Uchaguzi 2020 Tuhuma za rushwa Dkt. Mwanjelwa zimekiaibisha chama

Vyama vyote vina rushwa... ni aina ya rushwa tuu ndio tofauti ilipo
PCCB waingie kazini waje na aina tofauti za rushwa watakazofanikiwa kukamata
Kwamba wachunguze hata zile tuhuma za rushwa ya ngono zinazowakabili upande wa wabwia konyagi?
 
Mmeshamchoma mwenzenu. Wachawi kweli hamna alama.
 
Huyu Mama Alianzia Mbali Nakumbuka Alituhumiwa Kukwapua Taulo Alipokwenda Kulala Nyumba Ya Kupanga Huko Belgium. Na Thread Zake Zipo Humu
Na Maua hata Mie nakumbuka. Haka Ka mama ni kajizi, Ila wakimkata wamemuonea, wooote waliopita CCM wametoa bahasha .
 
Ccm mnakazi mwaka huu. Mtamfyeka nani aachwe nani . wote walitoa ruchwa kwa viwango tofauti
 
Mgombea kamwambia mjumbe kwamba hilo Jambo likisikika atamruka kimanga,mjumbe kaachia audio kamruka mgombea
 
Yaani hata unadiriki kusema ana faragha katika suala hili? Hivi huu uovu utaendelea mpaka lini? Tulikuwa tunalamika humu kuhusu wajumbe na hulka zao.! Hivi kwa mtindo huu tunaipeleka wapi Nchi hii? Waziri mzima anatoa rushwa halafu mnategemea Nchi iwe na mikataba safi na maendeleo.. nonsense
 
Tuhuma hizi za rushwa sio kwamba zitamuabisha dk Mwanjelwa bali huu ni utamaduni wa kawaid kabisa kwa CCM tangu nchi hii ipate uhuru. TAKUKURU nao ni wachochezi wa rushwa, sidhani kama watafanya lolote kukomesha rushwa ila watapokea maagizo kutoka juu na kuwaacha wala rushwa waendelee kutanua katika nchi hii ya kusadikika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…