma, na kwa ncha ya almasi; imechorwa katika kibao cha moyo wao, na katika pembe za madhabahu zenu;
Hyo scene ilishapangwa toka mbinguni Duniani ilikua shooting tu inafanyika sidhani kama Yuda yupo motoni saivi.....maana iliwezekana kabisa kumkomboa mwana wa adamu kwa Mungu kumuuua shetani na sio kumtoa kafara Yesu
 
Hyo scene ilishapangwa toka mbinguni Duniani ilikua shooting tu inafanyika sidhani kama Yuda yupo motoni saivi.....maana iliwezekana kabisa kumkomboa mwana wa adamu kwa Mungu kumuuua shetani na sio kumtoa kafara Yesu
Nop sio Yuda huyo mkuu!
Yuda anayesemwa hapo ni Mtoto wa Yakobo!
Baba wa Peresi na zera ambaye alitembea na
Mke wa Mtoto Wake ndo wakazaliwa hao watoto..

Ambao ndo kizazi kinacholeta mpaka kwa yesu!
 
Zi fwatazo ni dalili zinazo ni hakikishia kwamba huenda ikawa kweli jamaa ana kazwa

1) kulamba lamba midomo Kama demu mbele ya camera

2)mavazi yake yanatia wasiwasi Sana

3)Kutikisa matako Kama mwanamke mbele ya camera

4)maneno machafu yanayo husiana na ngono kinyume na maumbile

5)ule gevu wa mwili jamaa ka legea Sana aiseeh

6) namna alivyo zungumza kwenye hiyo video hapo juu I natia wasi wasi jamaa alifanywa kitu mbaya

Kuna interview moja chidi aliwai kusema Kuna wanaume mchicha wengi maa rufu hapa dar

Pamoja na hayo.kuna uwezekana ikawa ni kinyume na mafikilio yetu

lakini Kama kweli aliingia kwa did sizani Kama Inge weza kuwa rahisi kwa mondi kuchomoka

hasa ukiangalia jamaa hakuna kitu ana penda Kama kuwa super star Nina amini anaweza fanya chochote asi ipoteze nafasi yake
 
sinza pazuri. Puff Daddy
 
P Diddy na wenzake wengi akiwemo Beonye na Jay Z wako implicated. Inasemekana Wanafanya parts expensive ambazo zinacost 1.5 million za kimarekani. ( billion 3 na ushee TZS). Huku kwenye hizi house patties vyumbani kuna ufuska unaendelea.

Unalewa ukiingia vyumbani unabanduliwa au unawabandua wenzako

Wengi wameusishwa kumbandua au kubanduliwa na Didy. Didy ni cover tu sio kwamba ni mbanduaji hata yeye anabanduliwa sana kwenye hizo parties

Mkewe Didy alifungua kesi kuwa wakiwa kwenye hizo parties alikuwa anabanduliwa mtungo wakati Didy amekaa kwenye kochi anaangalia

Waliohusishwa wengi sana akiweko Kevin Hart, Jaime Fox, Stevie J, usher Raymond, justice Bieber, .......

Kosa lake kubwa ni kuwafanyia watu vitu vya kishoga wakiwa wamelewa au hawajitambui au hawana nguvu ya kukataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…