Tuhuma za P-Diddy: Diamond Platnumz alifanywa nini na P-Diddy ambacho anaona aibu kusema mbele ya kamera?

Aiseeh
 
kumbe ndio maana walikua wanashindana kucheza….
“Grammy-award winning Nigerian singer, Burna Boy, has warned veteran American rapper and record label executive, Diddy, to respect his status as a music legend to avoid being embarrassed by him on the dance floor.”
 
Una uhakika gani kuwa didy anafanya ufuska kumekuwa na tetesi watu weusi wenye mafanikio wanafanyiwa hujuma ili kuwekwa ndani kama r kell kafungwa kwa kesi isiyoeleweka
Niliwahi kuona video ya T.I akiwa n wanawake wanacheza uchi wa mnyama, so hizo tuhuma za PDDY ninaamini ni kweli kwa 100% simce wote wapo kwenye industry moja.

Juzi kati tuliona Drake ameshika simu huku akiji massage mbolo yake, zikija taarifa nyingine kumhusu tutasema wanamchafua.
 
Una uhakika gani kuwa didy anafanya ufuska kumekuwa na tetesi watu weusi wenye mafanikio wanafanyiwa hujuma ili kuwekwa ndani kama r kell kafungwa kwa kesi isiyoeleweka
Umewasikiliza hao weusi wenzake akina 50 cent , Katty na wengineo?
R Kelly alisingiziwa na nani?
Trump ni mweusi? George Washington alikuwa mweusi? Kennedy?
 
Huyo angekuwa ameshafanya hiko kitendo,angekuwa amepata Grammy kama wenzake wa West.

Ambaye inasemekana amebanduliwa na Didy ni the giant,bwana burna boy.

Ukikataa akufanye hiko kitendo basi jua kamwe huwezi kupata hiyo tuzo ya Grammy.
Kwa hiyo waliofanyiwa hayo wote wamebeba Grammy? Wengine wanafanywa ili tu waonane naye waongeze profile zao wakuze biashara zao.
Kwani wasanii wa Tanzania wanapojipendekeza CCM huwa wanalenga kupata teuzi za uongozi? Ni fursa tu
 
Kwa Kifo Cha Yesu Kristo, Yuda Yakobo Amesamehewa Dhambi yake.
 
Huyo angekuwa ameshafanya hiko kitendo,angekuwa amepata Grammy kama wenzake wa West.

Ambaye inasemekana amebanduliwa na Didy ni the giant,bwana burna boy.

Ukikataa akufanye hiko kitendo basi jua kamwe huwezi kupata hiyo tuzo ya Grammy.

mkuu sio kila aliefanya tu anapata tunzo, kuna performance ya aliemfurahisha vizuri Bwana Ali Msomali pia huwa inazingatiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…